Barua ya CHADEMA kama Bunge lilipokea kwanini Naibu Spika anakataa?

Barua ya CHADEMA kama Bunge lilipokea kwanini Naibu Spika anakataa?

Mambo ya kienyeji hayo ndio madhara yake.

Tatizo la covid 19 lilishakuwa la kisheria ilimpasa J J Mnyika kuwa makini badala ya kurudia kosa lile lile alilolifanya Tume ya uchaguzi.

Jiulize kwanini barua za Mnyika tu ndio zinazua sintofahamu?
Comrade jitahidi usikae sana na watoto wako usijekuwaambukiza ujinga.
 
Kila siku nasema hapa, Kuna watu wenye akili za hovyo Wala hawapaswi kuwapo kwenye ulimwengu huu.

Unapoletewa barua yeyote kwenye taasisi huwa ni ya taasisi yote na sio mtu. Kama imekosewa hupaswa kurudishwa ilikotoka. Kama maudhui hayaeleweki hujibiwa kuombwa ufafanuzi n.k.

Mbaya zaidi barua nyingi hupelekwa kwa dispatch kwa lengo la uwekaji kumbukumbu, ikitokea wanasema hazikufika kwenye taasisi husika despatch book hutumika Kama reference kwamba ilifika na ilipokelewa.

Uungwana ilikua ni kukiri kupokea walau hata kusema ilikua na mapungufu au Kuna Mambo walikua wanafuatilia mfano uhalali wa kikao husika kwa mujibu wa Sheria za chama husika etc. Lakini kusema hawajapokea Tena hadharani ni ujinga wa Hali ya juu.

Mwisho Kuna watu hapa hata hawajui jinsi taasisi zinawasiliana wanasema Chadema walikosea. Hawa ndio chichidodo kabisa
 
Kwahiyo J J Mnyika aliacha barua kwenye banda la walinzi!
Bwashee usijitoe ufahamu makusudi, CDM wamekuwa wanawasiliana na Bunge kwa barua zaidi ya miaka 20, unataka kusema leo hii 2020/21 ndio hawajui utaratibu wa kupeleka barua bungeni?
 
Bwashee usijitoe ufahamu makusudi, CDM wamekuwa wanawasiliana na Bunge kwa barua zaidi ya miaka 20, unataka kusema leo hii 2020/21 ndio hawajui utaratibu wa kupeleka barua bungeni?
Bwashee barua ya safari hii ilikuwa tofauti kabisa na zile nyingine.

Ilitakiwa ipelekwe kisheria zaidi.
 
Comrade jitahidi usikae sana na watoto wako usijekuwaambukiza ujinga.
Kwa sasa Mnyika ndio anaonekana mjinga kwa sababu barua ya kuwatambulisha akina Halima kule NEC ameikataa siyo yake, na hii ya kuwafukuza uanachama utata mtupu.

Kwanini ni Mnyika tu?!!
 
Mambo ya kienyeji hayo ndio madhara yake.

Tatizo la covid 19 lilishakuwa la kisheria ilimpasa J J Mnyika kuwa makini badala ya kurudia kosa lile lile alilolifanya Tume ya uchaguzi.

Jiulize kwanini barua za Mnyika tu ndio zinazua sintofahamu?
Kama mtu anaweza kutolewa rumande usiku na kuapishwa asubuhi kuwa mbunge unadhani barua za kutengua huo ubunge wake zinaweza kuonekana kirahisi? Labda huo utenguzi uwe umetoka kule kule kulipotoka oda ya kuondolewa rumande usiku
 
Sakata la hawa akina mama maarufu kama Covid-19 linatokana na utawala wa kiimla wa marehemu Magufuli ambaye aliamrisha bunge liwaapishe hao Covid-19 akitumainia ingeweza kuisadia serikali yake ipate ufadhilii kutoka nje.

Sasa kwa kuwa Magufuli amekufa ni swala la muda tu kwa hao akina mama kuendelea kuwemo bungeni kwa sababu sasa itabidi sheria ifuatwe kwani dikteta ambaye alikuwa haamini ktk utawala wa sheria hayupo tena.
 
Nimekuwa najiuliza hawa Viongozi walioapa kuilinda na kufanya kazi zao kwa kuheshimu Katba kwanini wanasema uongo? Juzi ktk kikao cha Bunge Mmoja wa Wanachama waliofukuzwa na Chadema aliliambia Bunge kuwa alifukuzwa uanachama lakini kwa Nguvu na Sauti kali Naibu Spika akamwamuru eti Afute hiyo kauli na Naibu Spika akadai Bunge halijapokea Barua toka Chadema ya kuwafukuzwa Wakati Ofisi ya Bunge na Tume zote zilikwishapokea. Kutokana na Bunge kupokea hiyo Barua basi ni wazi Naibu Spika Kalidanganya Bunge na Wabunge wako kimya.

Je, kwanini Naibu Spika aseme Uongo?

Je, Mtu anapolidanganya Bunge Sheria inasemaje?

Kwanini Spika yupo Kimya licha ya kupokea hiyo Barua?

Kwanini Serikali inawalipa Mishahara Wabunge ambao hawana Sifa baada ya kufukuzwa na Chama chao? Mh. Rais huwa ni wizi wa Fedha za Serikali unaofanywa kwa Makusudi na Bunge.
Ifahamike wazi kuwa Woofer na Sub woofer wake waliwekwa na mtu ili kukidhi interest zake, hawafai hata bure kuwa sehemu ya mipango ya maendeleo ya nchi yetu, watatuingiza matatizoni muda si mrefu ujao, rejea sekeseke la bandari ya Bagamoyo na ATC
 
Hata kama Hajapokea barua, si yeye Mbuge ambaye anajua ni Kihiyo means anajua alishafukuzwa sasa yeye TULIA anabishia nini. Mama Nadhani kuna umuhimu wa Kufanya kitu..
 
Nimekuwa najiuliza hawa Viongozi walioapa kuilinda na kufanya kazi zao kwa kuheshimu Katba kwanini wanasema uongo? Juzi ktk kikao cha Bunge Mmoja wa Wanachama waliofukuzwa na Chadema aliliambia Bunge kuwa alifukuzwa uanachama lakini kwa Nguvu na Sauti kali Naibu Spika akamwamuru eti Afute hiyo kauli na Naibu Spika akadai Bunge halijapokea Barua toka Chadema ya kuwafukuzwa Wakati Ofisi ya Bunge na Tume zote zilikwishapokea. Kutokana na Bunge kupokea hiyo Barua basi ni wazi Naibu Spika Kalidanganya Bunge na Wabunge wako kimya.

Je, kwanini Naibu Spika aseme Uongo?

Je, Mtu anapolidanganya Bunge Sheria inasemaje?

Kwanini Spika yupo Kimya licha ya kupokea hiyo Barua?

Kwanini Serikali inawalipa Mishahara Wabunge ambao hawana Sifa baada ya kufukuzwa na Chama chao? Mh. Rais huwa ni wizi wa Fedha za Serikali unaofanywa kwa Makusudi na Bunge.
NAwe ni kiomngozi wa CHADEMA? Ynakuhusu nini? Kama unalima, lima kwa bidii mvua ndo hizo! Kila siku CHADEMA, wabunge, kufukuzwa, bhla! bhla! Yanatuhusu nini? Kama ni ruzuku anazinywea Mbowe!
 
Bunge la jobo lilikuwa mfukoni mwa marehemu dikiteta magufuli.
 
Back
Top Bottom