Barua ya CHADEMA kama Bunge lilipokea kwanini Naibu Spika anakataa?

Nimekuwa najiuliza hawa Viongozi walioapa kuilinda na kufanya kazi zao kwa kuheshimu Katba kwanini wanasema uongo? Juzi ktk kikao cha Bunge Mmoja wa Wanachama waliofukuzwa na Chadema aliliambia Bunge kuwa alifukuzwa uanachama lakini kwa Nguvu na Sauti kali Naibu Spika akamwamuru eti Afute hiyo kauli na Naibu Spika akadai Bunge halijapokea Barua toka Chadema ya kuwafukuzwa Wakati Ofisi ya Bunge na Tume zote zilikwishapokea. Kutokana na Bunge kupokea hiyo Barua basi ni wazi Naibu Spika Kalidanganya Bunge na Wabunge wako kimya.

Je, kwanini Naibu Spika aseme Uongo?

Je, Mtu anapolidanganya Bunge Sheria inasemaje?

Kwanini Spika yupo Kimya licha ya kupokea hiyo Barua?

Kwanini Serikali inawalipa Mishahara Wabunge ambao hawana Sifa baada ya kufukuzwa na Chama chao? Mh. Rais huwa ni wizi wa Fedha za Serikali unaofanywa kwa Makusudi na Bunge.
ndugai anamfichia 'white' tulia kuhofia nafasi yake
 
Ili kukata mzizi wa fitna ni wakati sasa Chadema waandike barua nyingine (itakuwa ya tatu) kulitaarifu Bunge kuhusu kufukuzwa uanachama wa wahusika waweke rekodi sawa maana ndimi za uongo ni nyingi sana; yaani uongo umekuwa mojawapo ya sifa za viongozi wa kiserikali.
Halafu waipeleke kwa maandamano? Watu wakikubaliana kuwa wajinga huwezi kuwazuia. Huwezi kishindana na umoja wa wajinga.
 
Kwahiyo J J Mnyika aliacha barua kwenye banda la walinzi!

Official letters zina utaratibu wa kutumwa na kupokelewa mkuu,lazima zifike masjala zigongwe muhuri kuwa ziko received then zifuate channel hadi kufika sehemu husika,hilo si unalijua??SASA iweje ujidhalilishe KWA kuuliza maswali yanayaoonesha hujui hali ya kuwa unajua?? Ha ha ha
 
Kufukuzwa / Kuteuliwa kwa Wabunge wa Kuteuliwa na vyama uko chini ya Tume ya Uchaguzi, Bunge kwa maana hiyo spika hutekeleza maagizo ya Tume ya Uchaguzi.
Kwa Chadema kuwa fahamisha Bunge ni vizuri lakini barua ya utenguzi wa Ubunge wa kuteuliwa kama ilivyo Halima na wenzake lazima Spika apate maelekezo ya kutengua kutokaTume. Tatizo hapa ni Tume ya Uchaguzi kuwasilisha taarifa ya utenguzi na sio Spika.

Barua ya Nyika hapa haina umuhimu kama imeelekezwa kwa Spika kwa Utekelezaji. Barua ya Tume ndio ya lazima.

Anae appoint ndio huwa ana disappoint.
 
Nimekuwa najiuliza hawa Viongozi walioapa kuilinda na kufanya kazi zao kwa kuheshimu Katba kwanini wanasema uongo? Juzi ktk kikao cha Bunge Mmoja wa Wanachama waliofukuzwa na Chadema aliliambia Bunge kuwa alifukuzwa uanachama lakini kwa Nguvu na Sauti kali Naibu Spika akamwamuru eti Afute hiyo kauli na Naibu Spika akadai Bunge halijapokea Barua toka Chadema ya kuwafukuzwa Wakati Ofisi ya Bunge na Tume zote zilikwishapokea. Kutokana na Bunge kupokea hiyo Barua basi ni wazi Naibu Spika Kalidanganya Bunge na Wabunge wako kimya.

Je, kwanini Naibu Spika aseme Uongo?

Je, Mtu anapolidanganya Bunge Sheria inasemaje?

Kwanini Spika yupo Kimya licha ya kupokea hiyo Barua?

Kwanini Serikali inawalipa Mishahara Wabunge ambao hawana Sifa baada ya kufukuzwa na Chama chao? Mh. Rais huwa ni wizi wa Fedha za Serikali unaofanywa kwa Makusudi na Bunge.
Kwa sababu ana kinga ya kutoadhibiwa. Nukta.
 
Mambo ya kienyeji hayo ndio madhara yake.

Tatizo la covid 19 lilishakuwa la kisheria ilimpasa J J Mnyika kuwa makini badala ya kurudia kosa lile lile alilolifanya Tume ya uchaguzi.

Jiulize kwanini barua za Mnyika tu ndio zinazua sintofahamu?
There is a mechanical fault in your CPU.
 
Nimekuwa najiuliza hawa Viongozi walioapa kuilinda na kufanya kazi zao kwa kuheshimu Katba kwanini wanasema uongo? Juzi ktk kikao cha Bunge Mmoja wa Wanachama waliofukuzwa na Chadema aliliambia Bunge kuwa alifukuzwa uanachama lakini kwa Nguvu na Sauti kali Naibu Spika akamwamuru eti Afute hiyo kauli na Naibu Spika akadai Bunge halijapokea Barua toka Chadema ya kuwafukuzwa Wakati Ofisi ya Bunge na Tume zote zilikwishapokea. Kutokana na Bunge kupokea hiyo Barua basi ni wazi Naibu Spika Kalidanganya Bunge na Wabunge wako kimya.

Je, kwanini Naibu Spika aseme Uongo?

Je, Mtu anapolidanganya Bunge Sheria inasemaje?

Kwanini Spika yupo Kimya licha ya kupokea hiyo Barua?

Kwanini Serikali inawalipa Mishahara Wabunge ambao hawana Sifa baada ya kufukuzwa na Chama chao? Mh. Rais huwa ni wizi wa Fedha za Serikali unaofanywa kwa Makusudi na Bunge.
Spika shida ni upungufu wa kinga mwilini unamsumbua,mungu ni fundi siku zake sio nyingi atapepea mawinguni kwa covid
 
Barua ya kiofisi sio sawa na ya kutongoza kwamba inaweza tumwa hata kupitia mtoto, unapohoji barua ilipelekwa kwa spika au katibu wa bunge maana yako ni ipi?

Kwamba CHADEMA hawajui utaratibu wa kuwasiliana na ofisi ya bunge na wapo bungeni tangu 1995? Hicho kipindi chote hawakuwahi kuwasiliana na bunge?

Sent using Jamii Forums mobile app
Atakuwa anataka dispatch book hapa JF...ngoja waje
 
Back
Top Bottom