Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Comrade jitahidi usikae sana na watoto wako usijekuwaambukiza ujinga.Mambo ya kienyeji hayo ndio madhara yake.
Tatizo la covid 19 lilishakuwa la kisheria ilimpasa J J Mnyika kuwa makini badala ya kurudia kosa lile lile alilolifanya Tume ya uchaguzi.
Jiulize kwanini barua za Mnyika tu ndio zinazua sintofahamu?
Bwashee usijitoe ufahamu makusudi, CDM wamekuwa wanawasiliana na Bunge kwa barua zaidi ya miaka 20, unataka kusema leo hii 2020/21 ndio hawajui utaratibu wa kupeleka barua bungeni?Kwahiyo J J Mnyika aliacha barua kwenye banda la walinzi!
Bwashee barua ya safari hii ilikuwa tofauti kabisa na zile nyingine.Bwashee usijitoe ufahamu makusudi, CDM wamekuwa wanawasiliana na Bunge kwa barua zaidi ya miaka 20, unataka kusema leo hii 2020/21 ndio hawajui utaratibu wa kupeleka barua bungeni?
kunamahala tunakosea kama Watanzania.Yeye J J Mnyika hiyo barua aliipeleka kwa Spika au kwa Katibu wa bunge?
So Bwashee kuna "sheria ya kawaida" na "sheria zaidi"?Bwashee barua ya safari hii ilikuwa tofauti kabisa na zile nyingine.
Ilitakiwa ipelekwe kisheria zaidi.
Kwa sasa Mnyika ndio anaonekana mjinga kwa sababu barua ya kuwatambulisha akina Halima kule NEC ameikataa siyo yake, na hii ya kuwafukuza uanachama utata mtupu.Comrade jitahidi usikae sana na watoto wako usijekuwaambukiza ujinga.
Ya kawaida ndio hiyo ya dispatch.So Bwashee kuna "sheria ya kawaida" na "sheria zaidi"?
Hizi sarakasi nyingine zinaanziaga pale pale Ufipa.kunamahala tunakosea kama Watanzania.
Bwashee una visa sanaYa kawaida ndio hiyo ya dispatch.
Kisheria zaidi inapelekwa na Wakili msomi!
Kama mtu anaweza kutolewa rumande usiku na kuapishwa asubuhi kuwa mbunge unadhani barua za kutengua huo ubunge wake zinaweza kuonekana kirahisi? Labda huo utenguzi uwe umetoka kule kule kulipotoka oda ya kuondolewa rumande usikuMambo ya kienyeji hayo ndio madhara yake.
Tatizo la covid 19 lilishakuwa la kisheria ilimpasa J J Mnyika kuwa makini badala ya kurudia kosa lile lile alilolifanya Tume ya uchaguzi.
Jiulize kwanini barua za Mnyika tu ndio zinazua sintofahamu?
Hujui katibu wa bunge ni mtendaji na mratibu wa shughuli za bunge?Yeye J J Mnyika hiyo barua aliipeleka kwa Spika au kwa Katibu wa bunge?
dispatchKwahiyo J J Mnyika aliacha barua kwenye banda la walinzi!
Comrade jitahidi usikae sana na watoto wako usijekuwaambukiza ujinga.
Ifahamike wazi kuwa Woofer na Sub woofer wake waliwekwa na mtu ili kukidhi interest zake, hawafai hata bure kuwa sehemu ya mipango ya maendeleo ya nchi yetu, watatuingiza matatizoni muda si mrefu ujao, rejea sekeseke la bandari ya Bagamoyo na ATCNimekuwa najiuliza hawa Viongozi walioapa kuilinda na kufanya kazi zao kwa kuheshimu Katba kwanini wanasema uongo? Juzi ktk kikao cha Bunge Mmoja wa Wanachama waliofukuzwa na Chadema aliliambia Bunge kuwa alifukuzwa uanachama lakini kwa Nguvu na Sauti kali Naibu Spika akamwamuru eti Afute hiyo kauli na Naibu Spika akadai Bunge halijapokea Barua toka Chadema ya kuwafukuzwa Wakati Ofisi ya Bunge na Tume zote zilikwishapokea. Kutokana na Bunge kupokea hiyo Barua basi ni wazi Naibu Spika Kalidanganya Bunge na Wabunge wako kimya.
Je, kwanini Naibu Spika aseme Uongo?
Je, Mtu anapolidanganya Bunge Sheria inasemaje?
Kwanini Spika yupo Kimya licha ya kupokea hiyo Barua?
Kwanini Serikali inawalipa Mishahara Wabunge ambao hawana Sifa baada ya kufukuzwa na Chama chao? Mh. Rais huwa ni wizi wa Fedha za Serikali unaofanywa kwa Makusudi na Bunge.
NAwe ni kiomngozi wa CHADEMA? Ynakuhusu nini? Kama unalima, lima kwa bidii mvua ndo hizo! Kila siku CHADEMA, wabunge, kufukuzwa, bhla! bhla! Yanatuhusu nini? Kama ni ruzuku anazinywea Mbowe!Nimekuwa najiuliza hawa Viongozi walioapa kuilinda na kufanya kazi zao kwa kuheshimu Katba kwanini wanasema uongo? Juzi ktk kikao cha Bunge Mmoja wa Wanachama waliofukuzwa na Chadema aliliambia Bunge kuwa alifukuzwa uanachama lakini kwa Nguvu na Sauti kali Naibu Spika akamwamuru eti Afute hiyo kauli na Naibu Spika akadai Bunge halijapokea Barua toka Chadema ya kuwafukuzwa Wakati Ofisi ya Bunge na Tume zote zilikwishapokea. Kutokana na Bunge kupokea hiyo Barua basi ni wazi Naibu Spika Kalidanganya Bunge na Wabunge wako kimya.
Je, kwanini Naibu Spika aseme Uongo?
Je, Mtu anapolidanganya Bunge Sheria inasemaje?
Kwanini Spika yupo Kimya licha ya kupokea hiyo Barua?
Kwanini Serikali inawalipa Mishahara Wabunge ambao hawana Sifa baada ya kufukuzwa na Chama chao? Mh. Rais huwa ni wizi wa Fedha za Serikali unaofanywa kwa Makusudi na Bunge.
Mjinga ni yule aliyeacha barua kwenye kibanda cha mlinzi!Ujinga ndio unamfanya alipwe na kuranda randa korido za Lumumba