Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 6,750
- 14,529
Kuna barua nyingine zimeandikwa na watu binafsi nimeziona tangu juzi.FIFA haitaifanyia kazi barua ya Chadema kwakuwa Chadema na yenyewe kama chama cha siasa kinaingilia mambo ya Soka jambo ambalo FIFA haitaki. Malalamiko haya badala ya Chadema kuyapeleka FIFA wangewashawishi watu wa mpira aidha klabu au chama cha cha soka kulalamika. Lakini kwa Chadema, no response will be received from FIFA. Mark my words!
Zimefungiwa na Iddi Amini Mama au?Point ya Chadema ni nini hasa?
FIFA haijihusishi na taasisi zilizofungiwa
FIFA haitaifanyia kazi barua ya Chadema kwakuwa Chadema na yenyewe kama chama cha siasa kinaingilia mambo ya Soka jambo ambalo FIFA haitaki. Malalamiko haya badala ya Chadema kuyapeleka FIFA wangewashawishi watu wa mpira aidha klabu au chama cha cha soka kulalamika. Lakini kwa Chadema, no response will be received from FIFA. Mark my words!
Haki ya nani.Weka tuweke
No reform No Election
Ni sawa na serikali (wanasiasa) kutuhumu viongozi wa dini kuchanganya dini na siasa; tena wakiwa kwenye matukio ya kidini!Kwahiyo chadema kabisa unaamin hapo awajaingilia mambo ya mpira?
Haha kweli Mbumbumbu abadiliki
Yaan Fifa isikilize kabisa chama cha kisiasa!?
Hakuna kitu kibaya kama kujiongopea.Yanga waifungie ni timu iliyojaa watu wajinga View attachment 3443662
Sema mkuu unaandika Sana inaonekana umepata hofu kubwa moyoniHakuna kitu kibaya kama kujiongopea.
Mpaka sasa wawakalishi wa ubalozi wamezuia kitu gani?
Pamoja na uonevu wa wazi anaopitia Lissu.
You need to understand national interest za nchi zingine na Lissu sio cause ya ku-jeopardise that mission.
You are just shallow people mnaowapeleka watu kwenye matatizo.
Wazungu wanamjua Lissu kushinda wewe, ukiona wako kimya wanashamuona ni useless tu.
Busara ni serikali kumuachia harudi kwa mkewe, otherwise he is not harmful.
Zaidi ya watu kama nyie kujazana ujinga tu.
Watu wa CHADEMA wangepewa semina kuhusu mambo ya siasa na komredi Lucas Mwashambwa au Tlaatlaah ingewasaidia kutokurupuka hovyo.Kukosa akili😆
Mizuka political party
Hofu ya nini naeleza tu how the world works.Sema mkuu unaandika Sana inaonekana umepata hofu kubwa moyoni
Huyo Nabii mpuuzi sana.Hii imekaa vizuri
Kuna nabii mmoja (Steven Jacob) wa Arusha, alitoa unabii wa kuionya Yanga kuwa msimu huu itafanya vibaya ktk ligi kuu na kimataifa. Na kwamba, wasipojiangalia wanaweza kushuka daraja kabisa
Wengi waliubeza unabii huu na kushangaa..
Lakini hatua za kuelekea huko, Rais wa Yanga SC Bwana Hersi kazianzisha yeye mwenyewe kwa kufuata hadaa na udanganyifu wa CCM
Wakikwepa na kupona kwenye hili, washukuru Mungu sana na wajirekebishe sana na kuepuka kujihusisha na siasa za kiovu za CCM!
Wewe ndiyo mbumbumbu kwa kujidai kuwasemea FIFA wakati hawajakutuma uwasemee, Acha chadema wafanye kazi yao utaona matokeo tuKwahiyo chadema kabisa unaamin hapo awajaingilia mambo ya mpira?
Haha kweli Mbumbumbu abadiliki
Yaan Fifa isikilize kabisa chama cha kisiasa!?
Hofu ya naeleza tu how the world works.
Tofauti na ujinga wa fikra za CDM
Ujinga unao wewe kwenda kuchangia ibilisi wa ccm wakati unajua wanawafanyia vitendea haramu vya kishetani Chadema, acha Dunia ijue kuwa ccm ni chama cha kuwanyanyasa kuwaonea kuwateka kuwaua kuwabambikia kesi za uongo chademaHofu ya naeleza tu how the world works.
Tofauti na ujinga wa fikra za CDM