Barua ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwenda FIFA

Chawaccm kwa Akili zao ndogo wanawaona chadema wamekosea, wamesahau kuwa wapenzi wa yanga akiwemo Lisu mwenyewe wapo jela wanateswa na ibilisi wa ccm, alafu wakubali yanga ichangie ccm inayowabambikia kesi kuwateka kuwaua kuwanyanyasa kuwapora luzuku kuwazuia kufanya mikutano na vitendo vingi haramu vya kishetani
 
Ujinga unao wewe kwenda kuchangia ibilisi wa ccm wakati unajua wanawafanyia vitendea haramu vya kishetani Chadema, acha Dunia ijue kuwa ccm ni chama cha kuwanyanyasa kuwaonea kuwateka kuwaua kuwabambikia kesi za uongo chadema
As much as nataka kuona uhuru wa Lissu, he is partly to blame kuwa kwenye hiyo position aliyepo.

Lissu anaropoka mambo ambayo yapo wazi kwa utata wa kisheria may be not enough for treason, but they qualify for ‘seditious’.

Sasa huruma ni kuelewa huyo mtu ni mropokaji.

Mbaya zaidi ni kujiongopea ana international backup ambayo hana.

Kushindwa kwa serikali kwenye kesi za ICSID ni deal za watu tu huko serikalini.

Kama nchi tuna matatizo mengi na Lissu sio solution.

Aachiwe tu harudi kwa familia yake, lakini tuache hizi hadithi za Lissu ni presidential material.
 
Aaaah CDM GO for it

CDM wamejaa bright people, they never disappointed me .
Chama chochote cha siasa kazi kubwa kutafuta uungwaji mkono na watu wengi iwezekanavyo kutoka kila kundi zikiwemo.club za mipira na wanachama wake

CHADEMA walichofanya si sahihi hata kama yanga walikosea

CHADEMA pia imekosea.FIFA hawataki siasa kuingilia .Wao kama chama cha siasa hawakutakiwa kushtaki Yanga FIFA .
 
Yanga si Mali ya ibilisi wa ccm, yanga ni mali ya wapenzi wa soka ambao ni wa vyama mbalimbali vya siasa, Kitendo cha yanga kuichangia ccm ambayo inawatesa kuwanyanyasa chadema ni Kitendo cha hovyo sana ndiyo maana chadema wameamua kuongea na Ulimwenguni wa Soka ili Dunia ijue kuwa ibilisi wa ccm wameinglia soka kulazimisha michango
 

Ccm ndo hawa
 
If only the global reasoning was this simple.

Sasa FIFA na siasa wapi na wapi kama sio upuuzi tu.

Ulishawahi ona FIFA inafanya maamuzi bila ya state pressure ya western countries.

Ni wapi kwenye katiba ya FIFA kuna kipengele cha mambo ya siasa, kama sio ujinga tu mnaojijaza.

You actually things just work as your nonsensical heads guide you?

Someone has to bring you people down to earth.
 
Mateso manyanyaso uonevu kuwabambikia kesi za uongo kuwateka kuwaua kuwapora luzuku kuwazuia kufanya mikutano na matendo yote ya hovyo wanayofanyiwa na ccm ni vigumu chadema waisamehe yanga kwa kuichangia ccm chama cha kidikteta, Tambua kuwa chadema hawajakosea wao wametumia fursa hii kuwambia ulimwengu wa soka juu ya ccm na matendo yake ya hovyo kwa chadema
 
Akili kubwa Sana hz, samia na mi ccm wenzie wakiona hii, mishuzi inawatoka tu
 
Wewe ndiyo mjinga na mpuuzi kwani wakati mnaenda kuchangia ibilisi wa ccm hamkujua siasa na Soka ni vitu tofauti, acha kujitoa fahamu kwa kuwa wewe ni mnufaika wa mateso manyanyaso wanayopitia chadema toka kwenu ibilisi wa ccm, Tambua kuwa chadema hawajali FIFA watajibu nini bali wao wanataka ulimwengu wa soka ujue kuwa nyinyi ibilisi wa ccm ni watu wa hovyo sana mmejaa matendo haramu ya kishetani
 
Chadema hawajali FIFA wataipokeaje au kujibu nini bali chadema wanachotaka zaidi ni ulimwengu ujue kuwa chama dhalimu cha uonevu manyanyaso kuteka kuua kuwabambikia kesi za uongo kuwapora luzuku kuzuia mikutano ya chadema hakifai kuchangia pesa na club ya Soka yenye wapenzi wengi toka chadema na hawataki kusikia yanga inakuwa mchepuko wa ccm kama chauma ubwabwa
 
Point ya Chadema ni nini hasa?

FIFA haijihusishi na taasisi zilizofungiwa
Ulimwengu ujue kuwa ibilisi wa ccm hawasitahili kuchangiwa na club ya soka yenye wapenzi wengi toka chadema na vyama vingine pia
 
Utaahira ni kwenda kuripoti wizi kwa mwenyekiti wa mtaa, badała ya kituo cha polisi.

Sipo kutetea majizi wala ku-encourage causes ambazo ni useless.

Especially zinazofanya chama mbadala kuonekana kimejaa watu wa hovyo.

FIFA ina katiba yake, kanuni żake na boundaries; sasa katika articles hiyo barua ilizo quote kuna evidence gani ya Yanga.

GSM as business ni Yanga? Wakati ni umbrella company.

Au hata unaweza thibitisha influence ya CCM kwenye ligi ya mpira Tanzania.

Uwezi jiandikia ujinga tu and expect to be taken serious based on your emotions,

CDM mnashida sana, yaani hata hii CCM ya hovyo hamna mbinu sahihi za kuivaa.
 
Wewe utakuwa unavuta Bangi mbona mzito kuelewa chadema pesa za GSM hawana mda nazo wao wanaongelea milion 100 iliyotamkwa na mwenyekiti wa yanga, inaelekea wewe ni mnufaika wa mambo ya hovyo huko ccm kwenu ndiyo maana umejitoa fahamu zote hutaki kujua kuwa lengo la chadema ni kutaka Dunia ya soka ijue udhaifu wa mwenyekiti wa yanga kupitia FIFA na pia wajue ccm inawatesa chadema ndiyo maana hawataki club ya soka ichangie chama ambacho kinawatesa kuwachukulia kesi chadema haijalishi FIFA watajibu nini cha muhimu ni msg sent tu, tambua kupitia michango ulimwengu wa soka utajua maovu manyanyaso ya ibilisi wa ccm kwa chadema
 
Tambua kuwa chadema hawajakosea wao wametumia fursa hii kuwambia ulimwengu wa soka juu ya ccm na matendo yake ya hovyo kwa chadema
Tofautisha CCM na Yanga Club

CCM ni taasisi inayojitegemea na Yanga ni taasisi inayojitegemea

Ukiwa na hasira ubongo unatakiwa kutulia
CHADEMA kama chama cha siasa hakikutakiwa kuingilia mambo ya soka kushtaki Yanga FIFA

CCM haijaingilia mambo ya Yanga kama chama cha siasa.Hakuna ushahidi wowote CCM kama chama kuingilia mambo ya Yanga.8la CHADEMA ushahidi upo wa CHADEMA kama chama cha siasa kuingilia mambo ya Soka kwa kuandika barua FIFA kushtaki Yanga
 
ibilisi wa ccm Tambueni kuwa endapo ibilisi wa ccm wasingekuwa wanawatesa kuwabambikia kesi za uongo chadema kisha wachangiwe na yanga au hata simba hakuna mtu angekwenda Huko FIFA ni mateso uonevu manyanyaso ya ccm kwa chadema yamepelekea Chadema izungumze na Ulimwengu wa Soka kwa lengo la kupeleka nsg
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…