kama kweli hii barua ni copy of the original one, kutakuwa na tatizo, kuwa daimond hana uelewa wa kutosha on how to draft an official letter jambo ambalo mimi halinishangazi tho' otherwise kuna mtu kuamua kumtengenezea headlines tena.
hivi kazi ya mameneja ni nini jamani?
Huu ni ujinga tuu hii barua haiwezi ikawa imeandikwa na watu wenye akili timamu kabisa!
Yani haijulikani ni JKT au JWTZ!
Huu ujinga hauwezi kuwa umepelekwa JWTZ ni watu tuu wana furahishana kwenye mitandao tuu!
Kulingana na barua amewaomba wote kwa pamoja nadhani alikua ana maanisha JWTZ aka changanya madesa mana am sure ni meneja aliandika
Naomba unisome upya!Kinachokufanya uwaze diamond hawezi kuandika huo ujinga ni nini?
Juzi ulianzishwa Uzi kuhusu diamond kuzomewa na mashabiki wa kiba, nilipo comment kuwa anatakiwa aangalie nyendo zake kuhusu tabia na dharau, walijitokeza watu wakanambia nina wivu sana, ila nikawaambia kwa macho makavu SIWEZI ONA WIVU kwa mtu asiyejua hata kuandika jina lake vizuri. Sasa unaona ujinga ulioandikwa kwenye hiyo barua, na hapo wame edit sana hadi kujiridhisha itoke.
hivi kazi ya mameneja ni nini jamani?
Kwenye hiyo barua hapo chini ya (JKT - JWTZ) alikua anaanza kwakuandika DEAR alikua anahisi anamuandikia WEMA nini!
Hiyo barua imeandikwa na vichwa vitatu babu Tale,mkubwa Fella na Almasi mwenyewe.Anwani imeandikwa na Babu Tale,mwanzo wa barua Mkuu Fella, dhumuni na mwisho wa barua imeandikwa na Almasi mwenyewe.
Naomba unisome upya!
Nina cho maanisha kuwa haiwezekani management yote hile kuruhusu barua ya namna hii kupelekwa sehemu yeyote serious!
Barua hii haimgusi Diamond pekee bali ina gusa uongozi wake wote hata watu wake wa karibu!
Ndio maana nasema hii barua haijaandikwa kutoka kwa Diamond bali ni michezo tuu!
Diamond alikuwa na kibali cha kutumia nguo za jeshi la wananchi kwenye show yake na alipewa toka alhamisi!
......Diamond alipata kibali cha kutumia hayo mavazi!