Barua ya Diamond ! Duh noma!

Huwezi kusema kuwa alipewa kibali kabla ya kuona hicho kibali.

Pia huwezi kusema amekiri kwa kuomba radhi kama hujadhibitisha hiyo barua ni ya kweli.

Kwa matokeo hayo, kinachoongelewa hapa ni speculations based on hearsay.
You're very right lakini hilo la kibali ni only if Clouds kupitia Adam Mchomvu wapo very stu-pid au nae alikuwa misinformed coz' ni Adam Mchomvu kupitia XXL ndio kwa mara ya kwanza alisema suala la Diamond kupata kibali... hili sijalisikia kupitia third part but directly kupitia XXL. Adam ni mtu wa masihara lakini hakuongea kimasihara hata kidogo... he meant what he's talking na ndio maana nimesema unless kama nale alikuwa misinformed.
 
unaweza confirm vipi kwamba si yeye?kwani makosa hayawezi tokea kukosea jina lake bahati mbaya?
 
unaweza confirm vipi kwamba si yeye?kwani makosa hayawezi tokea kukosea jina lake bahati mbaya?

Hata kama mnachukulia Diamond ni mjinga lakini huu ujinga wa kwenye hiyo barua hauwezi kuwa wake!

Nasema kabisa hiyo barua hapo imeandikwa na wale wapenda kuchekesha na kudhihaki wenzao!
 
Huwezi kusema kuwa alipewa kibali kabla ya kuona hicho kibali.

Pia huwezi kusema amekiri kwa kuomba radhi kama hujadhibitisha hiyo barua ni ya kweli.

Kwa matokeo hayo, kinachoongelewa hapa ni speculations based on hearsay.
barua bado haijulikani kama ni yake,but kuna maofisa walikiri ana ruhusa na wengine wamepinga,means diamond atakachojibu kitapingana na mmoja wao,je sheria inasemaje kuhusu mwongo kati ya hao
 
Hata kama mnachukulia Diamond ni mjinga lakini huu ujinga wa kwenye hiyo barua hauwezi kuwa wake!

Nasema kabisa hiyo barua hapo imeandikwa na wale wapenda kuchekesha na kudhihaki wenzao!
you never know
 
unaweza confirm vipi kwamba si yeye?kwani makosa hayawezi tokea kukosea jina lake bahati mbaya?
In contrast, unaweza kuthibitisha vipi kwamba ni yeye? Haya, tuseme amekosea tu (typing error kwenye jina) mdo ashindwe kuandika hata neno mimi na badala yake aandike mii? Ashindwe kuandika kichwa na aandike kicha? Pamoja na kwamba anajiita Platnumz lakini ashindwe kuandika anavyojiita mwenyewe kwamba ni Platnumz na badala yake aandike Platnum? Yaani huo usakala wa Diamond na kushindwa kuandika haujaonekana miaka yote hii lakini uje kuonekana leo? Yaani Diamond huyu huyu ambae hata Kiingereza alikuwa hakijui vizuri lakini akajifunza hadi kukijua lakini ashindwe kujifunza kuandika kiswahili?
 
Huu ni mwendelezo tu wa ujinga wa Watanzania... ni Watanzania hawa hawa ambao kutwa kucha walikuwa wakishinda kwenye mitandao Hayati Kanumba kwamba hata hajui Kiingereza baada ya kwenda Jumba la Big Brother! Yaani wao shida yao ni kuona mtu ana-excel, basi ishakuwa tatizo... wanataka kila mtu awe tutusa kama wao! AIBU!
 
kwani amekanusha kwamba si yeye?kuna thread humu nadhani ilimnukuu afisa wa polisi akisema diamond hajatoa taarifa kutumia uniform za jeshi,kwahiyo unabisha kisa spellings NasDaz
 
Last edited by a moderator:
Hiyo barua ukiikuza ni kama vile imescaniwa alafu ikafanyiwa editing kwenye kwa adobe Photoshop & Adobe Illustrator…………… ila mmmhhhh ayah gaga ngoja tuone

hahahaaa... kweli aisee... eti alikuwa ana shoot video yake mpya tarehe hio??
 
kwani amekanusha kwamba si yeye?kuna thread humu nadhani ilimnukuu afisa wa polisi akisema diamond hajatoa taarifa kutumia uniform za jeshi,kwahiyo unabisha kisa spellings NasDaz
Hajakanusha wapi? Yaani huyo Diamond aje kukanusha humu jamii forums, au? Ni lini amewahi kuingia humu kukanusha habari kuhusu yeye? But second, hivi hapo issue ni spelling au inaonesha kana kwamba hajui kuandika? Kabarua kafupi kote hako lakini kana makosa karibu kila mstari ndo useme spelling na si kwamba wahusika wamekusudia kuonesha kwamba hajui kuandika? Yaani eti wala hafahamu kwamba JWTZ na JKT ni vitu viwili tofaui... ningeweza kuamini kitu kama hicho endapo ningekuwa kati kati ya ulevi lakini si wakati nina akili timamu namna hii coz' hayo makosa hata na mtoto wa darasa la tano hawezi kuyafanya.
 
vyote vyawezekana hajui spellings na hajui kuandika
 
vyote vyawezekana hajui spellings na hajui kuandika
Lengo la mleta mada si kuonesha kwamba Diamond ana matatizo ya spelling bali ni majnga kwa asilimia mia moja... na ndio maana, mwanzo tu ameonesha kwamba huyo Diamond wala hafahamu hata tofauti kati ya JKT na JWTZ... yaani hajui hata kwamba pale Leaders hakwenda kwa ajili ya show bali kufanya video... yaani upande mmoja anaandika Abdallah vizuri upande mwingine Abdallah hiyo anaiandika vingine... huku anaiandika Naseeb vizuri dakika chache baadae Naseeb hiyo hiyo anaikosea!!!

Anyway, all in all binafsi najionea ujinga... ndo maana mleta mada nimemuuliza, kama hajui kuandika, so what? Sijawahi kusikia Diamond akijisifia kwamba yeye ni msomi... Sana sana kitu ninachokiona toka kwa Diamond ni mtu wa from mr. nobody to mr. somebody... or from mr. nothing to mr. something... mambo ambayo wengi wetu tumeshindwa kuya-achieve!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…