Barua ya kisukuma kwa kaka yangu rais Magufuli!

Niyo nhana,abhanhu baliduka noo ihaha,itegelejage nkulu wise,pyee iyo ulitumama ya wiza noi,tulilumba,tulikulombela Ulame,na yeneee
 
Tafsri please!!!
Nimefika kati nahisi kizunguzungu na kichina
 
Hahahaha! Nkoyi ulemh'ola ahene?
 
Sema umemansha nn ili na ss tusiokifaham hko klugha tuelewe
 
Iiiii aliyo! wiyombela ya nhana nkoi! kulaga uhangame
 
Mashikolo mageni
ha ha ha,kiufupi,anamsalimia kiongozi na kumwita mwanawa simba,anasema wananchi walimchagua wakiwa na maono kuwa atakuwa kiongozi bora kabisa kuzidi wote waliomtangulia,lakini kadri siku zinavyoenda japo alianza vizuri ila ameanza kutoka kwenye mstari.
Amekuwa mwenye kiburi na inasemwa hasikiliza ushauri wa mtu.....................
Anamwambia hayo yote yanaletwa na yeye kutotaka kusikiliza ushauri wa wasaidizi wake,anamwambia hata maendeleo hayawezi yakaletwa na yeye peke yake ,ni vizuri ashirikiane na kusikiliza na ya wasaidizi wake.........

Sijatafsi yote,huyu nae kaandika kisukuma kigumu kweli sijui cha unyantuzu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…