Barua ya kisukuma kwa kaka yangu rais Magufuli!

Barua ya kisukuma kwa kaka yangu rais Magufuli!

ha ha ha,kiufupi,anamsalimia kiongozi na kumwita mwanawa simba,anasema wananchi walimchagua wakiwa na maono kuwa atakuwa kiongozi bora kabisa kuzidi wote waliomtangulia,lakini kadri siku zinavyoenda japo alianza vizuri ila ameanza kutoka kwenye mstari.
Amekuwa mwenye kiburi na inasemwa hasikiliza ushauri wa mtu.....................
Anamwambia hayo yote yanaletwa na yeye kutotaka kusikiliza ushauri wa wasaidizi wake,anamwambia hata maendeleo hayawezi yakaletwa na yeye peke yake ,ni vizuri ashirikiane na kusikiliza na ya wasaidizi wake.........

Sijatafsi yote,huyu nae kaandika kisukuma kigumu kweli sijui cha unyantuzu
Kafanya jambo jema sana kama kweli tafsir ni hiyo, maana wengine hatuja ona neno hata moja. Lugha ngumu balaa
 
Huu ni UKABILA sasa
Hapana ndugu yangu wala siyo ukabila, nilikuwa namwandikia barua kaka yangu akiwa mbali ambako hatuwezi kuonana. Hivyo kwa vile tunaongea lugha moja tukiwa kwenye mambo ya kinyumbani huwa hatuongei Kiswahili bali ni Kisukuma! Naamini hata wewe ukikutana na Myahudi mwenzio hamtaongea Kiingereza au lugha nyingine tofauti na Kiyahudi!!
 
Mkuu
Kafanya jambo jema sana kama kweli tafsir ni hiyo, maana wengine hatuja ona neno hata moja. Lugha ngumu balaa
Elungata kajitahidi sana kwenye hiyo tafsiri ingawa siyo rasmi, lakini amepita mle mle!! Kama wewe siyo Msukuma huwezi kuokota maana hicho ni Kisukuma siyo "KISWASUKUMA" kuna wakati kwenye kuongea huwa tunachanganya na maneno ya Kiswahili ndo unakuta Mbantu yeyote anaweza kuokoteza maneno mawili-matatu lakini ukipiga kile chenyewe mwanzo mwisho siyo rahisi vile!
 
Ong'wene oyo ate na masala gete. Ale nchilochilo gete.

Wetaga mamihayo ga kebi gete. Obise tole mang'ingwana ma nyalali getegete. Pye mamnho gamanile, abasukuma mamno ga masala, mamnho ga kweta chiza, mamnho ga kweta bulimi, mamnho ga mbina, mamnho ga mamilemo.

Etagi chiza babehi. Mamihayo ga kweta buchilochilo gashi ong'ing'wana amanile pye masala ite chiza. Obese twamanilwe o nyalali pye Tanzania. Mamnho pye gamanile basukuma mamnho nyalali, gate noo buchilochilo.

Hagayaaa!
 
ohooooo..!! we anza kumkumbushakumbusha mwishowe atasema iwe lugha ya taifa!
 
nimeambulia Yesu tu apo, tusaidieni tafsiri waungwana japo barua haituhusu
haya ngoja nimalizie..

Anaendelea..jaribu kusikiliza ushauri wa watu wako,haitatokea hata siku moja kwamba wewe peke yako utayafanya yote na hata maendeleo huwezi kuyaleta wewe peke yako tu.
Uwe unasikiliza mazuri uyachukia na mabaya uyaache,hata masalakulangwa hakuwa ametimia kwa kila kitu,jitenenezee watu wako wa kukusaidia kimawazo namna ya kufanya kazi,uache kuamua peke yako mkubwa wangu,
na kabla hujatangaza kitu, hakikisha umeongea na watu wako na mmesikilizana nakukubaliana wote.

Nakuombea mkubwa wangu mungu akutangulie na uongoze nchi hii katika maadili ya kikristo,kwasababu ukristo ni kupendana na watu wanapopendana wote utakuwa umetimiza maagizo ya yesu kristo,aliyoagiza hivi,"pendaneni nyinyi kwa nyinyi.
Asante kwa kunisikiliza.
Ni mimi sanzi wako(sorry nimesahau maana ya sanzi).
Majangata
 
Hata kushika UKUTA ni kazi we jitahidi kubinuka vizuri sept 1.

Mkono utaenda kinywani tu
 
haya ngoja nimalizie..

Anaendelea..jaribu kusikiliza ushauri wa watu wako,haitatokea hata siku moja kwamba wewe peke yako utayafanya yote na hata maendeleo huwezi kuyaleta wewe peke yako tu.
Uwe unasikiliza mazuri uyachukia na mabaya uyaache,hata masalakulangwa hakuwa ametimia kwa kila kitu,jitenenezee watu wako wa kukusaidia kimawazo namna ya kufanya kazi,uache kuamua peke yako mkubwa wangu,
na kabla hujatangaza kitu, hakikisha umeongea na watu wako na mmesikilizana nakukubaliana wote.

Nakuombea mkubwa wangu mungu akutangulie na uongoze nchi hii katika maadili ya kikristo,kwasababu ukristo ni kupendana na watu wanapopendana wote utakuwa umetimiza maagizo ya yesu kristo,aliyoagiza hivi,"pendaneni nyinyi kwa nyinyi.
Asante kwa kunisikiliza.
Ni mimi sanzi wako(sorry nimesahau maana ya sanzi).
Majangata
Elungata umetishaaaa!! Basi ngoja niwasaidie ili na jamaa zetu waelewe nini tumeongea na jamaa yangu, maana hakuna kibaya kilichojadiliwa kwenye barua hiyo! Kuna jamaa wameanza kututisha eti tutazingirwa, kwani kusalimiana ni vibaya?
 
Ong'wene oyo ate na masala gete. Ale nchilochilo gete.

Wetaga mamihayo ga kebi gete. Obise tole mang'ingwana ma nyalali getegete. Pye mamnho gamanile, abasukuma mamno ga masala, mamnho ga kweta chiza, mamnho ga kweta bulimi, mamnho ga mbina, mamnho ga mamilemo.

Etagi chiza babehi. Mamihayo ga kweta buchilochilo gashi ong'ing'wana amanile pye masala ite chiza. Obese twamanilwe o nyalali pye Tanzania. Mamnho pye gamanile basukuma mamnho nyalali, gate noo buchilochilo.

Hagayaaa!
Gashinaga nang'ho Kiranga uli-munhu? Ha ha ha haaaa!!
 
Kweli maana wakati mwingine lugha huwa kikwazo cha kufikisha ujumbe. Watu inawezekana wanamlaumu bure ngosha kuwa asikilizi ushauri wa mtu, kumbe yeye hawaelewi wanachojaribu kumweleza!!

Sijui ni kitu gani kinawafanya watu wafikirie Magufuli ni Msukuma!. Sidhani hata kama anakifahamu kisukuma zaidi ya salam.

HUYO SIYO MSUKUMA!. ACHENI KUWATIA GUNDU WASUKUMA WA WATU WASIO NA MAKUU!.
 
Sijui ni kitu gani kinawafanya watu wafikirie Magufuli ni Msukuma!. Sidhani hata kama anakifahamu kisukuma zaidi ya salam.

HUYO SIYO MSUKUMA!. ACHENI KUWATIA GUNDU WASUKUMA WA WATU WASIO NA MAKUU!.
Na mimi sijui ni kitu gani kinawafanya watu wafikrie kwamba Magufuli siyo Msukuma? Sijui ni kule kukaa kwa Wasubi? Kama ni hivyo mmepotea sana!!
 
Gashinaga nang'ho Kiranga uli-munhu? Ha ha ha haaaa!!

Igiki lyato lyatubila. Balimo banhu badatu na bajaluo babili!.

Acha kabisa.

Lakini sasa sijui kama unahabari kwamba Magufuli siyo msukuma. Kisukuma chenyewe hakijui. Rafudhi yake anayoongea siyo ya kisukuma hata kidogo. Ni ya kikabila chake.

Ninadhani kuna haja ya kuacha kuwachafua wasukuma kwa kuwarundika watu wanaopenda kuitwa wasukuma hata kama siyo na hatimaye wanaanza kufanya kabila lichukiwe wakati wasukuma tunawafahamu hawana tabia za ovyo ovyo.
 
Na mimi sijui ni kitu gani kinawafanya watu wafikrie kwamba Magufuli siyo Msukuma? Sijui ni kule kukaa kwa Wasubi? Kama ni hivyo mmepotea sana!!

Hana asili ya usukuma kwa upande wote wa baba yake wala mama yake. Usukuma wake unatoka wapi?

Mke wake sawa lakini yeye hata kidogo, na hakuna kitu anajua kuhusu usukuma zaidi ya salam.
 
Hana asili ya usukuma kwa upande wote wa baba yake wala mama yake. Usukuma wake unatoka wapi?

Mke wake sawa lakini yeye hata kidogo, na hakuna kitu anajua kuhusu usukuma zaidi ya salam.
Unamfahamu mzee Nyahinga, maana yake ni tetemeko la ardhi, kwa sisi tunaomfahamu wala hatuhangaiki!!
 
Back
Top Bottom