Barua ya kuomba Magari kwa ajili ya kusafirisha Wananchi kwenda Mwanza kwenye ziara ya Rais Samia

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Wakuu!

CCM wanatafuta nyomi la kutengeneza huko,

==

Halmashauri ya Manispaa ya Geita imeandika barua kwa Wakuu wa Shule Binafsi, Msingi na Sekondari katika Manispaa hiyo, ikiomba magari kwa ajili ya kusafirisha wananchi kwenda Mwanza kushiriki katika ujio wa Rais Samia katika hafla ya ufunguzi wa Daraja la Kigongo - Busisi.

1750151546434.png
 
Mdau mbona tarehe zimepishana 2025 na 2026
Wakuu!

CCM wanatafuta nyomi la kutengeneza huko,

==

Halmashauri ya Manispaa ya Geita imeandika barua kwa Wakuu wa Shule Binafsi, Msingi na Sekondari katika Manispaa hiyo, ikiomba magari kwa ajili ya kusafirisha wananchi kwenda Mwanza kushiriki katika ujio wa Rais Samia katika hafla ya ufunguzi wa Daraja la Kigongo - Busisi.

Which is which?
 
Shida ipo wapi hapo mbona ni swala nzuri tu kuomba usafiri kwa ajili ya watu ni kuonyesha unajali wananchi mfano watu uomba usafiri kwa ajili ya misiba sherehe maonyesho na n.k kwa hiyo tuache kutengeneza tension za ovyo ovyo..
 
Wakuu!

CCM wanatafuta nyomi la kutengeneza huko,

==

Halmashauri ya Manispaa ya Geita imeandika barua kwa Wakuu wa Shule Binafsi, Msingi na Sekondari katika Manispaa hiyo, ikiomba magari kwa ajili ya kusafirisha wananchi kwenda Mwanza kushiriki katika ujio wa Rais Samia katika hafla ya ufunguzi wa Daraja la Kigongo - Busisi.

Kwa hili uchaguzi haupo.
 
Uone kama Chawa Lucas na blaablaah wanaweza kuongea chochote cha maana hapa. Wananchi kama wanakukubali watakuja wenyewe
 
Back
Top Bottom