Barua ya Lissu kwenda kwa Dkt. William Leo

Tatizo la wasomi wa nchi hii wao uzalendo wao unaishia kuhamasisha tu mitandaoni lkn kwenye kuchukua hatua wanataka watu wasio na ajira ndio wachukue hatua kwa kuingia barabarani, wao aaah! Hii haiwezi kuleta matokeo hta iweje
Mkuu umeliweka vizuri
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hata hawa mnaowaamini sasahivi ni suala la muda tu.. Kamanda wa anga alikuwa balaa
Kwa sasa hakuna ninaye muamini kwenye ulingo wa siasa,hata mmoja iwe watawala ama wapinzani.
 
Mungu wa mbinguni,mwingi wa rehema atakuvusha. Sisi tunakuombea kila mtu kwa imani yake.
Mungu aliyekuokoa na risasi ulizomiminiwa atakuokoa na mikono ya farao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…