Barua ya Lissu kwenda kwa Dkt. William Leo

kunguru hafugiki 🐒
 
Mimi nasema kila siku sina tatizo na TAL, shida ni hawa watanzania wanaopiganiwa, laiti hata sekunde moja Lissu angejua aina ya watu anaowapigania basi ama kwa hakika angelia mno.

Waone hawana hata habari masikini 😤
Lissu anapambana Kwa ajili ya watu wasiojielewa na Wala hawaoni umuhimu wake. So sad 😢
 
Mimi nasema kila siku sina tatizo na TAL, shida ni hawa watanzania wanaopiganiwa, laiti hata sekunde moja Lissu angejua aina ya watu anaowapigania basi ama kwa hakika angelia mno.

Waone hawana hata habari masikini 😤
Mbona hata mke wake na watoto kumbe hawamuungi mkono kwahili!! Soma hapa

 
Mkitaja Mbwa hebu mtajeni na mmiliki sasa ukiisema Wilium tunajua ni nani
 
Hapa hapa Lord Denning uje hapa umeona hiki kitu cha Rost Tamu Aziz na lile Genge la kule kwa yule Mr. Kicheko
 
Mimi nasema kila siku sina tatizo na TAL, shida ni hawa watanzania wanaopiganiwa, laiti hata sekunde moja Lissu angejua aina ya watu anaowapigania basi ama kwa hakika angelia mno.

Hawana hata habari masikini 😤
WATANZANIA ndio tatizo
Watanzania, Watanzania… Watanganyika ndio tatizo la nchi hii. Sioni kwa nini anaendelea kujihangaisha na watu hawa. Waache tu, kila kitu kishindikane kabisa mpaka turudi sifuri, kisha tuanze upya, iwe ni kwa kizazi chetu au kizazi kingine kabisa.
 
Ni kwamba familia yake wanajua kuwa mwamba anaumia kwaajili ya watu wasiojali wala kuona umuhimu wa kile anachokifanya ndio maana hawaungi mkono. Hata humu wengi ni keyboard warriors tu watu wakupiga kelele lakini anaeumia ni mtu mmoja tu.
 
Akiwa free namuomba aachane na swala la kupambania MTU anaitwa mswahili au mbongo is waste of time and energy .
Wewe ulitaka watu wafanye nini wabomoe magereza au wachome Mahakama? Wale wanaomsimamia na kumpigania kila siku mahakamani ni akina nani huwajui sio wabongo wale wamepambana mpaka kesi irushwe live kila mtu aone isiwe ya kificho ni Waburundi wale?
 
Ni kwamba familia yake wanajua kuwa mwamba anaumia kwaajili ya watu wasiojali wala kuona umuhimu wa kile anachokifanya ndio maana hawaungi mkono. Hata humu wengi ni keyboard warriors tu watu wakupiga kelele lakini anaeumia ni mtu mmoja tu.
Wewe ulitaka watu wafanyaje wamuue Jaji wa Mahakama au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…