Watanzania ni changamoto Mzee tena nzitoWATANZANIA ndio tatizo
Watanzania, Watanzania… Watanganyika ndio tatizo la nchi hii. Sioni kwa nini anaendelea kujihangaisha na watu hawa. Waache tu, kila kitu kishindikane kabisa mpaka turudi sifuri, kisha tuanze upya, iwe ni kwa kizazi chetu au kizazi kingine kabisa.
Hii nchi imepata mtu sahihi wa kuwapigania wakati wananchi bado hawajawa tayari kwa mapambano, bado hawataki kukosa muda wa kucheza amapiano, vijana wengi ni kama haya yanayoendela hayawahusu vile.WATANZANIA ndio tatizo
Watanzania, Watanzania… Watanganyika ndio tatizo la nchi hii. Sioni kwa nini anaendelea kujihangaisha na watu hawa. Waache tu, kila kitu kishindikane kabisa mpaka turudi sifuri, kisha tuanze upya, iwe ni kwa kizazi chetu au kizazi kingine kabisa.
Wewe ulitaka watu wafanyaje? Emu toa mapendekezo yako kidogo tukuone mtazamo wako ulitaka watu wafanyaje kwa mfano?WATANZANIA ndio tatizo
Watanzania, Watanzania… Watanganyika ndio tatizo la nchi hii. Sioni kwa nini anaendelea kujihangaisha na watu hawa. Waache tu, kila kitu kishindikane kabisa mpaka turudi sifuri, kisha tuanze upya, iwe ni kwa kizazi chetu au kizazi kingine kabisa.
Wewe ulitaka watu wafanyaje? Ongea hapa kwamba nataka watu wafanye moja mbili tatu tukusikie sio kukaa kulaumu ujinga tu unalaumu huku hutoi suggestion, wtf is that shit?Hii nchi imepata mtu sahihi wa kuwapigania wakati wananchi bado hawajawa tayari kwa mapambano, bado hawataki kukosa muda wa kucheza amapiano, vijana wengi ni kama haya yanayoendela hayawahusu vile.
Watanzania wenyewe ndio Hawa 🤣🤣🤣Mimi nasema kila siku sina tatizo na TAL, shida ni hawa watanzania wanaopiganiwa, laiti hata sekunde moja Lissu angejua aina ya watu anaowapigania basi ama kwa hakika angelia mno.
Waone hawana hata habari masikini 😤
Wewe unataka Watanzania wafanye nini na kesi ipo Mahakamani Babu unataka Wazibomoe Mahakama au?Watanzania ni changamoto Mzee tena nzito
Wewe unaishi wapi Sudan Kusini?Watanzania wenyewe ndio Hawa 🤣🤣🤣
Sahau kuhusu hiloMzigo unaweza kwenda mzaha mzaha hivi wakapita nae
Weka ushahidi usio na shaka humuMakaa ya mawe yanachimbwa na CCM chini ya kundi dogo sana wanufaika.
Sasa kimya kimya kitaeleweka.
Nimeshatoa wazo ktk post yangu ya Awali pitia utaonaWewe unataka Watanzania wafanye nini na kesi ipo Mahakamani Babu unataka Wazibomoe Mahakama au?
Chanzo cha Lissu kupigwa pin ni Makaa ya Mawe ya Rost Tamu Aziz na lile Genge la kule, hii Nchi nomaHakuna mtanzania alimwandia barua Lisu kuwa ampiganie .Kama ana ushahidi Lisu aweke aweke
Lisu anapigania njaa yake tu.Ndio maana watanzania hawajali wanaendelea na shughuli zao kama kawaida.Apambane na hali yake kama watanzania wengine wanavyopambana na hali zao
Toa tena wazo andika hapa rudia tena sina haja ya kurudi kwenye post yako unashindwa kurudia ulichoandika?Nimeshatoa wazo ktk post yangu ya Awali pitia utaona
Sina huo muda ni juu yako wewe unayetaka kufahamu kutafuta maarifaToa tena wazo andika hapa rudia tena sina haja ya kurudi kwenye post yako unashindwa kurudia ulichoandika?
Kwahiyo shida ni uchaguzi? Maana nyingine ni kuwa tunapoteza pesa na muda kwasababu tu ya uchaguzi upite.Teh teh teh sasa anataka tuandamane ili aachiwe au??
Ukweli ni kwamba hata yeye anajua uchaguzi ukipita ataachiwa..
Apambane na hali yake kama ana ushahidi aweke ushahidi mahakamani kuwa ndio sababu afungue kesi na aweke ushahidiChanzo cha Lissu kupigwa pin ni Makaa ya Mawe ya Rost Tamu Aziz na lile Genge la kule, hii Nchi noma