Barua ya majibu ya Msekwa kuwajibu Kinana na Makamba hii hapa

Kinana alihusika saana kung'oa makucha viongozi waastafu...
Sasa anahitaji makucha yao yamuokoe hayapo.
Kasahau aliyang'oa yeye
 
Huyu mwizi wa matilioni ,aliyeuza nyumba za serikali ,aliyelipa wakandarasi hewa bilioni 254 ,aliyenunua kivuko kibovu ndio ana Moral authority?
 
Mkuu naona unatoa kashfa nyingine tena kwa kuhusisha masuala binafsi ya mtu.
Tatizo nini?
Nini kifanyike basi kutatua tatizo ulionalo lipo?
Hii si kashfa bali ni lugha ya kufundishia waliong'olewa ubongo , nilimaanisha hivi , Mlamba miguu ya viongozi hawezi kuwa msuluhishi , tena usuluhishi wenyewe ni kati ya wengine na wale wale viongozi anaowalamba miguu ili apate mkate wa kila siku , hata ungekuwa wewe unawezaje kuwabana wanaokufanya uishi ?
 
Wazee mmeona tatizo la kumpa mtu nchi ambaye hata kuongoza familia yake kashindwa ndio haya sasa , Mjifunze nyie wazee na wastaafu wa ccm si kila anayeshinda kura za maoni anafaa kuwa rais .Sasa kosa mlilolifanya litawagharimu sana .
 
Hata arithubutu kungombea mwanamke na kada mwenzie tena wa wadhifa mkubwa tu historia inajieleleza.
 
Wazee mmeona tatizo la kumpa mtu nchi ambaye hata kuongoza familia yake kashindwa ndio haya sasa , Mjifunze nyie wazee na wastaafu wa ccm si kila anayeshinda kura za maoni anafaa kuwa rais .Sasa kosa mlilolifanya litawagharimu sana .
Katika hili ma ccm wamejifunza wanatembea huku wanalia kosa hilo kikombe hicho hawakinywei tena.
 
Mzee msekwa sio kina kinana,nape,makamba, walioiona ccm kama yao ***** wamekamatwa hata jk atawakataa ndio watajuta
Wakati watajwa wanashughulikiwa "mzalendo sana kuliko watanzania wote CP" atateuliwa kuwa waziri wa mambo ya ndani na ovyo ovyo!!!
 
humjui Msekwa wewe mwana ufipa
 
Wazee mmeona tatizo la kumpa mtu nchi ambaye hata kuongoza familia yake kashindwa ndio haya sasa , Mjifunze nyie wazee na wastaafu wa ccm si kila anayeshinda kura za maoni anafaa kuwa rais .Sasa kosa mlilolifanya litawagharimu sana .
Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana !
 
Aisee!!!!!!!,basi sawa.
 
Huyu mzee hapa kawauwa wenzake
 
Attachments

  • 86807DBA-73E2-46F1-A6D2-8A2892B489AB.jpeg
    132.9 KB · Views: 16
 
Muoga kwakuwa hajatoa majibu sawa na matarajio yako?
Hekima huepusha mambo mengi sana wakati wote..
Mzee amejibu kihekima sio kimuhemko
Hawa watu wanapenda kujibiwa vile wanataka
 
Amekufafanulia sana kuhusu katiba yachama inavosema.au umesoma nusu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…