Baba waTaifa, Mwalimu Nyerere baada ya kustaafu hakusita kujitokeza hadharani na kuukemea utawala ulio madarakani pale alipoona Taifa linaelekea kusiko. Nyakati hizo Pius Msekwa alikuwa mtendaji mkuu wa Chama na sikumbuki kama kuna siku hata moja aliwahi kumshauri/kumtaka Mwalimu afuate taratibu kama anavyoshauri hivi sasa.
Ukweli ni kwamba unaweza tu kuwa na ujasiri wa kutupa mawe kama huishi kwenye nyumba ya vioo na bahati mbaya Msekwa ana magunia kama si mashehena ya tuhuma yaliyomganda kama shati lililoloa na hiyo ndiyo sababu hata mtoto wa nyumbani hakuona hata sababu ya kumhusisha huko Vodacom...
...when in December 6th, 2005 Vodacom Tanzania launched its Mobile Health Clinic in Tanzanaia, the Honourable Pius Msekwa, Chairman of Vodacom Tanzania and Romeo Kumalo, Managing Director of Vodacom Tanzania also graced the event.