Barua ya majibu ya Msekwa kuwajibu Kinana na Makamba hii hapa

Barua ya majibu ya Msekwa kuwajibu Kinana na Makamba hii hapa

Hivi katika hali ya kawaida tu, mwanao ukimuona anafanya mambo bila weledi utamuacha tu aendelee kisa hajakuomba ushauri au utamwita umshauri kisha umuachie mwenyewe uamuzi wa kuupoke na kuufanyia kazi au kuuacha?
 
Attacking personalities is one of horrible shortfalls in argument. I is absolutely fallacious.
Si kweli hata kidogo , nilichoweka hapo si shambulio kwa Msekwa bali nimeweka wazi udhaifu wake unaofahamika ambao unasababisha anauma uma meno kwenye sakata hili badala ya kusimamia ukweli
 
Kwa mtu mwelewa haya ndiyo majibu rasmi kwamba wamekosea kutoa malalamiko yao kwa baraza lawazee badala yake wangepeleka kwenye ngazi nyingine ya kiutendaji

Hao wazee sio wajinga, na sio kama hawaelewi taratibu, sheri na kanuni za chama, ila walichoona ni kwamba kesi ya nyani huwezi kumpelekea ngedere. Ni mtazamo tu
 
Ikiwa Barua hii ndivyo ilivyo Mzee Pius Msekwa ametumia busara ya Hali ya juu Sana kuwajibu, ingawaje majibu rasmi ya Baraza hili LA wazee hayajatoka. Ila ikumbukwe tukiwa na vyama imara vya kisiasa hata misingi ya Nchi inakuwa imara pia.
Busara aliyotumia Msekwa ni kusalimu amri (to surrender). Kinana & co ndio wameonesha busará ya hali ya juu.
Cyprian Músiba amekuwa na kazi ya kutuhumu, kukashifu, na kuvunjia heshima watu wengi hususan viongozi wa kitaifa, walioko madarakani na wastaafu, kwa hisia tu kuwa ni tishio kwa utawala wa rais JPM.

Amepewa kazi hiyo na anaifanya kwa nguvu zake zote. Kumbe watu wafikiri vipi ikiwa anatumia vyombo vya habari na mikutano ya hadhara kufanya anayoyafanya pasipo kuguswa na vyombo vya ulinzi na usalama hata kukemewa na mamlaka za dola? Wakati akifanya hayo "Intelelensia" inakosekana. Inakuwa macho pale tu CHADEMA inafanya mikutano ya ndani. Aibu iliyoje!
Watoto wa mjini wana kamsemo kuwa "kama hujui kusoma, picha nayo inakushinda kuangalia?" Huu msemo ndio walalamikaji wamefanyia kazi. Jeuri ya Musiba ni kubwa sana. Kaipata wapi? Kuna tabia ya watu wanaokuwa madarakani kudhani kuwa once wakikwaa nafasi za madaraka wanaerevuka overnight; the rest wanakuwa fools. No.

Who is Musiba by the way? What is he and his & co targeting at achieving; disharmony in the our nation?
 
Inaonekna kuna barua ambayo wamekuandikia nyingine ambayo mimi sijaiona. Niliyoiona, haisemi hivyo.
Sio uoga...wanapambania maslahi binafsi. Makamba anataka mtoto wake awe Rais. Kinana anataka empire yake iendelee kula vya bure. Sidhani kama hao wanaipenda hivyo Tanzania
 
Bye byee
FB_IMG_1563549630527.jpeg
 
Katibu alitakiwa ajibu kuwa kwa niaba ya Baraza ninatoa majibu yafuatayo Lakini ona alichoandika Ni as if yeye Ndie mtoa majibu mwenyewe!!!! Chochote anachojibu alitakiwa Aseme kwa niaba .Lakini kwa kuwa hakuwashirikisha kutoa majibu ndoo unaona Mzee msekwa akijikanyaga ohh natoa sehemu tu ya majibu ohh majibu kamili wazee wakikaaa SI angesubiri wakae haraka ya Nini?

Na wewe sasa unachanganya madawa...

Katibu anapata wapi mamlaka ya kujibu kwa niaba ya Baraza?
 
Back
Top Bottom