mahalipema
Senior Member
- Mar 12, 2012
- 194
- 120
Si kweli hata kidogo , nilichoweka hapo si shambulio kwa Msekwa bali nimeweka wazi udhaifu wake unaofahamika ambao unasababisha anauma uma meno kwenye sakata hili badala ya kusimamia ukweliAttacking personalities is one of horrible shortfalls in argument. I is absolutely fallacious.
Kwa mtu mwelewa haya ndiyo majibu rasmi kwamba wamekosea kutoa malalamiko yao kwa baraza lawazee badala yake wangepeleka kwenye ngazi nyingine ya kiutendaji
Busara aliyotumia Msekwa ni kusalimu amri (to surrender). Kinana & co ndio wameonesha busará ya hali ya juu.Ikiwa Barua hii ndivyo ilivyo Mzee Pius Msekwa ametumia busara ya Hali ya juu Sana kuwajibu, ingawaje majibu rasmi ya Baraza hili LA wazee hayajatoka. Ila ikumbukwe tukiwa na vyama imara vya kisiasa hata misingi ya Nchi inakuwa imara pia.
Sio uoga...wanapambania maslahi binafsi. Makamba anataka mtoto wake awe Rais. Kinana anataka empire yake iendelee kula vya bure. Sidhani kama hao wanaipenda hivyo Tanzania
Umeelewa kuwa katika kuijibu barua hiyo hajatoa hitimisho ?Katibu ndio kazi Yake kuzipokea barua na kuzipeleka kwenye baraza
Katibu alitakiwa ajibu kuwa kwa niaba ya Baraza ninatoa majibu yafuatayo Lakini ona alichoandika Ni as if yeye Ndie mtoa majibu mwenyewe!!!! Chochote anachojibu alitakiwa Aseme kwa niaba .Lakini kwa kuwa hakuwashirikisha kutoa majibu ndoo unaona Mzee msekwa akijikanyaga ohh natoa sehemu tu ya majibu ohh majibu kamili wazee wakikaaa SI angesubiri wakae haraka ya Nini?