Habari za Leo viongozi humu ndani hii ni barua ya masikitiko kwa wizara ya ujenzi mimi ni mkazi wa Kigoma ujiji mwaka 2022 selekali kupitia TANROADS Kigoma walifanya vikao kadhaa na wananchi wa kata za majengo na machinjioni wakatoa wito kwa wananchi hao kupisha mradi wa upanuzi wa uwanja wa ndege Gombe Mahale na mwaka 2023 wakaanza kufanya tathimi kabla ya kufanya tathimi waliuamisha umma huo kuwa tathimi hiyo ni mwaka mmoja mthamini mkuu alipita tarehe 17/03/2023 cha ajabu mpaka inafika 2025 watu hawajalipwa
Tukaanza kufuatilia katika ofisi zote za selekali katika mkoa wa Kigoma ujiji bila mafanikio yoyote mwaka jana alikuja mbunge aliemaliza muda wake Kulumbe mwezi wa nne akawaaminisha umma mpaka tarehe mbili mwezi wa saba watu watakuwa wamelipwa pesa zao lakini haikuwa hivyo watu wakapambana kutafuta msaada kama watapata kura za maoni zilivyofika akapatikana Baba levo
Watu wakafuata wakampasha habari na yeye akaliongea wakati mgombea uraisi raisi Samia amekuja kuomba kura tukaambiwa litafanyiwa kazi leo ni myezi mitano watu wanaishi kama mashetani kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha nchini nyumba za wananchi hao zinabomoka na haiwezekani kukarabati chochote kwa sababu ukifanyiwa tathimini huruhusiwi kuongeza chochote tunaiomba selekali itulipe pesa zetu tuhame kupisha mradi na kuepukana na adha tulionayo