Barua ya Patrice Lumumba kwa mkewe

Barua ya Patrice Lumumba kwa mkewe

hapa ndio huwa najiuliza kama watanzania tunahitaji eleimu kubwa kiasi hicho kutatua matatizo yetu,maana tangia tupate huu mfumuko wa elimu za PHD na masters ndio tumezidi kudidimia kwa kasi ya ajabu sana yaani tunawasomi wengi wenye eleimu za juu ambao hawajaelimika still wanaujinga kama sisi tulio ishia darasa la saba,mfano mzuri ni wasomi wetu kushindwa kusimamia kile wanachokiamini na walicho kifanyia study na kutoa maandiko yaliyo watunuku heshima iliyo tukuka,waoga,hawana maamuzi,wabinafsi,wanafiki wengi hawajui kwanini wako katika hizo nyazifa walizo nazo
Hivi sasa wakuu wa wizara,na taasisi nyingi ni Profs, Drs . Hawa hata Mwl. Nyerere aliwakataa kiaina akidai,jambo dogo,hushindwa kuamua kiusahihi. Too much actionless theories!
Kuna jamaa yangu yuko Taasisi moja ambayo kabla iliongozwa vizuri na jamaa wa Msc. Sasa kaja jamaa wa Phd,oh,a lot of confusion,jambo dogo,mihemko kibao kuwa yeye ndo msomo zaidi! Kazi za ile taasisi,ndani ya mwaka mmoja tu,zimekufa zote,hadi vibarua wamemkimbia!
 
Hawa waliona ilikuwa ni bora kuunganisha nguvu ili kuzuia wezi wa mali za Africa lakini wa sasa wanajitenga na kuwatenganisha wanaowatawala ili kuwasaidia wageni kuliibia bara letu kwa ujira unaotia aibu, tabu sana!
 
Nimeshindwa hili lilugha lenu....[emoji34] [emoji34]
Ndio mambo gani haya, kama sio kuoneana huku......[emoji25] [emoji25]
Ebu ngoja nijiondokee tu
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Nasikia alikuwa na two spouse of the same name ila hii inasemekana haswa aliiandika kwa mkewe mkubwa wajuz mtu dadavulie hili
 
Hivi sasa wakuu wa wizara,na taasisi nyingi ni Profs, Drs . Hawa hata Mwl. Nyerere aliwakataa kiaina akidai,jambo dogo,hushindwa kuamua kiusahihi. Too much actionless theories!
Kuna jamaa yangu yuko Taasisi moja ambayo kabla iliongozwa vizuri na jamaa wa Msc. Sasa kaja jamaa wa Phd,oh,a lot of confusion,jambo dogo,mihemko kibao kuwa yeye ndo msomo zaidi! Kazi za ile taasisi,ndani ya mwaka mmoja tu,zimekufa zote,hadi vibarua wamemkimbia!
huwa nawashangaa sana wengi wenye elimu hizi kubwa huwa hawajiamini alafu kingine sisi tunautaratibu mbovu sana wa elimu eti mtu unatoka undergraduate huyo hajamaliza hata mwaka anaenda kuchukua masters hana experience yoyote anasema aenda kuspecialize unajiuliza kuspecialize kitu ambacho hajakifanyia kazi ndio aje akifanyie kazi,hii nitofauti kabisa nawenzetu walio tuacha peke yetu huku third world ambao in late 1970's tulikuwa nao level moja ya kiuchumi we fought for our freedom in same period,wote tulipelekwa shule na kurithishwa shule na mwingereza lakini leo wako miles away ndio wanakuja tena kwetu kutoa misaada tena,mfano mzuri Bangladesh elimu kubwa pale ni masters na ni chuo kimoja tu kamasijakosea nchi nzima kinachotoa elimu hiyo lakini angalia jamaa walivyo kuwa kiuchumi ,hasa baada yakuwekeza katika elimu ya chini kabisa ambayo kwetu ndio tunatoa mafundi mchundo
 
Mkuu,hizi historia zinafutika kwa kasi ,hasa katika nchi yetu! Ukiangalia hawa wote,hakuna aliyekuwa na elimu ya Phd,kipindi wanaanza harakati,lakini walifanya makubwa!
Utashi na uzalendo ndio nguzo kuu ndugu yangu hawa wazee walikuwa na dhamira ya kweli ya kujikomboa hapo bado manguli wengine kama houphouet boigny wa ivory coast achilia mbali kina deddan kimathi sijui uzalendo waliutoa wapi leo hii matatizo ya afrika yana fanana viongozi wabadhirifu kila nchi leo hii watoto wa marais leo ni marais hatusemi hawana haki ila wengi wao wamewekwa hapo ki figisu figisu kwa maslahi ya mazee ambayo yamefanya kazi na baba zao ili yenyewe yaweze kutawala kwa remote (kitendea mbali ).
 
hapa ndio huwa najiuliza kama watanzania tunahitaji eleimu kubwa kiasi hicho kutatua matatizo yetu,maana tangia tupate huu mfumuko wa elimu za PHD na masters ndio tumezidi kudidimia kwa kasi ya ajabu sana yaani tunawasomi wengi wenye eleimu za juu ambao hawajaelimika still wanaujinga kama sisi tulio ishia darasa la saba,mfano mzuri ni wasomi wetu kushindwa kusimamia kile wanachokiamini na walicho kifanyia study na kutoa maandiko yaliyo watunuku heshima iliyo tukuka,waoga,hawana maamuzi,wabinafsi,wanafiki wengi hawajui kwanini wako katika hizo nyazifa walizo nazo
Ulafi ndugu yangu ni kitu kibaya usidhani kuwa hawajui kama wanatuingiza chaka hapana ila roho za kibinafsi na kupenda kujirundikia mali ndipo tulipofika.
 
Si wamesomeshwa na hao hao wakoloni, hawana uzalendo wa kuendeleza bali ni kupiga pesa tu. Kwani na wengine hata hizo nafasi za kwenda kusoma si walienda kiupendeleo tu ili waje kuwa watii kwa waliowapeleka.
 
Hawa waliona ilikuwa ni bora kuunganisha nguvu ili kuzuia wezi wa mali za Africa lakini wa sasa wanajitenga na kuwatenganisha wanaowatawala ili kuwasaidia wageni kuliibia bara letu kwa ujira unaotia aibu, tabu sana!
Halafu ,wachoyo kufa! Unajijenga kwako kwa ko huku wananchi kwingine wakiangamia kwa kukosa huduma muhimu kama maji. Unachukua bajeti yote kinguvunguvu!
 
Sina uhakika kama watoto wake wapo hai. Ningewashauri kama wapo,warithi na waendeleze alikoachia baba yao. Kongo bado haijajikomboa! The mercernaries are still around spoilling their "bottled independence"
Wamaharakati style ya Patrice Lumumba huwa hawazai watoto wanaowafanana kwa tabia na matendo kwa kuwa mara nyingi huwa wako mbali na famiia/wake zao. Ikitokea wanaharakati wa aina ya Lumumba wakazaa, basi huzaa na wanawake wanaokutana nao kwenye harakati. Hao nao wakizaliwa huwa hawapati fursa ya kujua baba zao wa kibaiolojia hasa ni nani, na mara nyingi hukosa matunzo kisha huishia kwenye miserable conditions mitaani. Wake zao (wanahakati halisi) huzaa watoto wasiokuwa watoto wa waume zao wa ndoa (wanaharakati) lakini kijamii (siyo kibaiolojia) hujulikana kama watoto wa wanaharakati. Hivyo kuna uwezekano wa wanaharakati kuzaa mitoto ambayo ni polar opposite na wanaharaki wanaodhaniwa kuwa baba zao. Unaweza kuchukulia mfano wa Nape Nnauye. Kama siyo Nape kujitokeza kutoka ujombani Singida (baada ya kupata shida ya kukosa matunzo na fursa za kuendelezwa kielimu), umaarufu wa Mzee Moses Nnauye ndani ya CCM ulikuwa umefutika kabisa japokuwa ukweli ni kuwa Mzee Nnauye alikuwa na 'watoto wengi aliowazaa kwa mke wake wa ndoa'.
 
Huyu hakuwaogopa wazungu, aliwapa facts tu"Nous avons connu les ironies, les insultes,les coups que nous devions subir matin, midi et soir,parce que nous étions des nègres. Qui oubliera qu'à un noir on disait <Tu>,non certes comme à un ami, mais parien que le <Vous>honorable était réservé aux blancs?Mfalme wa Ubelgiji aliposikia haya makavu live kutoka kwa Lumumba, alikasirika sana. HAPO UKAWA MWANZO WA LUMUMBA KUTAFUTWA ILI AULIWE, Mobutu akatumiwa na wazungu kumuuwa Patrice Lumumba.
katika vitu nina regret ni kutojifunza kifaransa. muda umeshasonga na ni ngumu tena kuukabili. those days, kulikuwa na fursa nyingi katika francophone countries lakini ilikuwa ngumu ku-navigate kwa sababu ya lugha...
back to topic
aliyemuua patrick Lumumba ni Joseph kasavubu, Rais wa kwanza wa DRC ingawa mobutu alikuwa ni mtekelezaji wa amri kutoka kwa serikali ya Kasavubu, akiwa kama mkuu wa majeshi. kwa upepo wa kisiasa na umaarufu aliokuwa nao PL, ilikuwa obvious kuwa ndo atafuatia kuwa Rais. ili kulinda maslahi ya ubeligiji(Belgium)....na watawala mafisadi ndani ya Congo-kinshasa, Patrick Lumumba had to go....
 
Wamaharakati style ya Patrice Lumumba huwa hawazai watoto wanaowafanana kwa tabia na matendo kwa kuwa mara nyingi huwa wako mbali na famiia/wake zao. Ikitokea wanaharakati wa aina ya Lumumba wakazaa, basi huzaa na wanawake wanaokutana nao kwenye harakati. Hao nao wakizaliwa huwa hawapati fursa ya kujua baba zao wa kibaiolojia hasa ni nani, na mara nyingi hukosa matunzo kisha huishia kwenye miserable conditions mitaani. Wake zao (wanahakati halisi) huzaa watoto wasiokuwa watoto wa wanaharakati kibaiolojia ila kijamii. Hivyo kuna uwezekano wa wanaharakati kuzaa mitoto ambayo ni polar opposite na wanaharaki wanaodhaniwa kuwa baba zao. Unaweza kuchukulia mfano wa Nape Nnauye. Kama siyo Nape kujitokeza kutoka ujombani Singida, umaarufu wa Mzee Moses Nnauye ndani ya CCM ulikuwa umefutika japokuwa ukweli ni kuwa Mzee Nnauye alikuwa na 'watoto aliowazaa kwa mke wake wa ndoa'.
Umeona mbali sana!! Ninakupongeza. Hata mimi nina mfano wa Prof mmoja,very genius, ila watoto wake watatu,mdebwedo. Inasemekana kwa nature ya kazi na harakati alizonazo,hakai sana home na wife. Sasa vibarua wake wa kulisha ngombe ndo wenye wale watoto! Na ujue,kwa vyovyote vibarua wengi ni down minded genetically,hivyo succession profile au offsprings ndo hivyo tena!
 
Mh! Yaelekea uko vizuri kwenye hii lugha ya kwa Macron. Mie najua cha kuombea maji tu lol!

Huyu hakuwaogopa wazungu, aliwapa facts tu"Nous avons connu les ironies, les insultes,les coups que nous devions subir matin, midi et soir,parce que nous étions des nègres. Qui oubliera qu'à un noir on disait <Tu>,non certes comme à un ami, mais parien que le <Vous>honorable était réservé aux blancs?Mfalme wa Ubelgiji aliposikia haya makavu live kutoka kwa Lumumba, alikasirika sana. HAPO UKAWA MWANZO WA LUMUMBA KUTAFUTWA ILI AULIWE, Mobutu akatumiwa na wazungu kumuuwa Patrice Lumumba.
 
Patrice Lumumba's Letter to Pauline Lumumba, 1960


Patrice_Lumumba.jpg


My beloved companion,

I write you these words not knowing whether you will receive them, when you will receive them, and whether I will still be alive when you read them. Throughout my struggle for the independence of my country, I have never doubted for a single instant that the sacred cause to which my comrades and I have dedicated our entire lives would triumph in the end. But what we wanted for our country — its right to an honorable life, to perfect dignity, to independence with no restrictions — was never wanted by Belgian colonialism and its Western allies, who found direct and indirect, intentional and unintentional support among certain high officials of the United Nations, that body in which we placed all our trust when we called on it for help.

They have corrupted some of our countrymen; they have bought others; they have done their part to distort the truth and defile our independence. What else can I say? ‘That whether dead or alive, free or in prison by order of the colonialists, it is not my person that is important. What is important is the Congo, our poor people whose independence has been turned into a cage, with people looking at us from outside the bars, sometimes with charitable compassion, sometimes with glee and delight. But my faith will remain unshakable. I know and feel in my very heart of hearts that sooner or later my people will rid themselves of all their enemies, foreign and domestic, that they will rise up as one to say no to the shame and degradation of colonialism and regain their dignity in the pure light of day.

We are not alone. Africa, Asia, and the free and liberated peoples in every corner of the globe will ever remain at the side of the millions of Congolese who will not abandon the struggle until the day when there will be no more colonizers and no more of their mercenaries in our country. I want my children, whom I leave behind and perhaps will never see again, to be told that the future of the Congo is beautiful and that their country expects them, as it expects every Congolese, to fulfill the sacred task of rebuilding our independence, our sovereignty; for without justice there is no dignity and without independence there are no free men.

Neither brutal assaults, nor cruel mistreatment, nor torture have ever led me to beg for mercy, for I prefer to die with my head held high, unshakable faith, and the greatest confidence in the destiny of my country rather than live in slavery and contempt for sacred principles. History will one day have its say; it will not be the history taught in the United Nations, Washington, Paris, or Brussels, however, but the history taught in the countries that have rid themselves of colonialism and its puppets. Africa will write its own history and both north and south of the Sahara it will be a history full of glory and dignity.

Do not weep for me, my companion; I know that my country, now suffering so much, ‘will be able to defend its independence and its freedom. Long live the Congo! Long live Africa!
PATRICE .
It has remained history and worth nothing to the todays citizen.
 
Mh! Yaelekea uko vizuri kwenye hii lugha ya kwa Macron. Mie najua cha kuombea maji tu lol!
Hahahahah,sasa siku ukienda Paris utapata tabu,maana wafaransa wengi hawajui english,bora ujerumani hata kama hujui kijeruman still wanaongea kiingereza vizuri kabisa.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom