Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi hawa vilaza wa Lumbua wanajua hata historia hiiBarua ya lumumba kwenda kwa mke wake... Duh kwel mapenzi yalikuwa zaman... Hakuna hata neno I love you. Ni politics and philosophy and pan africanism..... Sante lumumba
Tujuze tueleweHivi hawa vilaza wa Lumbua wanajua hata historia hii
Hahahahah,sasa siku ukienda Paris utapata tabu,maana wafaransa wengi hawajui english,bora ujerumani hata kama hujui kijeruman still wanaongea kiingereza vizuri kabisa.
hapa ndio huwa najiuliza kama watanzania tunahitaji eleimu kubwa kiasi hicho kutatua matatizo yetu,maana tangia tupate huu mfumuko wa elimu za PHD na masters ndio tumezidi kudidimia kwa kasi ya ajabu sana yaani tunawasomi wengi wenye eleimu za juu ambao hawajaelimika still wanaujinga kama sisi tulio ishia darasa la saba,mfano mzuri ni wasomi wetu kushindwa kusimamia kile wanachokiamini na walicho kifanyia study na kutoa maandiko yaliyo watunuku heshima iliyo tukuka,waoga,hawana maamuzi,wabinafsi,wanafiki wengi hawajui kwanini wako katika hizo nyazifa walizo nazo
PhD haijawahi kufanya makubwa kwenye uongozi mkuu.Mkuu,hizi historia zinafutika kwa kasi ,hasa katika nchi yetu! Ukiangalia hawa wote,hakuna aliyekuwa na elimu ya Phd,kipindi wanaanza harakati,lakini walifanya makubwa!
Nimezaliwa zamani kidogo. ila elimu yangu ni ya hapa na pale tu vipi kwani mkuu ...kwani ni ujinga sana kuwachanganya hawa watu eeeh? nisamehe tafadhariWe umezaliwa lini na umesona mpk elimu gani ? Kama umesoma haya ni majanga !
Maneno mazito sana, huwa nasikiliza hii story kila siku. Mnaweza check hapa wadau hii documentary in Kiswahili
Off topic mkuu, Id yako inanikumbusha mbali sana, bila shaka nawe ni wa kwa kilonzo.Umeona mbali sana!! Ninakupongeza. Hata mimi nina mfano wa Prof mmoja,very genius, ila watoto wake watatu,mdebwedo. Inasemekana kwa nature ya kazi na harakati alizonazo,hakai sana home na wife. Sasa vibarua wake wa kulisha ngombe ndo wenye wale watoto! Na ujue,kwa vyovyote vibarua wengi ni down minded genetically,hivyo succession profile au offsprings ndo hivyo tena!
Kabisa mkuuPatrice Lumumba na Thomas Sinkala walikuwa watoto halisi wa Africa. Sadly they faced the same fate.
Madame, tafsiri kidogo in Swahili. Itakuwa hayo maneno si mchezo.Huyu hakuwaogopa wazungu, aliwapa facts tu"Nous avons connu les ironies, les insultes,les coups que nous devions subir matin, midi et soir,parce que nous étions des nègres. Qui oubliera qu'à un noir on disait <Tu>,non certes comme à un ami, mais parien que le <Vous>honorable était réservé aux blancs?Mfalme wa Ubelgiji aliposikia haya makavu live kutoka kwa Lumumba, alikasirika sana. HAPO UKAWA MWANZO WA LUMUMBA KUTAFUTWA ILI AULIWE, Mobutu akatumiwa na wazungu kumuuwa Patrice Lumumba.
Mfano mzuri ni Mwakyembe.hapa ndio huwa najiuliza kama watanzania tunahitaji eleimu kubwa kiasi hicho kutatua matatizo yetu,maana tangia tupate huu mfumuko wa elimu za PHD na masters ndio tumezidi kudidimia kwa kasi ya ajabu sana yaani tunawasomi wengi wenye eleimu za juu ambao hawajaelimika still wanaujinga kama sisi tulio ishia darasa la saba,mfano mzuri ni wasomi wetu kushindwa kusimamia kile wanachokiamini na walicho kifanyia study na kutoa maandiko yaliyo watunuku heshima iliyo tukuka,waoga,hawana maamuzi,wabinafsi,wanafiki wengi hawajui kwanini wako katika hizo nyazifa walizo nazo
In Anne's voice!senki yuu vereee macheee...
Teet eh teh exactly..In Anne's voice!
Alafu yalivyo majinga yanasema eti huo ndio ujanja, hawawezi hata kuandika majina yao kwenye wanavyovimiliki!Halafu ,wachoyo kufa! Unajijenga kwako kwa ko huku wananchi kwingine wakiangamia kwa kukosa huduma muhimu kama maji. Unachukua bajeti yote kinguvunguvu!