Barua ya Patrice Lumumba kwa mkewe

Hivi sasa wakuu wa wizara,na taasisi nyingi ni Profs, Drs . Hawa hata Mwl. Nyerere aliwakataa kiaina akidai,jambo dogo,hushindwa kuamua kiusahihi. Too much actionless theories!
Kuna jamaa yangu yuko Taasisi moja ambayo kabla iliongozwa vizuri na jamaa wa Msc. Sasa kaja jamaa wa Phd,oh,a lot of confusion,jambo dogo,mihemko kibao kuwa yeye ndo msomo zaidi! Kazi za ile taasisi,ndani ya mwaka mmoja tu,zimekufa zote,hadi vibarua wamemkimbia!
 
Hawa waliona ilikuwa ni bora kuunganisha nguvu ili kuzuia wezi wa mali za Africa lakini wa sasa wanajitenga na kuwatenganisha wanaowatawala ili kuwasaidia wageni kuliibia bara letu kwa ujira unaotia aibu, tabu sana!
 
Nimeshindwa hili lilugha lenu....[emoji34] [emoji34]
Ndio mambo gani haya, kama sio kuoneana huku......[emoji25] [emoji25]
Ebu ngoja nijiondokee tu
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Nasikia alikuwa na two spouse of the same name ila hii inasemekana haswa aliiandika kwa mkewe mkubwa wajuz mtu dadavulie hili
 
huwa nawashangaa sana wengi wenye elimu hizi kubwa huwa hawajiamini alafu kingine sisi tunautaratibu mbovu sana wa elimu eti mtu unatoka undergraduate huyo hajamaliza hata mwaka anaenda kuchukua masters hana experience yoyote anasema aenda kuspecialize unajiuliza kuspecialize kitu ambacho hajakifanyia kazi ndio aje akifanyie kazi,hii nitofauti kabisa nawenzetu walio tuacha peke yetu huku third world ambao in late 1970's tulikuwa nao level moja ya kiuchumi we fought for our freedom in same period,wote tulipelekwa shule na kurithishwa shule na mwingereza lakini leo wako miles away ndio wanakuja tena kwetu kutoa misaada tena,mfano mzuri Bangladesh elimu kubwa pale ni masters na ni chuo kimoja tu kamasijakosea nchi nzima kinachotoa elimu hiyo lakini angalia jamaa walivyo kuwa kiuchumi ,hasa baada yakuwekeza katika elimu ya chini kabisa ambayo kwetu ndio tunatoa mafundi mchundo
 
Mkuu,hizi historia zinafutika kwa kasi ,hasa katika nchi yetu! Ukiangalia hawa wote,hakuna aliyekuwa na elimu ya Phd,kipindi wanaanza harakati,lakini walifanya makubwa!
Utashi na uzalendo ndio nguzo kuu ndugu yangu hawa wazee walikuwa na dhamira ya kweli ya kujikomboa hapo bado manguli wengine kama houphouet boigny wa ivory coast achilia mbali kina deddan kimathi sijui uzalendo waliutoa wapi leo hii matatizo ya afrika yana fanana viongozi wabadhirifu kila nchi leo hii watoto wa marais leo ni marais hatusemi hawana haki ila wengi wao wamewekwa hapo ki figisu figisu kwa maslahi ya mazee ambayo yamefanya kazi na baba zao ili yenyewe yaweze kutawala kwa remote (kitendea mbali ).
 
Ulafi ndugu yangu ni kitu kibaya usidhani kuwa hawajui kama wanatuingiza chaka hapana ila roho za kibinafsi na kupenda kujirundikia mali ndipo tulipofika.
 
Si wamesomeshwa na hao hao wakoloni, hawana uzalendo wa kuendeleza bali ni kupiga pesa tu. Kwani na wengine hata hizo nafasi za kwenda kusoma si walienda kiupendeleo tu ili waje kuwa watii kwa waliowapeleka.
 
Hawa waliona ilikuwa ni bora kuunganisha nguvu ili kuzuia wezi wa mali za Africa lakini wa sasa wanajitenga na kuwatenganisha wanaowatawala ili kuwasaidia wageni kuliibia bara letu kwa ujira unaotia aibu, tabu sana!
Halafu ,wachoyo kufa! Unajijenga kwako kwa ko huku wananchi kwingine wakiangamia kwa kukosa huduma muhimu kama maji. Unachukua bajeti yote kinguvunguvu!
 
Sina uhakika kama watoto wake wapo hai. Ningewashauri kama wapo,warithi na waendeleze alikoachia baba yao. Kongo bado haijajikomboa! The mercernaries are still around spoilling their "bottled independence"
Wamaharakati style ya Patrice Lumumba huwa hawazai watoto wanaowafanana kwa tabia na matendo kwa kuwa mara nyingi huwa wako mbali na famiia/wake zao. Ikitokea wanaharakati wa aina ya Lumumba wakazaa, basi huzaa na wanawake wanaokutana nao kwenye harakati. Hao nao wakizaliwa huwa hawapati fursa ya kujua baba zao wa kibaiolojia hasa ni nani, na mara nyingi hukosa matunzo kisha huishia kwenye miserable conditions mitaani. Wake zao (wanahakati halisi) huzaa watoto wasiokuwa watoto wa waume zao wa ndoa (wanaharakati) lakini kijamii (siyo kibaiolojia) hujulikana kama watoto wa wanaharakati. Hivyo kuna uwezekano wa wanaharakati kuzaa mitoto ambayo ni polar opposite na wanaharaki wanaodhaniwa kuwa baba zao. Unaweza kuchukulia mfano wa Nape Nnauye. Kama siyo Nape kujitokeza kutoka ujombani Singida (baada ya kupata shida ya kukosa matunzo na fursa za kuendelezwa kielimu), umaarufu wa Mzee Moses Nnauye ndani ya CCM ulikuwa umefutika kabisa japokuwa ukweli ni kuwa Mzee Nnauye alikuwa na 'watoto wengi aliowazaa kwa mke wake wa ndoa'.
 
katika vitu nina regret ni kutojifunza kifaransa. muda umeshasonga na ni ngumu tena kuukabili. those days, kulikuwa na fursa nyingi katika francophone countries lakini ilikuwa ngumu ku-navigate kwa sababu ya lugha...
back to topic
aliyemuua patrick Lumumba ni Joseph kasavubu, Rais wa kwanza wa DRC ingawa mobutu alikuwa ni mtekelezaji wa amri kutoka kwa serikali ya Kasavubu, akiwa kama mkuu wa majeshi. kwa upepo wa kisiasa na umaarufu aliokuwa nao PL, ilikuwa obvious kuwa ndo atafuatia kuwa Rais. ili kulinda maslahi ya ubeligiji(Belgium)....na watawala mafisadi ndani ya Congo-kinshasa, Patrick Lumumba had to go....
 
Umeona mbali sana!! Ninakupongeza. Hata mimi nina mfano wa Prof mmoja,very genius, ila watoto wake watatu,mdebwedo. Inasemekana kwa nature ya kazi na harakati alizonazo,hakai sana home na wife. Sasa vibarua wake wa kulisha ngombe ndo wenye wale watoto! Na ujue,kwa vyovyote vibarua wengi ni down minded genetically,hivyo succession profile au offsprings ndo hivyo tena!
 
Mh! Yaelekea uko vizuri kwenye hii lugha ya kwa Macron. Mie najua cha kuombea maji tu lol!

 
It has remained history and worth nothing to the todays citizen.
 
Mh! Yaelekea uko vizuri kwenye hii lugha ya kwa Macron. Mie najua cha kuombea maji tu lol!
Hahahahah,sasa siku ukienda Paris utapata tabu,maana wafaransa wengi hawajui english,bora ujerumani hata kama hujui kijeruman still wanaongea kiingereza vizuri kabisa.
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…