Barua ya Patrice Lumumba kwa mkewe

Barua ya lumumba kwenda kwa mke wake... Duh kwel mapenzi yalikuwa zaman... Hakuna hata neno I love you. Ni politics and philosophy and pan africanism..... Sante lumumba
 
Barua ya lumumba kwenda kwa mke wake... Duh kwel mapenzi yalikuwa zaman... Hakuna hata neno I love you. Ni politics and philosophy and pan africanism..... Sante lumumba
Hivi hawa vilaza wa Lumbua wanajua hata historia hii
 
Nimewahi kufikia Mkuu nami nilidhani ningepata shida ila thanks kwa wahamiaji sikupata shida kabisa and my stay there was wonderful and very memorable.

Hahahahah,sasa siku ukienda Paris utapata tabu,maana wafaransa wengi hawajui english,bora ujerumani hata kama hujui kijeruman still wanaongea kiingereza vizuri kabisa.
 
Kufa kishujaa binadamu wa sasa tulivyo wabinafsi hamna mtu anataka kufa kujitoa mhanga kwa ajili ya vizazi vijavyo. angekuwepo nyakati hizi asingepigania uhuru
 
Naona kama ni waraka WA kisiasa tu kama nyaraka nyingine za kisiasa wala sio barua kwa mkewe.
 

Kuna miaka ilikuwa ili uaminike ni lazima uwe na masters, phd,uonekane msomi, iwe rahisi kukuuza majukwaani, matokeo yake ukazuka huu ujanja ujanja wa degree feki kibao.
Wanasiasa wetu wengi leo wana madegree fake mradi tu waitwe doctors, lakini hamna kitu.
 
Mkuu,hizi historia zinafutika kwa kasi ,hasa katika nchi yetu! Ukiangalia hawa wote,hakuna aliyekuwa na elimu ya Phd,kipindi wanaanza harakati,lakini walifanya makubwa!
PhD haijawahi kufanya makubwa kwenye uongozi mkuu.
 
Wapigania uhuru na wazalendo wa kwel weng hawakuachiwa nchi.

Wakolon waliwaogopa hao na kwa kuwa kuna vitu walkuwa bado wanazid kuvihitaj kama tuonavyo leo.... Weng waliochiwa uongoz walkuwa vibaraka na hiki ndicho kinachotutesa had leo ....
Namkubali sana huyu jamaa

Ngoja niichek tena ile video yake ya ukomboz had kifo chake
 
We umezaliwa lini na umesona mpk elimu gani ? Kama umesoma haya ni majanga !
Nimezaliwa zamani kidogo. ila elimu yangu ni ya hapa na pale tu vipi kwani mkuu ...kwani ni ujinga sana kuwachanganya hawa watu eeeh? nisamehe tafadhari
 
Mtoto wangu wa pili ataitwa Patricelumumba Rafael na watatu ataitwa Fidelcastro Rafael.
 
Maneno mazito sana, huwa nasikiliza hii story kila siku. Mnaweza check hapa wadau hii documentary in Kiswahili
It is a very painful documentary. Laiti angekuwa kapita jeshi,huenda wasingemuweza! Hayati Gamal Naser aliliona hilo mapema ktk harakati kwao Misri. Aliahirisha kuendelea na masomo ya juu,akaingia jeshi kambini kujifua! Ilimsaidia sana,otherwise asingefanikiwa.
 
Off topic mkuu, Id yako inanikumbusha mbali sana, bila shaka nawe ni wa kwa kilonzo.
 
Madame, tafsiri kidogo in Swahili. Itakuwa hayo maneno si mchezo.
 
Mfano mzuri ni Mwakyembe.
 
Halafu ,wachoyo kufa! Unajijenga kwako kwa ko huku wananchi kwingine wakiangamia kwa kukosa huduma muhimu kama maji. Unachukua bajeti yote kinguvunguvu!
Alafu yalivyo majinga yanasema eti huo ndio ujanja, hawawezi hata kuandika majina yao kwenye wanavyovimiliki!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…