Barua ya Patrice Lumumba kwa mkewe

A TRUE SON OF AFRICA
 
maana yake tupatie kidogo angalau
 
Miongoni mwa watoto wa kweli wa mama afrika kwame nkurumah, ngwabi, tafawa balewa nnamndi azikiwe, silvanus olimpio aah list ni ndefu hivi vyuma ukijumlisha na Nyerere pia kaunda unapata mengi ya kukumbuka.
na yule aliyesema mwaweza niua mimi lakin kamwe hamuwezi ua mawazo yangu, "Thomas Sankara"
 
na yule aliyesema mwaweza niua mimi lakin kamwe hamuwezi ua mawazo yangu, "Thomas Sankara"
Wote hao sankara alikuwa mwana mapinduzi kweli pia Togo ya silvanus olimpio huyu nadhani ndio kiongozi wa kwanza kuuwawa akiwa rais katika ardhi ya afrika kama sijakosea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…