Askofu na Shekhi wakiunganisha nguvu.Vita ya namna hiyo inahitaji akili kubwa sana kupigana.Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Sheikh Ponda alimtuma Katibu Muhtasi wake kupeleka barua nyumbani kwa Askofu Mwamakula , siku ambayo Baba Askofu aliitisha mkutano na waandishi wa habari wa nje na ndani .
Lengo la barua hiyo ni kutambua mchango wa Askofu Mwamakula katika kupigania Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi .