Barua ya Sheikh Ponda kwenda kwa Askofu Mwamakula hii hapa

Askofu na Shekhi wakiunganisha nguvu.Vita ya namna hiyo inahitaji akili kubwa sana kupigana.
 
Niko nyuma ya Mwamakula. Siku yoyote atakayopanga maandamano niko tayari.

Bora nikafe mbele ya polisi kuliko kufa kwa njaa ndani ya nyumba ama jazba ya kuporwa kura yangu ama jazba ya kuharibiwa masoko ya mazao yangu
Mbona kwa Lissu hukutokea?
 
Niko nyuma ya Mwamakula. Siku yoyote atakayopanga maandamano niko tayari.

Bora nikafe mbele ya polisi kuliko kufa kwa njaa ndani ya nyumba ama jazba ya kuporwa kura yangu ama jazba ya kuharibiwa masoko ya mazao yangu
Keyboard warriors ila kwenye matukio hatuwaoni.
 
Hahaha
Mambosasa alitukamata usiku wa kuamkia tukio
Hahahahaa😁😁😁 sasa siku hiyo mtakamatwa mkiwa mmechakaa na hamtatamani kurudia.
Na baada ya hapo mtatafuta kazi za kufanya, maana kwa sasa inaonekana hamna kazi.
 
Allah (sw) ampe maisha marefu yenye Amani Sheikh wetu Ponda. Kwa miaka mingi Sheikh Ponda amejitokeza kuwa wakili wa kudai haki bila kujali mipaka ya dini na mirengo ya kisiasa.

Sheikh Ponda anapaswa kuungwa mkono na wapenda haki pote Tanzania na duniani kwa ujumla.
 
Huyu mrundi hakomi hulka za kirundi kupigania mamlaka ya kisiasa. Anachopigania wala hakielewi ili mradi tu anapambana na mamlaki iliyoko madarakani roho yake inaona fahari

Ugopa mpumbavu anayejiamini 'confident fool'. Watu hao ukiwaruhusu wanaweza sumbua sana jamii.
 
It is a genuine course worthy praising and supporting. Bravo Bishop. Bravo Sheikh Ponda.
 
Nimeipenda
 
Mimi mtoto wa mchungi sielewi hata kidogo hawa viongozi wa dini. Yaani katika dini au imani wanatofautiana kabisa lakini katika katiba wanakuwa pamoja nashindwa kuwaelewa nani zaidi kati ya Mungu na katiba ebu soma 5:51 Sulat ul Almaidah alafu soma 2 korintho 6:14 - 18. Alafu njooni
 
Niko nyuma ya Mwamakula. Siku yoyote atakayopanga maandamano niko tayari.

Bora nikafe mbele ya polisi kuliko kufa kwa njaa ndani ya nyumba ama jazba ya kuporwa kura yangu ama jazba ya kuharibiwa masoko ya mazao yangu
Kwa Tanzania Kizazi hiki hakuna mwenye ujasiri huo, sahau kabisa.... ...hapo ulipo ukiingizwa kidogo unakojoa kama mwehu....watu wenye ujasiri huwa hawana muda wa kwenda gym, sijui kutafuta six packs, urembo nk....angalia wasomali au myanamar hakuna mabaunsa wala mbwembwe za urembo lakini moto wao si wa dunia hii wakiliamsha dude..........
 
Tupo wabongo wachache sana tunaoweza kujitoa mhanga lkn tunakatishwa tamaa na mapoyoyo walio wengi ambao hata ufanye nn hawakuungi mkono kwa maslahi ya maisha yao hata kama Ni ya shida.

Wabongo wabinafsi Sana . Wanaipenda dunia siyo kawaida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…