Barua ya Shetani kwa Mtawa wa Kikristo 1676: Mungu ni mvumbuzi wa Binadamu

Barua ya Shetani kwa Mtawa wa Kikristo 1676: Mungu ni mvumbuzi wa Binadamu

Kuna watu wengine hawajawahi kutoka nje ya Dar, achilia mbali Tanzania, lakini wako busy kutafuta mambo ya nje ya dunia hii. Embu tulieni, kazi inaendelea
Mada imekuzidi kimo kijana ni bora usome then ukae kimya ujilie ugali wako.
 
I have some scripts in my library...!
I suggest "don't copy this scripts it can disturb some elements"
 
Mungu hawezi kuvumbuliwa na watu.wakati yeye ANASEMA NDO AMETUUMBA NA KUTUVUMBUA.
bila WATU MUNGU ALIKUWEPO.YUPO,NA ATAKUWEPO HATA WATU KUPITA.
Swala la Mungu kuvumbuliwa na watu halikuhitaji barua ya MTAWA ili watu tujue. Tulishalijua hilo ila tulichoshindwa kukijua ni jina la huyo mtu

Kama utafiti unaendelea natumai kuona barua zingine zenye kuleta hayo majibu ambayo kwa muda tumekua tukiyatafuta
 
Back
Top Bottom