Barua ya uhamisho kutoka mkoani kwenda halmashauri inaweza kukuhamisha?

Joined
Sep 12, 2020
Posts
53
Reaction score
42
Habar za mda huu wadau,

Naomba ushauri wenu nimekuwa nikifatilia suala la uhamisho kwa nguvu saana mara ya mwisho TAMISEMI wananiambia barua yako ipo halmashaur subili utaarifiwa,

Ikawa kimya miezi nikaamua kwenda halmashaur kuulizia chenga zikawa nyingi saana hatimaye mwsho wa siku ps akaniambia, ameona tu barua yangu ya kutoka mkoan ikiwa imesainiwa na mkurugenzi lakin ya kutoka tamisem hawajaiona wanasubiri, ila akasema ils angeiona kabla angetoa copy ili moja ibaki na angeniita

Sasa wadau naomben ushauri wenu maana naona kama kuna mchezo

Je hayo aliyoniambia ps ni ukwel? Kuwa mpaka waione ya tamisem? Na je hiyo ya mkoan haiwezi kufanya kazi?
 
Habar za mda huu wadau,

Naomba ushauri wenu nimekuwa nikifatilia suala la uhamisho kwa nguvu saana mara ya mwisho TAMISEMI wananiambia barua yako ipo halmashaur subili utaarifiwa,

Ikawa kimya miez nikaamua kwenda halmashaur kuulizia chenga zikawa nyingi saana hatimaye mwsho wa siku ps akaniambia, ameona tu barua yangu ya kutoka mkoan ikiwa imesainiwa na mkurugenzi lakin ya kutoka tamisem hawajaiona wanasubiri, ila akasema ils angeiona kabla angetoa copy ili moja ibaki na angeniita

Sasa wadau naomben ushauri wenu maana naona kama kuna mchezo
Je hayo aliyoniambia ps ni ukwel? Kuwa mpaka waione ya tamisem? Na je hiyo ya mkoan haiwezi kufanya kazi?
 
Kua mpole wanakuja sw.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Unahamia Halmashauri ndani ya mkoa au nje ya mkoa??
 
Nje ya mkoa, yani kwa maelezo ya tamisemi wao wanasema wametuma kibali ila ps ananiambia hajaona ya kutoka tamisemi ila kaona nakala ya kutoka mkoan iliyotumwa na tamisemi wametumiwa wao halmshaur
 
Sasa si ndio hii barua yako unayoiulizia. Barua imeandikwa na KM TAMISEMI inakuja kwako na inapitia kwa RAS na DED. Mwambie ndio hiyo inatakiwa kushuka kuja Halmashauri. Unless sijaluelewa bado hebu fafanua vizuri.​
 
Ndiyo na mim ndo nilikuwa naelewa hivo kwamba ni hiyo hiyo, ila ps wa halmashaur alichosema ndo kimefanya nije niulize hapa alisema mpaka na wao wapate email ya kutoka tamisemi ndo waniite,yan ziwe mbili et nakala iliyotoka mkoan na waliyotumiwa kwenye email, ndo mana nmekuja kuulizia au ni mchezo ananifanyia
 
Mbless kidogo kaka sometimes unakutaga mambo si mambo
 
Back
Top Bottom