NANSOR WA RYMEZ
Member
- Sep 12, 2020
- 53
- 42
Nje ya mkoa, yani kwa maelezo ya tamisemi wao wanasema wametuma kibali ila ps ananiambia hajaona ya kutoka tamisemi ila kaona nakala ya kutoka mkoan iliyotumwa na tamisemi wametumiwa wao halmshaurUnahamia Halmashauri ndani ya mkoa au nje ya mkoa??
Nje ya mkoa, yani kwa maelezo ya tamisemi wao wanasema wametuma kibali ila ps ananiambia hajaona ya kutoka tamisemi ila kaona nakala ya kutoka mkoan iliyotumwa na tamisemi wametumiwa wao halmshaur
Ndiyo na mim ndo nilikuwa naelewa hivo kwamba ni hiyo hiyo, ila ps wa halmashaur alichosema ndo kimefanya nije niulize hapa alisema mpaka na wao wapate email ya kutoka tamisemi ndo waniite,yan ziwe mbili et nakala iliyotoka mkoan na waliyotumiwa kwenye email, ndo mana nmekuja kuulizia au ni mchezo ananifanyiaSasa si ndio hii barua yako unayoiulizia. Barua imeandikwa na KM TAMISEMI inakuja kwako na inapitia kwa RAS na DED. Mwambie ndio hiyo inatakiwa kushuka kuja Halmashauri. Unless sijaluelewa bado hebu fafanua vizuri.
Mbless kidogo kaka sometimes unakutaga mambo si mamboNdiyo na mim ndo nilikuwa naelewa hivo kwamba ni hiyo hiyo, ila ps wa halmashaur alichosema ndo kimefanya nije niulize hapa alisema mpaka na wao wapate email ya kutoka tamisemi ndo waniite,yan ziwe mbili et nakala iliyotoka mkoan na waliyotumiwa kwenye email, ndo mana nmekuja kuulizia au ni mchezo ananifanyia
Sawa kakaMbless kidogo kaka sometimes unakutaga mambo si mambo