Barua ya Wazanzibari waishio UK, US kwa Amnesty

UAMSHO ni magaidi period na sheikh farid na mselem ni magaidi #1
 
Dini ikienezwa USA na UK ni sawa, ila ikienezwa Zanzibar mnachoma makanisa, eti eeh?

Mbona ZNZ mmekuwa mkieneza dini muda mrefu tu, unakuwa na akili za samaki (Nimemnukuu Karume kwa vile unasahau saha). Kwani ZNZ makanisa yamechomwa mara ngapi kwa kumbu kumbu zako tangu uzaliwe?
 
Taasisi zote ulizotaja ni wanasheria na wazijua haki za binadamu vya kutosha! utafiti utafanywa kabla ya kutoa tamko. Ni vyema wameshtaki huko kwa sababu ukweli utakuwa wazi!!
 
Siku zote wapemba akili zao mgando huyi aliyeandka hii barua ni mpemba wala si munguja hawa jamaa wabinafsi sana,mbona hawasemi kuhusu sheikh soraga kumwagiwa tindikali, nisiseme meng mbona sasa zanzibar kumetulia hakuna fujo hawa ndo wamesababisha haya matatzo meng watu mpaka kushndwa kwenda makazini na kuharibu vitu kibao, SMZ itapata heshma ikiwafunga miaka 250
 
Mbona hiyo barua imejaa uwongo? Eti kulikuwa na "peaceful demonstrations" huku makanisa yakiwa yamechomwa moto na hao UAMSHO? Wao kunyolewa ndevu ni ni issue wakati wao wanaharibu mali za wenzao, ama kweli mkuki kwa nguruwe....!

Baba umenena ukweli kama lilivyo jina lako.
 
Mbona kama kuchoma makanisa kosa kubwa. mbona waliochoma miskiti mto wa Mbu wanatesa mitaani?
 
Nasikia hata kusoma quran wamezuia. najiuliza hata kusoma qurani wamezuiwa kwani rais wa tz bado Mkapa na sio JK?
 
makanisa yalichomwa walikaa kimya na kudhani hakuna kiumbe aliyrkosa haki inayohitaji msaada wa AMNESTY lakini hili la UAMSHO ndilo ni la kukiuka haki za binadamu?

AMNESTY wanajua kila kitu kinachoendelea zanzibar na wako kimya, why? wanataka ukiukaji wa haki za binadamu uume kote kote?
 
wapeleke malalamiko OIC kwani AMNESTY inalalamikiwa ni ya makafir na mwendelezo wa mfumo kristo.
 

kumwagiwa tindikali kwa sheikh soraga, kuuwawa kwa askari, kutukana imani zingine na kuchoma makanisa kulifuata mkondo upi wa sheria?
 
Sasa huelewi nini hapo? Hoja iko very broad; Human rights violations kwa watuhumiwa! Unafumba macho na kujifanya una uchungu sana na makaburi na makanisa. Wewe unamjua aliyemuua askari? Uko tayari kwenda kuthibitisha mahakamani?

wewe una uhakika kuwa ni kweli Farid anateswa mahabusu?
 
kumwagiwa tindikali kwa sheikh soraga, kuuwawa kwa askari, kutukana imani zingine na kuchoma makanisa kulifuata mkondo upi wa sheria?

Hizo zote ni dhana. Hakuna tangible ushahidi hadi sasa kwamba hayo yote yalifanywa na hao walioko ndani. Kama unao hebu tupatie au upeleke mahakamani. Hakuna hata mmoja ambaye anasupport vurugu hizo hata hao Uamsho hawajawahi kussuport. Kwani makanisa yameanza kujengwa leo ZNZ? Soraga alihamia juzi ZNZ? Imani gani imetukanwa na uko wapi ushahidi kwamba UAMSHO walifanya hivyo? Tatizo ni chuki tu kwa vile mumepata scape goat, mnajifanya haki hamuioni mnasupport dhulma kwa watu ambao hawana makosa. Tatizo kubwa la UAMSHO ni kusema hawataki muungano kama hujui.
 

ya kwako nayo ni dhana tu hakuna aliyewekwa mahabusu na Farid kati yetu.
 
wapeleke malalamiko OIC kwani AMNESTY inalalamikiwa ni ya makafir na mwendelezo wa mfumo kristo.

TZ ni member wa Amnesty International lakini sio member wa OIC. Therefore, kama watanzania, wanayo haki ya kupeleka malalamiko yao kwenye chombo ambacho wanatumia kodi zao kupeleka michango. Kafiri anayefumbia macho dhulma iliyowazi ni mfano wako, wengine at least ukijenga hoja ya kweli wanaweza kukusikiliza.
 
ya kwako nayo ni dhana tu hakuna aliyewekwa mahabusu na Farid kati yetu.

Kaazi kwelikweli kama jina lako. Sasa unalalamika nini? Hayo malalamiko yamepelekwa Amnesty sio kwako kwa vile walijua kwamba wewe na wenzako mko biased kwa vile mna hasira na kuchomewa makanisa na wahuni wachache ili mpate kuwabambikizia kesi wengine. Ni nani asiyejua?
 
Mbona ZNZ mmekuwa mkieneza dini muda mrefu tu, unakuwa na akili za samaki (Nimemnukuu Karume kwa vile unasahau saha). Kwani ZNZ makanisa yamechomwa mara ngapi kwa kumbu kumbu zako tangu uzaliwe?

Na kwani haki za binadamu Zanzibar zimevunjwa mara ngapi?

1992 mlijaribu kuchoma kanisa katoliki sema mkaishia kupata kichapo kwani kuna vijana wa JWTZ walikuwa wanasali hapo. Lakini jumla ni majaribio 14
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…