Una maana kama unaishi nje ya nchi yako, huna haki ya kuitetea?
Maana yangu ni kuwa kama kweli una nia ya kutetea nchi yako, uietee kweli na sio kuleta mambo yasio na msingi, au kujiingiza kwenye siasa uchwarwa. Kama kuna ukiukaji wa haki za binadamu waje Zanzibar na kuwaambia wanaokiuka haki za binadamu ni nani na wanakiuka vipi.
Zanzibar kuna matatizo makubwa mawili, kwanza ni imani na itikadi, na lingine ni mambo ya uchumi. Watu wanataka kuwa na maisha bora na mifuko yao iwe na pesa, ili kama wananjaa wale chakula kizuri, kama wana usingizi walale kwenye kitanda kizuri,kama wanaumwa watibiwe vizuri, mtatizo hayo ndio yanawatesa wazanzibar wengi, na haki wanazotaka ndio hizo.
It is not first or second time time that this is happening, but in a couple of occasions especially baada ya polisi kudeal na vurugu za uchaguzi, kuna watu walitumia issue hii kutafuta njia ya kupata ukimbizi Ulaya na America, na walifanikiwa kwa kuwa walikuwa na sbaabu fulani. Lakini kwa sasa all claims made by these offshoots of terrorists and their proxies in UK and US, that there is severe violation of human rights in The Isles, it is just a load of BS. Rights to kill security officers, keep beard, destroy property, loot, hatred, disturb public order are not close to any human right. The right not to be arrested when you commit crime or any offence can not, will not and must not be taken serious by any person with working brains.
It is not a secret that conditions in our prisons are inhumane, but those are prisons we have. Magareza yasilalamikiwe kwa sababu watau fulani wako gerezani, kama kweli kungekuwa na nia ya kuboresha hali ya magereza, basi wangelalamika tangu zamani wakati wengine walipokuwa wanakaa huko magerezani.