Wise bro.. ingawa vyombo ushaweka leo.karibu hapa mlimani kwenye show ya 30yrsNyie vijana mtambue kuwa hakuna umri wa mafanikio, mimi ni kati ya vijana nilianza kufanikiwa nikiwa na miaka 33 , yani hapo kwa umri huo buku sina , nilichokua nacho ni mind setting na akili ya pesa tu .
Leo hii nikifilisika kabisa nikawa na 50 elfu tu , nitampita ambae anajiona yupo vizuri na umri wa miaka 18 tu๐ค
Pesa ni mtazamo , mafanikio hayaji bila kutegemea akili yako ipoje, na mtazamo ๐ค
N.B mimi siwapi njia nawapa mwanga tu .
Hapa ndipo unapoua mavijanaN.B mimi siwapi njia nawapa mwanga tu
Kufanikiwa kunapimwaje? Wewe ulikuwaje au ulikuwa na nini ukaona sasa umefanikiwa.Nyie vijana mtambue kuwa hakuna umri wa mafanikio, mimi ni kati ya vijana nilianza kufanikiwa nikiwa na miaka 33 , yani hapo kwa umri huo buku sina , nilichokua nacho ni mind setting na akili ya pesa tu .
Leo hii nikifilisika kabisa nikawa na 50 elfu tu , nitampita ambae anajiona yupo vizuri na umri wa miaka 18 tu๐ค
Pesa ni mtazamo , mafanikio hayaji bila kutegemea akili yako ipoje, na mtazamo ๐ค
N.B mimi siwapi njia nawapa mwanga tu .
Ama kwa hakika bwashee๐Sijajua mwezi mpevu huu Bwashee ๐๐
Ndio mkuu hakuna kuremba