min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
- Thread starter
- #21
Hii ni historia yangu , mimi nikiwa na miaka 33 sina ramani kitu nilikua nacho ni akili yangu na imani na msimamo wangu tu .Ndio mkuu hakuna kuremba
Nilianza biashara bila mtaji frame tupu kiti na meza Nikitoa huduma kama dalali watu wanadhani mimi ndo nina machine .
Aiseh mpaka napata Zangu ulikuwa msoto nilikataa kabisa kukopa bank ili nianze biashara Nikita na kiwanja kilichopimwa ila betting ndo ilipa mtaji.