Hii ni historia yangu , mimi nikiwa na miaka 33 sina ramani kitu nilikua nacho ni akili yangu na imani na msimamo wangu tu .Ndio mkuu hakuna kuremba
Nilianza biashara bila mtaji frame tupu kiti na meza Nikitoa huduma kama dalali watu wanadhani mimi ndo nina machine .
Aiseh mpaka napata Zangu ulikuwa msoto nilikataa kabisa kukopa bank ili nianze biashara Nikita na kiwanja kilichopimwa ila betting ndo ilipa mtaji.
KAma ukilewa unatema madini hivi. Bas usiache kunywe.Vyombo muhimu bwashee š š
Basi Unalewa miguu sio kichwa.Yeah nikilewa nawapa njugu , ni nyie tu
MKuu wewe ni mkibosho eeh!Kichwa ikilewa ndio inapta moto bwashee
Kuna mtu anashindia dagaa Mchele na sukuma wiki kwa ugali wiki nzima ak8badili sana ni viazi vitamu alafu anasema Ana amani wewe tafuta pesaMafanikio si pesa mkuu katika maisha! Mafanikio ni furaha,amani na utulivu moyoni. Ukikosa haya mambo matatu hata kama unapesa kama elon hutainjoi maisha. Lakini lazima tujue factors zinazoweza kumfanya mtu awe na furaha,amani na utulivu basi mojawapo ni pesa.
Bwashee Linda fikra zako kwa wivu mkubwa
Apo kibosho kupiga tungi ni heshima.Yeah
Kabisa mkuu, kuna ile hali ya moto wa mafanikio ukiwa unawaka ndani yako , kamwe hauta kata tamaa.Mwaka jana mwezi kama huunilikua na hali mbaya na madeni kila mahala ila nikajifunza mapambano yanahitaji ujasiri sometime usiogope madeni yakabili pale ndo utakua.
Leo nimesahauš
SahihiKabisa mkuu, kuna ile hali ya moto wa mafanikio ukiwa unawaka ndani yako , kamwe hauta kata tamaa.