Ponjoro
JF-Expert Member
- Sep 7, 2013
- 442
- 396
Chungwa la kilwa kipatimu...chungwa tamu na linanukia!!! Chungwa la muhoro...chungwa kubwa lina maji mengi na ni tamu!!!Ally Kiba ni sawa na machungwa ya kilwa...
sijaona machungwa matamu kama ya kilwa....
lakini wengi hata hawajui kilwa kuna machungwa
wengine wanakula machungwa ya kilwa wakifikiri ni machungwa ya Tanga...
Machungwa ya Tanga yamebeba soko na umaarufu mkubwa
wakati hata robo hayaingii kwa machungwa ya kilwa....
Hata huko Kilwa hao wakulima hawajui machungwa yao ndo the best in East Africa...
na umasikini bado uko vilevile
Kipatimu ni hatari zaidi...