Kiba yupo hivo hivo hajawahi kuwa juu kama mnavyompamba,kolabo za kimataifa zenye akili zinataka pesa, kiba hiyo pesa hana na hata management yake imeona haina sababu ya kutupa pesa kwake kwavile hajawa na vigezo vya kuweza kurudisha pesa watakayoiweka kwake na tulishasema humu hiyo Sony ni changa la macho.
Kuonyesha anachomiliki inataka awe nacho, sasa kama hana unataka aonyeshe nini,wakati yeye anataka atakachokionyesha ni kile kilichomzidi DIAMOND......... ??
Tuzo ameshawai kuwapongeza mashabiki wake,sema hawezi kujisifu sana kwa vile kuna mtu keshazipata hizo x 30 yake,na yeye anataka akionyesha kiwe ndio yeye wa kwanza.
Mnampambanisha na mtu ambaye keshamzidi x 3,000 unategemea nini kutoka kwake....... si mnamchosha tu.
Mwenzake ana vitu vifuatavyo yeye hana,kisha mnazidi kumshindanisha huoni munampa stress hasizozitarajia.
1.Studio.
2.bendi.
3.lebo. (wcb)
4.ofisi.
5.wafanyakazi zaidi ya 40.
6.Tuzo 40+na ni icon wa taifa.
7.anaweza kupiga shoo nje (ya AFRIKA) peke yake na akajaza.
8.palipo na shoo kubwa za kimataifa zinazohusu wasanii wa Africa na yeye yupo.
9. yupo ktk muonekano wenye HADHI YA WASANII WA KIMATAIFA (sio msanii huna tofauti na hadhi ya msanii wa singeli Man Fongo)
N.K.