Barua ya wazi kwa Alikiba

Barua ya wazi kwa Alikiba

Shabiki maviii huyuuu...Tunataka mziki mzuri sio collabo tu..Kiba apo vizul for now..Kama umechoka kumshabikia una uhuru wa kuondoka na kusaoni mkataba na wasafi..Utapewa kiki hata utoke na Gigy money
ndio tatizo la mashabiki jamaa amesema kitu point unakurupuka kujibu hadi unakosea kuandika vizuri,tulia na soma post vizuri mfyuuuuuuuuuuuuuu
 
Kiba yupo hivo hivo hajawahi kuwa juu kama mnavyompamba,kolabo za kimataifa zenye akili zinataka pesa, kiba hiyo pesa hana na hata management yake imeona haina sababu ya kutupa pesa kwake kwavile hajawa na vigezo vya kuweza kurudisha pesa watakayoiweka kwake na tulishasema humu hiyo Sony ni changa la macho.

Kuonyesha anachomiliki inataka awe nacho, sasa kama hana unataka aonyeshe nini,wakati yeye anataka atakachokionyesha ni kile kilichomzidi DIAMOND......... ??

Tuzo ameshawai kuwapongeza mashabiki wake,sema hawezi kujisifu sana kwa vile kuna mtu keshazipata hizo x 30 yake,na yeye anataka akionyesha kiwe ndio yeye wa kwanza.

Mnampambanisha na mtu ambaye keshamzidi x 3,000 unategemea nini kutoka kwake....... si mnamchosha tu.

Mwenzake ana vitu vifuatavyo yeye hana,kisha mnazidi kumshindanisha huoni munampa stress hasizozitarajia.

1.Studio.
2.bendi.
3.lebo. (wcb)
4.ofisi.
5.wafanyakazi zaidi ya 40.
6.Tuzo 40+na ni icon wa taifa.
7.anaweza kupiga shoo nje (ya AFRIKA) peke yake na akajaza.
8.palipo na shoo kubwa za kimataifa zinazohusu wasanii wa Africa na yeye yupo.
9. yupo ktk muonekano wenye HADHI YA WASANII WA KIMATAIFA (sio msanii huna tofauti na hadhi ya msanii wa singeli Man Fongo)

N.K.
mimi sidhani kama jamaa kashindanisha mtu hapa wewe ndio umeleta ushabiki na kushindanisha watu, all in all wote tunajua ambapo ally yupo na wapi nasib yupo.Jamaa ameongelea mambo ambayo kiba anafeli akiwa kama shabiki anaumia kuona msanii wake hayafanyi kama wasanii wenzie,ili afike huko ambapo wapo
 
Mpaka mali zake...mweeh?
Watu wengine wanaile tabia ya kutokupenda kujifaharisha.....
 
Ally Kiba ni sawa na machungwa ya kilwa...
sijaona machungwa matamu kama ya kilwa....
lakini wengi hata hawajui kilwa kuna machungwa

wengine wanakula machungwa ya kilwa wakifikiri ni machungwa ya Tanga...

Machungwa ya Tanga yamebeba soko na umaarufu mkubwa
wakati hata robo hayaingii kwa machungwa ya kilwa....

Hata huko Kilwa hao wakulima hawajui machungwa yao ndo the best in East Africa...
na umasikini bado uko vilevile
Toka uko
 
Back
Top Bottom