Barua ya wazi kwa Alikiba

Chungwa la kilwa kipatimu...chungwa tamu na linanukia!!! Chungwa la muhoro...chungwa kubwa lina maji mengi na ni tamu!!!
Kipatimu ni hatari zaidi...
 
Chungwa la kilwa kipatimu...chungwa tamu na linanukia!!! Chungwa la muhoro...chungwa kubwa lina maji mengi na ni tamu!!!
Kipatimu ni hatari zaidi...
Umenikumbusha mbali sana

Sijapita hiyo njia muda mrefu sana siku hizi naskia lami tupu
 
Tatizo watu wanampangia Ally Kiba awe kama Diamond hiki ndio kitu kinachowaumiza mashabiki.Kiba yuko comfortable na na maisha yake na muziki wake mashabiki wake ndio wanaumia
 
Kitu kinachowasumbua washabiki wa kiba nj kimoja tuu kumlinganisha kiba na mond na kiba sio mtu wa show off miaka yote yeye mambo yake ni kimyakimya hii sio barua ya kwanza kwa kiba tumeishasoma soma barua za waz kibao tatizo mnataka afanye kama mond na yy hayo maisha hawez mnataka apost maisha yake binafsi na yy hawez mm naona kama unampenda penda mziki wake tuu hayo mengine mwachie yeye ,kuhusu kushirikiana na watu wa nje hayo ni mambo ya management yake inatakiwa asimamie
 
Swala la alikiba kutokuomba Mashabiki wake kumpigia kura au hata kushukuru kuwa nominated inawakatisha mashabiki tamaa ya kumsapoti,
Mziki ni Mashabiki, Usipowathamini Mashabiki utapotea forever.
Nyakati zimebadilika sana,
Alikiba anapaswa kuangalia afanye kitu gani ili fans wake waendelee kusapoti Mziki wake.
Aje imetoka muda mrefu sana,
so ni vyema jamaa akatoa hata Video ya Remix ya Aje ili watu waenjoy kama anaona bado hajakaa sawa,
Muda unakwenda itafika kipindi fans watakuchoka na hapo ndiyo itakuwa the end.
 
Shabiki maviii huyuuu...Tunataka mziki mzuri sio collabo tu..Kiba apo vizul for now..Kama umechoka kumshabikia una uhuru wa kuondoka na kusaoni mkataba na wasafi..Utapewa kiki hata utoke na Gigy money
 
Wewe unasubil kiba atangaze maliii... Huu mda ungeutumia kuandika proposo za kiuwanaharakati....Shabiki mavii snaaa
 
kaka hamia teamchibu..
utanenepa
maana chibude kila siku ana jipya la kushangaza...
utakufa kwa presha bure..
ali sio wa kufananishwa na diamond..
mziki mzuri bila mafanikio ni bure
ukitaka mziki mzuri na maendeleo
hamia kwa chibu [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]

team no stress!![emoji41]
 
Umeongea ukweli... Kama mimi ni mshabiki wake mkubwa na napenda muziki wake hayo maisha yake binafsi na mali alizonazo za kazi gani?

Nikikaa nikisikiliza Hadithi, Mapenzi yanarun dunia, Dushelele, Makosa, My everything, Mwana na Aje nafsi yangu inasuhuzika!!
 
hayo mambo ya kufatilia maisha ya watu waachieni wazeewa insta.
small minds discuss people,average minds discuss events BUT great minds discuss ideas.
sasa wewe unaingia kwenye category ya SMALL MINDS
 
Kiba yupo hivo hivo hajawahi kuwa juu kama mnavyompamba,kolabo za kimataifa zenye akili zinataka pesa, kiba hiyo pesa hana na hata management yake imeona haina sababu ya kutupa pesa kwake kwavile hajawa na vigezo vya kuweza kurudisha pesa watakayoiweka kwake na tulishasema humu hiyo Sony ni changa la macho.

Kuonyesha anachomiliki inataka awe nacho, sasa kama hana unataka aonyeshe nini,wakati yeye anataka atakachokionyesha ni kile kilichomzidi DIAMOND......... ??

Tuzo ameshawai kuwapongeza mashabiki wake,sema hawezi kujisifu sana kwa vile kuna mtu keshazipata hizo x 30 yake,na yeye anataka akionyesha kiwe ndio yeye wa kwanza.

Mnampambanisha na mtu ambaye keshamzidi x 3,000 unategemea nini kutoka kwake....... si mnamchosha tu.

Mwenzake ana vitu vifuatavyo yeye hana,kisha mnazidi kumshindanisha huoni munampa stress hasizozitarajia.

1.Studio.
2.bendi.
3.lebo. (wcb)
4.ofisi.
5.wafanyakazi zaidi ya 40.
6.Tuzo 40+na ni icon wa taifa.
7.anaweza kupiga shoo nje (ya AFRIKA) peke yake na akajaza.
8.palipo na shoo kubwa za kimataifa zinazohusu wasanii wa Africa na yeye yupo.
9. yupo ktk muonekano wenye HADHI YA WASANII WA KIMATAIFA (sio msanii huna tofauti na hadhi ya msanii wa singeli Man Fongo)

N.K.
 
kwakweli wa mchangani watupishe.....
chibu miaka yote[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…