Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Ombi : Utoaji mimba uruhusiwe ili kuwaepusha wazazi na aibu kama wazazi wa kijana huyu wanavyodhalilikaTumwache Askofu, tusimshambulie kwa kusema ukweli
Ombi : Utoaji mimba uruhusiwe ili kuwaepusha wazazi na aibu kama wazazi wa kijana huyu wanavyodhalilikaTumwache Askofu, tusimshambulie kwa kusema ukweli
unatia aibu sana !una ujinga wa kuamini kila mtu awaze kama unavyotaka wewe...
Na huo ni uayawani zaidi ya ulevi
JF is a home of great thinkers. Jibu hoja kwamba kwa nini Kanisa na Askofu ambaye ni Rais wa Baraza la Maaskofu Tanzania hawawezi kuuona uovu wa Utawala wa Rais Magufuli dhidi ya demokrasia ya nchi yetu!!? Hivi kweli Askofu huyu haelewi kuwa kuruhusu mtu mmoja adumaze demokrasia ni kuiweka nchi katika hatari ya kuwa muhanga wa machafuko!!!? Je, ni kweli kuwa askofu Nyaisonga na Kanisa Katoliki hawaelewi kuwa mgawanyo wa madaraka kwa kada mbalimbali katika nchi huwa ni chachu ya amani ndani ya nchi husika!!!? Hivi Askofu hajui kuwa ubaguzi wa kuwaona "hawa si wenzetu na wale ni wenzetu" ndio chanzo Cha genocide ya Rwanda na hata 'Arab Sring' ya nchi za Maghreb!? Mgawanyo wa uongozi katika nchi kidemokrasia ndiyo njia nzuri ya kuigawa keki ya Taifa kwa usawa.una ujinga wa kuamini kila mtu awaze kama unavyotaka wewe...
Na huo ni uayawani zaidi ya ulevi
unatia aibu sana !
JF is a home of great thinkers. Jibu hoja kwamba kwa nini Kanisa na Askofu ambaye ni Rais wa Baraza la Maaskofu Tanzania hawawezi kuuona uovu wa Utawala wa Rais Magufuli dhidi ya demokrasia ya nchi yetu!!? Hivi kweli Askofu huyu haelewi kuwa kuruhusu mtu mmoja adumaze demokrasia ni kuiweka nchi katika hatari ya kuwa muhanga wa machafuko!!!? Je, ni kweli kuwa askofu Nyaisonga na Kanisa Katoliki hawaelewi kuwa mgawanyo wa madaraka kwa kada mbalimbali katika nchi huwa ni chachu ya amani ndani ya nchi husika!!!? Hivi Askofu hajui kuwa ubaguzi wa kuwaona "hawa si wenzetu na wale ni wenzetu" ndio chanzo Cha genocide ya Rwanda na hata 'Arab Sring' ya nchi za Maghreb!? Mgawanyo wa uongozi katika nchi kidemokrasia ndiyo njia nzuri ya kuigawa keki ya Taifa kwa usawa.
Kama Askofu na Kanisa wanafukia vichwa vyao mchangani kama mbuni wasione tatizo, basi tuna ombwe kubwa la uongozi katika nchi hii.
Na wewe changia hayo kwa hoja mujarabu iwapo kweli ni mwana JF mpevu, usibwabwaje kama kinda lenye maziwa mabichi mdomoni!!!