Barua ya wazi kwa Bashiru Ally, Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi: Manung'uniko ya Waislamu lazima yafanyiwe kazi

NAKUKATALIA....MIMI NMEISHI BAGAMOYO,KIBITI NA KISARAWE NAJUA NACHOONGEA. ELIMU INAYOPEWA KIPAUMBELE NI MADRASA. ELIMU DUNIA HAIPEWI SANA KIPAUMBELE.

Waislamu wanaipa elimu kipaumbele kama wenzao wakiristo.

Hicho ulichokisrma ilikuwa ni enzi za ukoloni ambapo shule za mission zilikuwa zikitoa elimu huku zikibatiza watoto su wale waliamua kukomaa kudoma hivyohivyo wakawa waislamu "poa"

Enzi hizo ndo wazee wa kiislamu hawakupenda kupeleka watoto wao shule kuhofia hilo, ila baada ya uhuru wazazi wa kiislamu walikuwa na mwamko mkubwa sana wa kusomesha watoto wao ila mabyuoni idadi yao iliendelea kuwa kiduchu
 
Take action, achaneni na utopolo huu wa kuandika barua na kumtumia yuleyule mkandamizaji anayekukandamiza.
Mfumo KRISTO haundolewi kwa hutu tubarua.
Leo magereza wamejaa waislam wengi kuliko wakristo, idadi ya wasiijua kusoma, wakristo ni ndogo zaidi.
Hili sio jambo la bahati mbaya, ni mkakati maalum
 
Yani shule ufeli wew uilalamikie Ccm kwamba chuo mpo wachache mi nawashauri himizaneni kusoma co kulalamikia Ccm , pia tunapoajiri tunaajiri taaluma na hatuajiri dini na serikali haina dini serikari tunaajiri taaluma ya mtu ieleweke . Pia nashauri ndugu zangu waislam acheni mambo ya kujiona ni wanyonge, inferior, hampew haki, hao wakeistu mbona hamjawai sikia wakilalamika sasa hamjiulizi ninyi mna tatizo gani ndugu zangu???🥶🥶
 
Kitu pekee kinachowanganisha wapinzani wa Jiwe na Jiwe mwenyewe ni kwenye udini. Sijui hapo huwa wanamtetea kwa nguvu zote kwa sababu katika hilo huwa anawapa privilege sana?.

Wale wa daraja la kwanza it seems hawataki kabisa raia wa daraja la pili nao wawe treated fairly maana wanalinda maslahi yao
 
Kwa nini tunapenda kupanda mbegu za udini? Je, tuamini kuwa ni kiki ya kisiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu?

Kuhusu CCM chama kilicho madarakani, Rais wa kwanza alikuwa Mkiristo, aliyemufuata Mzee Mwinyi, Muislamu. Rais wa Tatu, Mzee Mkapa, Mkristo akafuatiwa na Rais Kikwete, Muislamu. Rais aliyeko madarakani, Dr Magufuli ni Mkristo lakini Makamu wake, Mama Samia na Waziri Mkuu ni Waislamu. Hata Katibu Mkuu wa Chama ni Muislamu. Yaani viongozi wote hao hawatambui jamii ya Kiislamu isipokuwa wewe

Tufike mahali tuheshimu kuwepo kwa dini zingine na si Uislamu tu, , kwama kuna uonezi
Mim nashangaa pia mkuu
 
Ndugu Bashiru Ally,
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi

Mimi ni mwananchi, raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Nimeamua kuchukua wasaa huu kukuandikia haya yafuatayo, kwani kwa haya niyaandikayo naamini ni ya msingi sana katika kukuza umoja na mshikamano wa Taifa letu vitu ambavyo ni muhimu sana katika kuimarisha anani ya Taifa letu. Kwa muktadha huu kuna nukta chache ningependa kukueleza ili chama chako cha Mapinduzi ambacho wewe ni mfuatiliaji mkuu wa utekelezaji wa Ilani yake ni lazima uzielewe na uhakikishe chama chako kinazifanyia kazi.

Ndugu Ponda alisoma waraka mzito sana, waraka wenye mambo mengi yanayohusu Taifa letu kiujumla na mengine exclusively yanayowahusu waislamu. kwa hiyo mimi nitakijikita katika yale yanayowahusu Waislamu.

1. Mosi kuna malalamiko ya muda mrefu ya kuhusu Waislamu kufanywa raia daraja la pili nchini.
Kwa miaka mingi tangu uraisi wa Mwalimu Nyerere, kumekuwepo na malalamiko mengi kutoka kwa waislamu, kuwa kuna ubaguzi wa kimfumo dhidi yao, miaka ya zamani walikuwa wakitolea mifano kwenye nafasi za elimu ya juu, kuwa inakuwaje Wanaoanzishwa shule darasa la kwanza kuna mamilioni ya vijana wa kiislamu, lakini ukiangalia huko kwenye elimu ya juu vyuoni, waislamu ni wachache sana?

Madai haya ya waislamu yamekuwepo, wengi wamekuwa wakimrejea Kighoma Malima kuwa alisaidia kufanya reforms kadha wa kadha alipoteuliwa na Rais wa awamu ya pili kuwa waziri wa mambo ya ndani, Mimi sitaki kujadili ukweli au uongo wa haya madai, bali nataka nikueleze kuwa hizi sentiment zipo katika jamii, waislamu wamekuwa wakizizungumza hizi habari kwa muda mrefu kama sehemu ya historia yao katika harakati za kutafuta namna ya kunufaika na matunda ya uhuru. Ubaya wa historia ni kuwa historia haifi.

Ndugu katibu mkuu ipo haja ya Chama cha Mapinduzi kuja mbele, kuweka rekodi sawa kiwaeleze waislamu kuwa chenyewe kama chama ambacho kwa kauli ya muasisi mwenyewe wa chama hiki aliwahi kukiri waislamu kuwa nyuma kielimu wakati wa uhuru, kije kiwaambie Waislamu, sisi kama chama tumefanya kadha wa kadha juu yenu na sasa hivi tumepata mafanikio kadha wa kadha kwenye suala hili la Elimu. Kwanini hii hoja ya elimu ni muhimu sana? Kwa sababu Elimu inaambatana na ajira, na teuzi mbalimbali serikalini na katika utumishi wa umma. Kwa maana mara nyingi waislamu wanapouliza swali kuwa mbona proportion yetu kwenye teuzi na ajira haiakisi wingi wetu wamekuwa wajibiwa kuwa hamjasoma!

2. Chama cha Mapinduzi lazima kiitake serikali yake itende haki kwa makundi yote ya kijamii
Kwa mujibu wa waraka uliosomwa na Sheikh Ponda, unaoonyesha uwiano wa teuzi kati ya Watanzania wenye imani ya Kikiristo na Watanzania wenye Imani ya Kiislamu ni kwa uwiano wa asilimia 80% wakiristo, na 20%Waislamu.
Ndugu Katibu mkuu by all standards hii haijakaa sawa hata kidogo. Haiyumkiniki katika Taifa ambalo populationwise kila kundi kati ya hayo mawili ndani ya jamii lina idadi kubwa ya kutosha tu ya watu katika jamii lakini linapokuja katika utumishi wa umma na teuzi za serikali kundi moja liko overrepsented huku jingine likionekana likiwa na idadi finyu sana, Kwa namna zozote zile hii asilimia ya 80% kwa 20% haiakisi uhalisia wa demography ya wananchi kwa muktadha wa makundi ya imani zao.

Chama cha Mapinduzi kinapaswa kuja na kuwaangalia waislamu machoni kiwaambie, wao wana shida gani kwa nini ni wachache katika teuzi hizi za serikali, wao hawana nini ambacho wenzao wanacho kiasi kwamba kundi jingine likiwa jingi katika nafasi hizo za teuzi kuliko wao? Zimekuwepo hoja kuwa hateuliwi mtu kwa sababu ya dini yake bali vigezo vingine, Tunataka chama cha mapinduzi kiwaambie waislamu kuwa labda hawana elimu, siyo wazalendo, ni mafisadi, ni wavivu sana, Au kiwaeleze sababu zozote zenye mashiko kwa nini wingi wao katika jamii hauakisi uwepo wao katika utumishi wa serikali?

Ndugu katibu mkuu, Chama cha mapinduzi kinaweza kuamua kukaa kimya utadhani hili tatizo halipo, lakini mimi ningependa kukiambia kuwa, uwepo au kutokuwepo kwa tatizo hilo siyo hoja, hoja ni kuwa waislamu wamekuwa wakilalamika kwa muda mrefu na sisi tunaoitakia amani nchi hii, tunaona kuwa hili ni bomu linalosubiri kupasuka kama ama rekodi zisipowekwa sawa au kufanyiwa kazi na serikali.

Ndugu katibu mkuu, Chama chako cha mapinduzi au serikali zake kamwe zisidhani kuwa madai haya ya waislamu yataisha iwapo kila siku wanakaa wanaona teuzi za serikali moja baada ya nyingine anateuliwa mtu wa imani nyingine huku wao wakiambiwa eti watu hawateuliwi kwa dini zao bali vigezo vingine, kwa nini hivyo vigezo viwe kwa wingi kwa watu wa imani moja tu?

3. Udini ni ufa mkubwa sana wa jamii yetu na ni lazima wote tuungane kuupiga vita
Ndugu katibu mkuu, kama kuna ufa mkubwa zaidi katika nchi yetu basi ni suala la udini, hili ni tatizo ambalo hatupaswi kulipiga vita kwa maneno bali kwa vitendo, na katika kulipiga vita tatizo hilo lazima tulipige vita huku kila mtu akiona kabisa kuwa tuna dhati ya kufanya hivyo, vipo viashiria nchini kuwa watu wa imani moja wanawekwa kwenye mizania tofauti pindi wanapofanya mambo fulani yenye kuashiria udini, na mambo haya yanawafanya watu wa dini nyingine wajihisi kuwa ni kutokana na mfumo kuinua kundi fulani ndiyo maana kundi hilo linajihisi kufanya mambo with impunity.

Katibu mkuu nitakupa mfano, Mkuu wa mkoa wa mmoja nchini anatoa kauli kuwa Nchi hii iko chini ya kanisa, hasemi iko chini ya Mungu, anasema iko chini ya kanisa na wala hashughulikiwi na serikali ya chana chsko kwa uchochezi. Waziri mmoja mwandamizi anafanya kampeni katika kanisa kwa kutandika bendera ya chama ndani ya madhabahu, Viongozi wa imani moja wakikemea serikali kwa kauli na maandishi (Japo ni haki yao) hawakamatwi lakini kiongozi wa dini ya Kiislamu anapodimama na kutumia haki yake ya kutoa mapendekezo na maoni yake anakamatwa na kuswekwa ndani bila kufikishwa mahakamani ndani ya muda maalumu kinyume cha sheria.

Ndugu katibu mkuu, katika muktadha huu kwa nini Waislamu wasikiwekee chama chako na serikali yake kuwa vinalea na kuendekeza udini wa imani mmoja nchini?

4. Suala la kuhamisha wahadhiri na watumishi 11 wa Imani moja Chuo cha UDOM na kuleta wengine 11 wa imani nyingine linahitaji uchunguzi
Ndugu katibu mkuu, nilistushwa sana na hili suala kama ambavyo lilielezwa kwa kina kwenye waraka wa Sheikh Ponda.
Nimejiuliza kuwa iweje katika utumishi uhamishe watu kwa mkupuo halafu ionekane wote ni wa imani moja halafu waletwe wengine 11 na wote wawe wa imani moja, hili linatoa picha gani, limebeba ajenda gani, hao waliofanya uhamisho huo walitaka kuachieve kitu gani?

Wazungu wana msemo kuwa, ukiona inatweta kama bata, inatembea kama bata na inalia kama bata basi hiyo ni bata. Inawezekana vipi kwa kanuni zozote zile za nasibu uondoe watu 11 wenye kufuata mrengo wa dini moja sehemu halafu wakati huohuo ulete wengine 11 wa dini nyingine kama maamuzi ya kufanya hivyo hayakusukumwa na udini uliokubuhu katika kufanya maamuzi hayo?. Cha kusikitisha zaidi waraka ukaenda mbele na kusema wazi kuwa wengine kstika wale waliohamishwa walirnda kupewa nafasi za chini kuliko hadhi yao.

Ndugu katibu mkuu, tunakitaka chama chako kifanye uchunguzi au kiilazimisje serikali yake ichunguze na iwaeleze Watanzania ni sababu gani za msingi hatua hiyo ilifikiwa na kwa nini ionekane watu wa dini moja ndiyo wanakumbwa na zoezi la kuondolewa mahali na wakaletwa wengine wote wa imani ya dini nyingine.

Hoja kuwa serikali inaweza kumhamisha yeyote na kumleta yeyote katika utumishi wa umma ni kweli lakini kwa muktadha huu haina mashiko maana inaonyesha kuwa kuna msukumo fulani wa maamuzi ambayo yameacha question marks na kwa kuwa kuna umma hususan wa kiislamu unadhani kuwa kuna nia isiyo njema imesukuma maamuzi hayo, tunakitaka chama cha Mapinduzi kitoe maelezo kwa nini uamuzi tata huo ulifikiwa ili kusafisha hali hii inayoweza kupelekea hisia hasi zinazoweza kupelekea kuvunjika kwa amani.

5. Chama cha mapinduzi na serikali yake kijifunze kwa maandamano yanayotokea marekani kupinga ubaguzi
Huko Marekani kulikuwepo na manung'uniko ya muda mrefu, watu weusi wakilslamika hadharani na sirini kuhusu ubaguzi wa kimfumo dhidi yao, walilamika kuhusu ubaguzi katika uchumi, katika mifumo ya utoaji haki nchini humo, walilamika hadi upataji wa ajira katika serikali ya Shirikisho na hata za majimbo.

Manung'uniko yao yalikuwa yakipuuzwa kwa madai kuwa marekani hakuna ubaguguzi wowote bali ni inferiority complex yao tu na uvivu wao wa kutofanya kazi. Ikawa inatolewa mifano michache kuwa mbona fulani na fulani ni weusi na matajiri, ni wacheza kikapu maarufu, ni wacheza sinema maarufu n. k. Hata hivyo pamoja na kauli hizi donge lilikuwa bado limo katika mioyo ya wamarekani weusi maana wanasema yule avaaye kiatu, yeye ndiye anayeona wapi kinambana. Leo Marekani hali imekuwa tete baada ya wamarekani weusi na wale wapenda haki kuingia mitaani kuonyesha ghadhabu yao juu ya matendo hayo baada ya kifo cha kikatili cha George Floyd kilichosababishwa na ukatili wenye dalili zote za ubaguzi wa rangi.

Ndugu Katibu Mkuu, madai haya ya Waislamu hapa nchini haijalishi ni ya kweli au siyo kweli lakini yapo, madai haya yanahitaji majibu au hatua ya kuyarekebisha ili yasije kuendelea kujenga ghadhabu ya kimya kimya ambayo siku moja ikitoka nje, sisi kama taifa tutakuja kuwa na wakati mgumu sana. Kamwe tusijenge Kiburi kuwa vyombo vya usalama vitawashughulikia wote hao wenye kuleta madai haya. Ndugu katibu mkuu hata katika hivyo vyombo vya usalama kunaweza kukawemo watu waliodhibishwa dhana hizo iwapo zitaachwa bila kushughulikiwa na ikitokea hali hiyo Taifa liktakuwa katika sintofahamu kubwa. Wahenga walisema Kinga ni bora kuliko tiba, yatupasa kama Taifa kulitafutia ufumbuzi suala hili badala ya kujidai kuwa halipo.

6. Ni muda muafaka sasa Masheikh walioko jela waachiwe huru bila masharti yoyote
Ndugu katibu mkuu, ni mwaka takriban wa 8 sasa Masheikh wapo jela bila kuhukumiwa na mahakama yoyote, Makosa yao hayathibitishwa mahakamani, kwa hiyo madai na hoja zilizosomwa na Sheikh Ponda zina. mashiko
Tunakitaka chama cha mapinduzi kiisimamie serikali yake izingatie utawala wa sheria.

Chama kiulize serikali yake, kinaendekea kuwashikilia Masheikh hao kwa uhalali upi wa kisheria?. Kama uchunguzi haujakamilika, kama huo uchunguzi haujakamilika miaka 8 utakamilika lini? Je, haki inatendeka kwa hawa nasheikh au kuna namna yoyote ya kuamua kuwakomoa?

Ndugu katibu mkuu hawa Masheikh walikamatwa Zanzibar, kama lengo ni Justice au haki kwa nini ilazimishwe washitakiwe Tanzania bara na di hukohuko Zanzibar walipotenda kosa lolote inalodaiwa walitenda?

Hitimisho:
Ndugu katibu mkuu, yapo madai ambayo waislamu wamekuwa wakidai miaka nenda rudi, na kuna mambo wamekuwa wakiyekea question mark kama vile teuzi katika awamu hii.

Sasa sisi kama raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tunaona kuwa haya madai yasipojibiwa huenda yakaitia nchi katika uwezekano wa kuvunja mshikamano wa kitaifa na kuvunja amani huko mbele.

Sasa kwa kuwa watu wa aina yangu tunaipenda nchi yetu, si busara kuacha kutoa mchango wa mawazo katika mambo kama haya hata kama ni tata kiasi gani(controversial). Ndiyo maana kwa muktadha huu tunakitaka chsma cha Mapinduzi kijibu hoja za waislamu ili kutunza huo mshikamano!

Ndugu Katibu mkuu wa Chama cha Mapinduzi waislamu wana hoja zijibuni

Missile of the Nation (Kombora hatari kabisa la ulinzi wa Taifa)

Nakala kwa:
1. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
2. Waziri Mkuu
3. Mkurugenzi Usalama wa Taifa
Ahsante sana ila ujue yule Bashiru muislamu safi na mwanazuoni mmbobezi amebadilika. Huyu ni zaidi ya kobe au kafir mkubwa nina hakika ameanza kuonja ile nyama nyeupe! Mwanazuoni amegeuka mburula mchumia tumbo.
 
Ndugu katibu mkuu hata katika hivyo vyombo vya usalama kunaweza kukawemo watu waliodhibishwa dhana hizo iwapo zitaachwa bila kushughulikiwa na ikitokea hali hiyo Taifa liktakuwa katika sintofahamu kubwa.
Tunao marafiki zetu katika vyombo vyote vya dola!
Tunao maofisa na wapiganaji wengi tu jeshini, tunao maofisa na wapiganaji wengi tu polic, tunao maofisa wengi Sana idarani usalama, tunao marafiki Kila mahala, Mungu awabariki kwa kuchukia kwao dhulma, uonevu na machukizo yote yanayofanywa na watawala dhidi ya wapenda haki.

Jeshi sio wote madhulmati,(Mungu awabariki na kuwa nanyi JW)
Mapoti siyo wote madhulmati (Mungu awabariki na kuwa nanyi polisi)
Usalama sio wote madhulmati (Mungu awabariki wa kitengo).

Tuna imani na support yenu ya kimya kimya
 
Umeandika kweli tupu, tatizo kubwa la waislam ni BAKWATA kugeuka kuwa shina la CCM. Over
 
Kitu pekee kinachowanganisha wapinzani wa Jiwe na Jiwe mwenyewe ni kwenye udini. Sijui hapo huwa wanamtetea kwa nguvu zote kwa sababu katika hilo huwa anawapa privilege sana?.

Wale wa daraja la kwanza it seems hawataki kabisa raia wa daraja la pili nao wasiwe treated fairl maana wanalinda maslahi yao
Tatizo na ninyi mmepoa Sana siku hizi. Siku ya swala ya ijumaa baada ya swala lianzisheni barabarani muone Kama hampati support, unafikiri katika vyombo vya dola hakuna waislam? Unnafikir hawaguswi na masuala Kama hili? Unafikiri hawatatoa support ya Moja kwa moja au ya indirect?
 
Mleta mada huwa anapenda kujitutumua kujitia mjuzi kumbe bwege tu mchochezi siku zote asiye na hoja za maana.

Kila siku anajidai ohh TISS walione hili ,oh Raisi

Huyu Ni Chadema frustrated Sana maisha kapigika
 
Umeandika kweli tupu, tatizo kubwa la waislam ni BAKWATA kugeuka kuwa shina la CCM. Over
Mleta mada Sio muislamu Ni Chadema mkristo pure anakula kitimoto huyo ni mchochezi tu
 
JUMLA ya wazazi 35 kutoka kata ya Nalasi wilayani Tunduru wamekatwa baada ya kukutwa wakiwafundisha watoto wa kike walio chini ya umri wa miaka 8 mbinu za kuishi na wanaume na kufanya tendo la ngono maarufu kama msondo.

Mkuu wa wilaya ya Tunduru Julius Mtatiro ambaye ni Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wa wilaya hiyo alisema, wazazi hao wamekamatwa nyakati za usiku wakiwa wamejifungia kwenye nyumba mmoja wa waliokamatwa katika kijiji cha Nalasi wakiwa na watoto hao.

Alisema, wazazi hao wamekamatwa baada ya kupata taarifa kutoka kwa msamaria mwema kwamba,kuna wazazi wamewaficha watoto wa kike wenye umri mdogo na kuwafundisha mila potofu zinazohusiana na mambo ya ngono ambayo hayapaswi kufundishwa watoto wadogo.

Mtatiro alisema, wazazi hao walikamatwa nyakati za usiku wakiwa na watoto hao wadogo wakiwa katika moja ya nyumba iliyokuwa inatumika kwa shughuli hiyo.

Pia alisema,katika msako huo mbali na wazazi hao wamemkamata Kungwi mmoja,mtendaji wa Rajabu Lusanga na mwenyekiti wa kijiji cha Nalasi Ali Omari ambao wameshindwa kuchukua hatua dhidi ya wazazi hao licha ya kuishi jirani na eneo la tukio hilo.

Kwa mujibu wake shughuli za msondo hazikatwi kufanywa, isipokuwa ni kwa wasichana wakubwa wenye umri zaidi ya miaka 18 na wale wanatarajia kuolewa, badala ya kuwafundisha watoto wadogo ambao hawana uwezo wa kuelewa jambo lolote.

“natoa wito kwa wazazi wote katika wilaya ya Tunduru tabia ya kuwafundisha watoto wadogo namna ya kuishi mama na baba jambo hilo tumelipiga marufuku kwani linachangia sana kuongezeka kwa mimba na wasichana wengi kuacha shule”alisema, Mtatiro.

Alisema, vitendo hivyo vinasababisha watoto wadogo wa kike kukosa haki yao ya kupata elimu na kusisitiza kuwa operesheni hiyo itaendelea katika vijiji mbalimbali hadi pale jamii itakapo acha kufanya vitendo hivyo.

Baadhi ya wakazi wa Tunduru wamepongeza jitihada kubwa zinazo fanywa na Serikali ikiongozwa na Mkuu wa wilaya ya kukomesha baadhi ya mira potofu ambazo zimekuwa chanzo cha kuongezeka kwa mimba kwa watoto wa kike wengine kuacha masomo.

Ali Shaibu mkazi wa Nakayaya alisema,jitihada zinazofanywa na Dc Mtatiro zinapaswa kuungwa mkono na jamii ya watu wa Tunduru kwani zitasaidia kuepusha mimba za utotoni,kupata magonjwa mbalimbali ikiwemo ukimwi na kupoteza vijana ambao ndiyo nguvu kazi ya familia na Taifa.

Awetu Rashid, ameiomba Serikali kuendelea kuchukua hatua ya kukomesha vitendo hivyo ambavyo kwa muda mrefu vimechangia wilaya hiyo kubaki nyuma kielimu na hivyo kuwa maskini licha ya ukweli kwamba imebarikiwa kuwa na rasilimali nyingi

Ndugu Bashiru Ally,
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi

Mimi ni mwananchi, raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Nimeamua kuchukua wasaa huu kukuandikia haya yafuatayo, kwani kwa haya niyaandikayo naamini ni ya msingi sana katika kukuza umoja na mshikamano wa Taifa letu vitu ambavyo ni muhimu sana katika kuimarisha anani ya Taifa letu. Kwa muktadha huu kuna nukta chache ningependa kukueleza ili chama chako cha Mapinduzi ambacho wewe ni mfuatiliaji mkuu wa utekelezaji wa Ilani yake ni lazima uzielewe na uhakikishe chama chako kinazifanyia kazi.

Ndugu Ponda alisoma waraka mzito sana, waraka wenye mambo mengi yanayohusu Taifa letu kiujumla na mengine exclusively yanayowahusu waislamu. kwa hiyo mimi nitakijikita katika yale yanayowahusu Waislamu.

1. Mosi kuna malalamiko ya muda mrefu ya kuhusu Waislamu kufanywa raia daraja la pili nchini.
Kwa miaka mingi tangu uraisi wa Mwalimu Nyerere, kumekuwepo na malalamiko mengi kutoka kwa waislamu, kuwa kuna ubaguzi wa kimfumo dhidi yao, miaka ya zamani walikuwa wakitolea mifano kwenye nafasi za elimu ya juu, kuwa inakuwaje Wanaoanzishwa shule darasa la kwanza kuna mamilioni ya vijana wa kiislamu, lakini ukiangalia huko kwenye elimu ya juu vyuoni, waislamu ni wachache sana?

Madai haya ya waislamu yamekuwepo, wengi wamekuwa wakimrejea Kighoma Malima kuwa alisaidia kufanya reforms kadha wa kadha alipoteuliwa na Rais wa awamu ya pili kuwa waziri wa mambo ya ndani, Mimi sitaki kujadili ukweli au uongo wa haya madai, bali nataka nikueleze kuwa hizi sentiment zipo katika jamii, waislamu wamekuwa wakizizungumza hizi habari kwa muda mrefu kama sehemu ya historia yao katika harakati za kutafuta namna ya kunufaika na matunda ya uhuru. Ubaya wa historia ni kuwa historia haifi.

Ndugu katibu mkuu ipo haja ya Chama cha Mapinduzi kuja mbele, kuweka rekodi sawa kiwaeleze waislamu kuwa chenyewe kama chama ambacho kwa kauli ya muasisi mwenyewe wa chama hiki aliwahi kukiri waislamu kuwa nyuma kielimu wakati wa uhuru, kije kiwaambie Waislamu, sisi kama chama tumefanya kadha wa kadha juu yenu na sasa hivi tumepata mafanikio kadha wa kadha kwenye suala hili la Elimu. Kwanini hii hoja ya elimu ni muhimu sana? Kwa sababu Elimu inaambatana na ajira, na teuzi mbalimbali serikalini na katika utumishi wa umma. Kwa maana mara nyingi waislamu wanapouliza swali kuwa mbona proportion yetu kwenye teuzi na ajira haiakisi wingi wetu wamekuwa wajibiwa kuwa hamjasoma!

2. Chama cha Mapinduzi lazima kiitake serikali yake itende haki kwa makundi yote ya kijamii
Kwa mujibu wa waraka uliosomwa na Sheikh Ponda, unaoonyesha uwiano wa teuzi kati ya Watanzania wenye imani ya Kikiristo na Watanzania wenye Imani ya Kiislamu ni kwa uwiano wa asilimia 80% wakiristo, na 20%Waislamu.
Ndugu Katibu mkuu by all standards hii haijakaa sawa hata kidogo. Haiyumkiniki katika Taifa ambalo populationwise kila kundi kati ya hayo mawili ndani ya jamii lina idadi kubwa ya kutosha tu ya watu katika jamii lakini linapokuja katika utumishi wa umma na teuzi za serikali kundi moja liko overrepsented huku jingine likionekana likiwa na idadi finyu sana, Kwa namna zozote zile hii asilimia ya 80% kwa 20% haiakisi uhalisia wa demography ya wananchi kwa muktadha wa makundi ya imani zao.

Chama cha Mapinduzi kinapaswa kuja na kuwaangalia waislamu machoni kiwaambie, wao wana shida gani kwa nini ni wachache katika teuzi hizi za serikali, wao hawana nini ambacho wenzao wanacho kiasi kwamba kundi jingine likiwa jingi katika nafasi hizo za teuzi kuliko wao? Zimekuwepo hoja kuwa hateuliwi mtu kwa sababu ya dini yake bali vigezo vingine, Tunataka chama cha mapinduzi kiwaambie waislamu kuwa labda hawana elimu, siyo wazalendo, ni mafisadi, ni wavivu sana, Au kiwaeleze sababu zozote zenye mashiko kwa nini wingi wao katika jamii hauakisi uwepo wao katika utumishi wa serikali?

Ndugu katibu mkuu, Chama cha mapinduzi kinaweza kuamua kukaa kimya utadhani hili tatizo halipo, lakini mimi ningependa kukiambia kuwa, uwepo au kutokuwepo kwa tatizo hilo siyo hoja, hoja ni kuwa waislamu wamekuwa wakilalamika kwa muda mrefu na sisi tunaoitakia amani nchi hii, tunaona kuwa hili ni bomu linalosubiri kupasuka kama ama rekodi zisipowekwa sawa au kufanyiwa kazi na serikali.

Ndugu katibu mkuu, Chama chako cha mapinduzi au serikali zake kamwe zisidhani kuwa madai haya ya waislamu yataisha iwapo kila siku wanakaa wanaona teuzi za serikali moja baada ya nyingine anateuliwa mtu wa imani nyingine huku wao wakiambiwa eti watu hawateuliwi kwa dini zao bali vigezo vingine, kwa nini hivyo vigezo viwe kwa wingi kwa watu wa imani moja tu?

3. Udini ni ufa mkubwa sana wa jamii yetu na ni lazima wote tuungane kuupiga vita
Ndugu katibu mkuu, kama kuna ufa mkubwa zaidi katika nchi yetu basi ni suala la udini, hili ni tatizo ambalo hatupaswi kulipiga vita kwa maneno bali kwa vitendo, na katika kulipiga vita tatizo hilo lazima tulipige vita huku kila mtu akiona kabisa kuwa tuna dhati ya kufanya hivyo, vipo viashiria nchini kuwa watu wa imani moja wanawekwa kwenye mizania tofauti pindi wanapofanya mambo fulani yenye kuashiria udini, na mambo haya yanawafanya watu wa dini nyingine wajihisi kuwa ni kutokana na mfumo kuinua kundi fulani ndiyo maana kundi hilo linajihisi kufanya mambo with impunity.

Katibu mkuu nitakupa mfano, Mkuu wa mkoa wa mmoja nchini anatoa kauli kuwa Nchi hii iko chini ya kanisa, hasemi iko chini ya Mungu, anasema iko chini ya kanisa na wala hashughulikiwi na serikali ya chana chsko kwa uchochezi. Waziri mmoja mwandamizi anafanya kampeni katika kanisa kwa kutandika bendera ya chama ndani ya madhabahu, Viongozi wa imani moja wakikemea serikali kwa kauli na maandishi (Japo ni haki yao) hawakamatwi lakini kiongozi wa dini ya Kiislamu anapodimama na kutumia haki yake ya kutoa mapendekezo na maoni yake anakamatwa na kuswekwa ndani bila kufikishwa mahakamani ndani ya muda maalumu kinyume cha sheria.

Ndugu katibu mkuu, katika muktadha huu kwa nini Waislamu wasikiwekee chama chako na serikali yake kuwa vinalea na kuendekeza udini wa imani mmoja nchini?

4. Suala la kuhamisha wahadhiri na watumishi 11 wa Imani moja Chuo cha UDOM na kuleta wengine 11 wa imani nyingine linahitaji uchunguzi
Ndugu katibu mkuu, nilistushwa sana na hili suala kama ambavyo lilielezwa kwa kina kwenye waraka wa Sheikh Ponda.
Nimejiuliza kuwa iweje katika utumishi uhamishe watu kwa mkupuo halafu ionekane wote ni wa imani moja halafu waletwe wengine 11 na wote wawe wa imani moja, hili linatoa picha gani, limebeba ajenda gani, hao waliofanya uhamisho huo walitaka kuachieve kitu gani?

Wazungu wana msemo kuwa, ukiona inatweta kama bata, inatembea kama bata na inalia kama bata basi hiyo ni bata. Inawezekana vipi kwa kanuni zozote zile za nasibu uondoe watu 11 wenye kufuata mrengo wa dini moja sehemu halafu wakati huohuo ulete wengine 11 wa dini nyingine kama maamuzi ya kufanya hivyo hayakusukumwa na udini uliokubuhu katika kufanya maamuzi hayo?. Cha kusikitisha zaidi waraka ukaenda mbele na kusema wazi kuwa wengine kstika wale waliohamishwa walirnda kupewa nafasi za chini kuliko hadhi yao.

Ndugu katibu mkuu, tunakitaka chama chako kifanye uchunguzi au kiilazimisje serikali yake ichunguze na iwaeleze Watanzania ni sababu gani za msingi hatua hiyo ilifikiwa na kwa nini ionekane watu wa dini moja ndiyo wanakumbwa na zoezi la kuondolewa mahali na wakaletwa wengine wote wa imani ya dini nyingine.

Hoja kuwa serikali inaweza kumhamisha yeyote na kumleta yeyote katika utumishi wa umma ni kweli lakini kwa muktadha huu haina mashiko maana inaonyesha kuwa kuna msukumo fulani wa maamuzi ambayo yameacha question marks na kwa kuwa kuna umma hususan wa kiislamu unadhani kuwa kuna nia isiyo njema imesukuma maamuzi hayo, tunakitaka chama cha Mapinduzi kitoe maelezo kwa nini uamuzi tata huo ulifikiwa ili kusafisha hali hii inayoweza kupelekea hisia hasi zinazoweza kupelekea kuvunjika kwa amani.

5. Chama cha mapinduzi na serikali yake kijifunze kwa maandamano yanayotokea marekani kupinga ubaguzi
Huko Marekani kulikuwepo na manung'uniko ya muda mrefu, watu weusi wakilslamika hadharani na sirini kuhusu ubaguzi wa kimfumo dhidi yao, walilamika kuhusu ubaguzi katika uchumi, katika mifumo ya utoaji haki nchini humo, walilamika hadi upataji wa ajira katika serikali ya Shirikisho na hata za majimbo.

Manung'uniko yao yalikuwa yakipuuzwa kwa madai kuwa marekani hakuna ubaguguzi wowote bali ni inferiority complex yao tu na uvivu wao wa kutofanya kazi. Ikawa inatolewa mifano michache kuwa mbona fulani na fulani ni weusi na matajiri, ni wacheza kikapu maarufu, ni wacheza sinema maarufu n. k. Hata hivyo pamoja na kauli hizi donge lilikuwa bado limo katika mioyo ya wamarekani weusi maana wanasema yule avaaye kiatu, yeye ndiye anayeona wapi kinambana. Leo Marekani hali imekuwa tete baada ya wamarekani weusi na wale wapenda haki kuingia mitaani kuonyesha ghadhabu yao juu ya matendo hayo baada ya kifo cha kikatili cha George Floyd kilichosababishwa na ukatili wenye dalili zote za ubaguzi wa rangi.

Ndugu Katibu Mkuu, madai haya ya Waislamu hapa nchini haijalishi ni ya kweli au siyo kweli lakini yapo, madai haya yanahitaji majibu au hatua ya kuyarekebisha ili yasije kuendelea kujenga ghadhabu ya kimya kimya ambayo siku moja ikitoka nje, sisi kama taifa tutakuja kuwa na wakati mgumu sana. Kamwe tusijenge Kiburi kuwa vyombo vya usalama vitawashughulikia wote hao wenye kuleta madai haya. Ndugu katibu mkuu hata katika hivyo vyombo vya usalama kunaweza kukawemo watu waliodhibishwa dhana hizo iwapo zitaachwa bila kushughulikiwa na ikitokea hali hiyo Taifa liktakuwa katika sintofahamu kubwa. Wahenga walisema Kinga ni bora kuliko tiba, yatupasa kama Taifa kulitafutia ufumbuzi suala hili badala ya kujidai kuwa halipo.

6. Ni muda muafaka sasa Masheikh walioko jela waachiwe huru bila masharti yoyote
Ndugu katibu mkuu, ni mwaka takriban wa 8 sasa Masheikh wapo jela bila kuhukumiwa na mahakama yoyote, Makosa yao hayathibitishwa mahakamani, kwa hiyo madai na hoja zilizosomwa na Sheikh Ponda zina. mashiko
Tunakitaka chama cha mapinduzi kiisimamie serikali yake izingatie utawala wa sheria.

Chama kiulize serikali yake, kinaendekea kuwashikilia Masheikh hao kwa uhalali upi wa kisheria?. Kama uchunguzi haujakamilika, kama huo uchunguzi haujakamilika miaka 8 utakamilika lini? Je, haki inatendeka kwa hawa nasheikh au kuna namna yoyote ya kuamua kuwakomoa?

Ndugu katibu mkuu hawa Masheikh walikamatwa Zanzibar, kama lengo ni Justice au haki kwa nini ilazimishwe washitakiwe Tanzania bara na di hukohuko Zanzibar walipotenda kosa lolote inalodaiwa walitenda?

Hitimisho:
Ndugu katibu mkuu, yapo madai ambayo waislamu wamekuwa wakidai miaka nenda rudi, na kuna mambo wamekuwa wakiyekea question mark kama vile teuzi katika awamu hii.

Sasa sisi kama raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tunaona kuwa haya madai yasipojibiwa huenda yakaitia nchi katika uwezekano wa kuvunja mshikamano wa kitaifa na kuvunja amani huko mbele.

Sasa kwa kuwa watu wa aina yangu tunaipenda nchi yetu, si busara kuacha kutoa mchango wa mawazo katika mambo kama haya hata kama ni tata kiasi gani(controversial). Ndiyo maana kwa muktadha huu tunakitaka chsma cha Mapinduzi kijibu hoja za waislamu ili kutunza huo mshikamano!

Ndugu Katibu mkuu wa Chama cha Mapinduzi waislamu wana hoja zijibuni

Missile of the Nation (Kombora hatari kabisa la ulinzi wa Taifa)

Nakala kwa:
1. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
2. Waziri Mkuu
3. Mkurugenzi Usalama wa Taifa
 
Naona mleta mada Yale hayajakutosha anyway wasalimie ubungo
 
Mleta mada huwa anapenda kujitutumua kujitia mjuzi kumbe bwege tu mchochezi siku zote asiye na hoja za maana.

Kila siku anajidai ohh TISS walione hili ,oh Raisi

Huyu Ni Chadema frustrated Sana maisha kapigika

Ukweli huwa unaumiza. Japo Sheikh yuko ndani kiuonevu, lakini kilichoandikwa kwenye waraka ni ukweli 100%. Ww vya nguo, piga kelele, lakini ukweli uko kwa hao waendekeza upendeleo, na umewakera na kuwafedhehesha. Na kwa uhakika utafanyiwa kazi hata kwa shingo upande. Na hili lazima huko kwenye kampeni lazima lisemwe.
 
Hayuko kwa uonevu alichoandika wenzie wore walikikana kuwa hawakuhusika
Mfano wewe utoe tamio la chadema kuwa chadema inasema Ina maana mlikaa kikao kuandaa Hilo tamko Kama hamkukaa lazima mtalikana kuwa sio tamko la chama Ni la kibinafsi Kama la kibinafsi shughuli inaanzia Happ kwa Nini utumie jina la chama kwa mambo yako binafsi no

Shehe Ponda wenzie kwenye taasisi yake ya kiislamu wameenda hadi kwenye radio na TV kukana kuwa taasisi Yao haikuandaa hilo tamko huyo shehe Ponda mzushi

Polisi ndio wakambeba akapambane na hali yake Segerea ila ninyi wakristo Wala nguruwe ndio mnadakia dakia msiyoyajua wenyewe Viongozi wenzie wamemkana
 
Back
Top Bottom