Barua ya wazi kwa Bashiru Ally, Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi: Manung'uniko ya Waislamu lazima yafanyiwe kazi

NAKUKATALIA....MIMI NMEISHI BAGAMOYO,KIBITI NA KISARAWE NAJUA NACHOONGEA. ELIMU INAYOPEWA KIPAUMBELE NI MADRASA. ELIMU DUNIA HAIPEWI SANA KIPAUMBELE.


 
Take action, achaneni na utopolo huu wa kuandika barua na kumtumia yuleyule mkandamizaji anayekukandamiza.
Mfumo KRISTO haundolewi kwa hutu tubarua.
Leo magereza wamejaa waislam wengi kuliko wakristo, idadi ya wasiijua kusoma, wakristo ni ndogo zaidi.
Hili sio jambo la bahati mbaya, ni mkakati maalum
 
Yani shule ufeli wew uilalamikie Ccm kwamba chuo mpo wachache mi nawashauri himizaneni kusoma co kulalamikia Ccm , pia tunapoajiri tunaajiri taaluma na hatuajiri dini na serikali haina dini serikari tunaajiri taaluma ya mtu ieleweke . Pia nashauri ndugu zangu waislam acheni mambo ya kujiona ni wanyonge, inferior, hampew haki, hao wakeistu mbona hamjawai sikia wakilalamika sasa hamjiulizi ninyi mna tatizo gani ndugu zangu???🥶🥶
 
Kitu pekee kinachowanganisha wapinzani wa Jiwe na Jiwe mwenyewe ni kwenye udini. Sijui hapo huwa wanamtetea kwa nguvu zote kwa sababu katika hilo huwa anawapa privilege sana?.

Wale wa daraja la kwanza it seems hawataki kabisa raia wa daraja la pili nao wawe treated fairly maana wanalinda maslahi yao
 
Mim nashangaa pia mkuu
 
Ahsante sana ila ujue yule Bashiru muislamu safi na mwanazuoni mmbobezi amebadilika. Huyu ni zaidi ya kobe au kafir mkubwa nina hakika ameanza kuonja ile nyama nyeupe! Mwanazuoni amegeuka mburula mchumia tumbo.
 
Ndugu katibu mkuu hata katika hivyo vyombo vya usalama kunaweza kukawemo watu waliodhibishwa dhana hizo iwapo zitaachwa bila kushughulikiwa na ikitokea hali hiyo Taifa liktakuwa katika sintofahamu kubwa.
Tunao marafiki zetu katika vyombo vyote vya dola!
Tunao maofisa na wapiganaji wengi tu jeshini, tunao maofisa na wapiganaji wengi tu polic, tunao maofisa wengi Sana idarani usalama, tunao marafiki Kila mahala, Mungu awabariki kwa kuchukia kwao dhulma, uonevu na machukizo yote yanayofanywa na watawala dhidi ya wapenda haki.

Jeshi sio wote madhulmati,(Mungu awabariki na kuwa nanyi JW)
Mapoti siyo wote madhulmati (Mungu awabariki na kuwa nanyi polisi)
Usalama sio wote madhulmati (Mungu awabariki wa kitengo).

Tuna imani na support yenu ya kimya kimya
 
Umeandika kweli tupu, tatizo kubwa la waislam ni BAKWATA kugeuka kuwa shina la CCM. Over
 
Tatizo na ninyi mmepoa Sana siku hizi. Siku ya swala ya ijumaa baada ya swala lianzisheni barabarani muone Kama hampati support, unafikiri katika vyombo vya dola hakuna waislam? Unnafikir hawaguswi na masuala Kama hili? Unafikiri hawatatoa support ya Moja kwa moja au ya indirect?
 
Mleta mada huwa anapenda kujitutumua kujitia mjuzi kumbe bwege tu mchochezi siku zote asiye na hoja za maana.

Kila siku anajidai ohh TISS walione hili ,oh Raisi

Huyu Ni Chadema frustrated Sana maisha kapigika
 
Umeandika kweli tupu, tatizo kubwa la waislam ni BAKWATA kugeuka kuwa shina la CCM. Over
Mleta mada Sio muislamu Ni Chadema mkristo pure anakula kitimoto huyo ni mchochezi tu
 
JUMLA ya wazazi 35 kutoka kata ya Nalasi wilayani Tunduru wamekatwa baada ya kukutwa wakiwafundisha watoto wa kike walio chini ya umri wa miaka 8 mbinu za kuishi na wanaume na kufanya tendo la ngono maarufu kama msondo.

Mkuu wa wilaya ya Tunduru Julius Mtatiro ambaye ni Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wa wilaya hiyo alisema, wazazi hao wamekamatwa nyakati za usiku wakiwa wamejifungia kwenye nyumba mmoja wa waliokamatwa katika kijiji cha Nalasi wakiwa na watoto hao.

Alisema, wazazi hao wamekamatwa baada ya kupata taarifa kutoka kwa msamaria mwema kwamba,kuna wazazi wamewaficha watoto wa kike wenye umri mdogo na kuwafundisha mila potofu zinazohusiana na mambo ya ngono ambayo hayapaswi kufundishwa watoto wadogo.

Mtatiro alisema, wazazi hao walikamatwa nyakati za usiku wakiwa na watoto hao wadogo wakiwa katika moja ya nyumba iliyokuwa inatumika kwa shughuli hiyo.

Pia alisema,katika msako huo mbali na wazazi hao wamemkamata Kungwi mmoja,mtendaji wa Rajabu Lusanga na mwenyekiti wa kijiji cha Nalasi Ali Omari ambao wameshindwa kuchukua hatua dhidi ya wazazi hao licha ya kuishi jirani na eneo la tukio hilo.

Kwa mujibu wake shughuli za msondo hazikatwi kufanywa, isipokuwa ni kwa wasichana wakubwa wenye umri zaidi ya miaka 18 na wale wanatarajia kuolewa, badala ya kuwafundisha watoto wadogo ambao hawana uwezo wa kuelewa jambo lolote.

“natoa wito kwa wazazi wote katika wilaya ya Tunduru tabia ya kuwafundisha watoto wadogo namna ya kuishi mama na baba jambo hilo tumelipiga marufuku kwani linachangia sana kuongezeka kwa mimba na wasichana wengi kuacha shule”alisema, Mtatiro.

Alisema, vitendo hivyo vinasababisha watoto wadogo wa kike kukosa haki yao ya kupata elimu na kusisitiza kuwa operesheni hiyo itaendelea katika vijiji mbalimbali hadi pale jamii itakapo acha kufanya vitendo hivyo.

Baadhi ya wakazi wa Tunduru wamepongeza jitihada kubwa zinazo fanywa na Serikali ikiongozwa na Mkuu wa wilaya ya kukomesha baadhi ya mira potofu ambazo zimekuwa chanzo cha kuongezeka kwa mimba kwa watoto wa kike wengine kuacha masomo.

Ali Shaibu mkazi wa Nakayaya alisema,jitihada zinazofanywa na Dc Mtatiro zinapaswa kuungwa mkono na jamii ya watu wa Tunduru kwani zitasaidia kuepusha mimba za utotoni,kupata magonjwa mbalimbali ikiwemo ukimwi na kupoteza vijana ambao ndiyo nguvu kazi ya familia na Taifa.

Awetu Rashid, ameiomba Serikali kuendelea kuchukua hatua ya kukomesha vitendo hivyo ambavyo kwa muda mrefu vimechangia wilaya hiyo kubaki nyuma kielimu na hivyo kuwa maskini licha ya ukweli kwamba imebarikiwa kuwa na rasilimali nyingi


 
Naona mleta mada Yale hayajakutosha anyway wasalimie ubungo
 
Mleta mada huwa anapenda kujitutumua kujitia mjuzi kumbe bwege tu mchochezi siku zote asiye na hoja za maana.

Kila siku anajidai ohh TISS walione hili ,oh Raisi

Huyu Ni Chadema frustrated Sana maisha kapigika

Ukweli huwa unaumiza. Japo Sheikh yuko ndani kiuonevu, lakini kilichoandikwa kwenye waraka ni ukweli 100%. Ww vya nguo, piga kelele, lakini ukweli uko kwa hao waendekeza upendeleo, na umewakera na kuwafedhehesha. Na kwa uhakika utafanyiwa kazi hata kwa shingo upande. Na hili lazima huko kwenye kampeni lazima lisemwe.
 
Hayuko kwa uonevu alichoandika wenzie wore walikikana kuwa hawakuhusika
Mfano wewe utoe tamio la chadema kuwa chadema inasema Ina maana mlikaa kikao kuandaa Hilo tamko Kama hamkukaa lazima mtalikana kuwa sio tamko la chama Ni la kibinafsi Kama la kibinafsi shughuli inaanzia Happ kwa Nini utumie jina la chama kwa mambo yako binafsi no

Shehe Ponda wenzie kwenye taasisi yake ya kiislamu wameenda hadi kwenye radio na TV kukana kuwa taasisi Yao haikuandaa hilo tamko huyo shehe Ponda mzushi

Polisi ndio wakambeba akapambane na hali yake Segerea ila ninyi wakristo Wala nguruwe ndio mnadakia dakia msiyoyajua wenyewe Viongozi wenzie wamemkana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…