Barua ya wazi kwa Bashiru Ally, Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi: Manung'uniko ya Waislamu lazima yafanyiwe kazi


Hata Petro alimkana Yesu kwa ajili ya usalama wake, na hao wenzake wamekana kwa usalama wao. Suala la msingi ni ukweli wa alichokisema. Ukweli sio lazima usemwe na watu wengi. Hata waliomkamata wamemkamata sio kwakuwa wenzake wameukana huo waraka, bali ni katika kumziba mdomo asiendelee kusema ukweli
 
Cha muhimu takbiri ipigwe tuingie kitaa ili tuelewane
Waislamu hawana mtu anaitwa Saint Ivuga wewe mkristo mchochezi tu mla kitimoto
Anyway mbona takbir ya Mange Kimambi kusndamana nchi nzima hukutoka keyboard warrior wewe ? Mbona ulijifungia chooni?
 
Mmmmmmm wakristo nyie mumegeuka ghafla waanzisha mada za waislamu na watetea waoslamu chadema mnashangaza.Mliowapitisha ushindi kura za maoni nchi nzima Ugombea ubunge hamna muislamu hata mmoja msivyo na haya ninyi yaani hata sehemu zenye waislamu wengi mumempa Mkristo!!!
Kuna chama kinachobagua waislamu Kama Chadema hakuna

Anayebisha aangalie idadi ya Wabunge wote wa chadema bunge lililopita waislam Kama walikuwepo

Safari hii kura ya maoni ndani ya chadema hakuna muislamu hata mmoja kapita mumejazana wala nguruwe watupu
 

Usiogope kuzungumzia tatizo na kutafuta namna ya kulitatua, ogopa kuficha tatizo na kujidanganya kuwa halipo
Wahenga walisema mficha maradhi kifo humuumbua
Tuungane mimi na wewe kuusimanga udini, badala ya kuogopa kuusema wazi kuwa upo
 

Ukweli haukwepwi kwa utetezi dhaifu hivi. Hiyo ndio ujue ukweli una nguvu za ajabu. Huo mfano wa wawagombea wa cdm ni irrelevant, maana huko mtu anapita kwa wingi wa kura na sio uteuzi. Labda kama umechangia mada bila kujua ni kipi kinazungumzwa. Ukweli ndani ya waraka wa shehe Ponda, uwe muisilamu au mkristo ukweli uko wazi. Au unadhani ukituita wakristo ndio utaondoa ukweli?
 
SUALA LA ELIMU WAISLAMU WENGI HAWALIPI KIPAUMBELE TUACHENI KUSINGIZIA WAKRISTO. ELIMU DUNIA SI KIPAUMBELE KWETU. KWA NINI TUNAFUCHA UDHAIFU?
Swala la elimu waislam walipaswa wabuni mkakati wao wenyewe kama kujenga shule nyingi na bora, kujenga vyuo, kutafuta scholarship lakini wao wanataka kila kitu wafanyiwe kama wanaweza kujenga misikiti mikubwa ya kisasa nini kinawashinda hivi majengo ya chuo cha tanesco wangepewa wakiristo nini kingetokea lakini wamepewa wao wameshindwa kukifanya kuwa chuo cha hadhi ya juu marneo yao mengi kama bakwata yameizwa na waislamu wenyewe halafu wanalaumu serikali
 

Rudi tena ukajipange, ukweli wa waraka wa shehe Ponda uko wazi. Unataka majibu ya uhakika na sio kufunika kombe.
 
Kuna kitu kimoja kinaogopwa sana na jumuiya ya kimataifa,katika dini ya uislam,
Kuifanya dini iwe katika mfumo wa siasa,utumishi wa umma,yaani kuleta misingi ya dini ktk nyanja zote za maisha,
Unakumbuka kipindi cha mkapa,waislam walivyodai watoto wa shule wenye imani ya kiislam wavae hijbu,yaani wawe na uniform tofauti na wengine,walitaka mpaka polisi wakike nao wavae hijabu,
Waislam walioksribishwa ulaya,walipofika,wakasema,sala za kikristo zinazoendeshwa mashureni,zinawakwaza,wanataka ziondolewe,hakuna mkristo anayeweza kudai haki kama hiyo uarabuni,hata hapo Zenj,mkristo hawezi.
Wakati wa Mwinyi,Kikwete,hizi kelele huwa hazipo,
Mpare,au Mchaga Muislam,anauwezekano mkubwa wa kufika mbali kielimu,kuriko Mkristo wa pwani,Rufiji,au Lindi.
Islimazation of politics,hiki ni kitu kinachoogopwa sana,
 
Mkuu,

Maswala ya udini kwa karne hii au ukabila au rangi ni ajabu sana kuendelea kuwepo ukizingatia level ya ustaarabu ambao binadamu anaamini amefikia.

Ingawa kwa nature yetu ubaguzi ni mgumu sana kuisha. Mfano mdogo tu hata hapa JF kuna majukwaa ambayo lazima uombe kibali kujiunga,huo ni ubaguzi, lakini forum yenyewe inajiuza kuwa ni uwanja wa uhuru wa kuzungumza.
 
nakumbuka hapo nyuma tulikuwa na shule za kiislam kama zilivyo seminary za kikristo, KINONDONI MUSLIM,TAQWA na nyingine nyingi lingnisha kwa wakati ule elimu iliyopatikana kwenye shule hizo, wote tunajua ilikuwaje kwa Kinondoni Muslim na Taqwa na pia ilikuwaje kwa MAUA SEMINARY,NYEGEZI SEMINARY na nyingine nyingi. Wenzenu waliwekeza kwenye elimu na afya hayo yako wazi kabisa. na mpaka leo mpaka wanavutana na serikali kwa sababu wako very strict kwenye viwango, huwezi kufikia viwango vyao rudi kwenu. Elimu ndivyo ilivyo kadri mnavyoenda juu mnajichuja, theni usitegemee uwiano ukawa sawa kwenye teuzi. Mfano mdogo nenda nchi za kiarabu, kazi za kitaalamu na hata za chini wanaajiri watu kutoka nje kwa sababu wanakubali kwamba hawakuwekeza vya kutosha kwenye elimu dunia hapo nyuma. NDUGU ZANGU WATANZANIA TUWE NA TAHADHARI TUSIINGIZE UDINI KATIKA NCHI YETU.
 
Si kweli kabisa nenda maeneo ya Tandika, Yombo Buza, Mbagala naTemeke kisha nenda maeneo ya kinondoni, Ubungo na kisha fanya utafiti mdogo tu wakristu unakuta palipo na kanisa Kuna hospital na shule kuonyesha wanajari shule
 
siasa inatuunganisha

dini inatutenganisha

PM Majaliwa,VP Samia,KM Bashiru wakati ndio huu,tendeni miujiza
 
Hongera
🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…