Barua ya wazi kwa Bashiru Ally, Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi: Manung'uniko ya Waislamu lazima yafanyiwe kazi

wimbi la mada za kipumbavu namna hii naona zinashika kasi hapa jamiiforum, angalieni watawala wasijepata sababu ya kuifungia jamiiforum

Sent from my MI NOTE Pro using JamiiForums mobile app

Sta
wimbi la mada za kipumbavu namna hii naona zinashika kasi hapa jamiiforum, angalieni watawala wasijepata sababu ya kuifungia jamiiforum

Sent from my MI NOTE Pro using JamiiForums mobile app

Hata wakifunga, platform ziko nyingi sana za kuweza kuchangia na kuweka ukweli. Si kuna wakati wameweka mizengwe kwenye mitandao hapa nchini, tukaingia mitandao ya Kenya na tukawa tunafunguka kama hatuna akili nzuri. Halafu uzuri kwa kule, hata uporomoshe matusi hakuna ban. Wao wauvumilie ukweli na kuufanyia kazi, na huyo Shehe Ponda aachiwe mara moja bila masharti yoyote.
 
Ipo siku kutakuwa na Tanzania kaskazini na Tanzania kusini nasema ipo siku.
 
SUALA LA ELIMU WAISLAMU WENGI HAWALIPI KIPAUMBELE TUACHENI KUSINGIZIA WAKRISTO. ELIMU DUNIA SI KIPAUMBELE KWETU. KWA NINI TUNAFUCHA UDHAIFU?
Na sisi wachache tuliosoma je? Mbona hatupewi nafasi !! Ifike wakati tugawane Nchi.
 
Waislamu njia waliyochagua iko sahihi ya biashara Sio Elimu

Wafanyabiashara wengi nchi hii Ni waislamu.Matajiri wakubwa Ni waislamu kuanzia Bakheresa ,mohaned Dewji ,manji nk

Biashara ndogo dar es salaam nzima asilimia 90 zimeshikwa na waislamu aangalia daladala,petrostation malori mengi ya mizigo na mafuta wamiliki waislamu

Aangalia hata Watu wasafi nchi nzima kuanzia nguo,nywele nyumba,chooni,bafuni waislamu ndio wanaongoza kwa usafi

Nenda kula vizuri na mapishi hakuna anayewapita waislamu . Wanawake na wasichana na vijana na wazee wa kiislamu Huwezi mkuta mchafu kuanzia kichwani Hadi nguo Hadi mguuni

Kifupi elimu ya kujitegemea kwa waislamu iko juu Sana .Wengi wasio na kipato wanaolilia ajira Ni wakristo waliosoma !!!

Waislamu wasio Soma wala hawalakamikii ajira na Wala hawaishobokei Kama wakristo

Muislamu ajira aweza fanya ili tu apate mtaji akaanzishe chake wachache wanaokomaa Hadi kustaafu hao wengi huwa wasomi wakiolemazwa na elimu ya mfumo Kristo ambayo haihimizi Sana kujitegemea Bali kuwa tegemezi kusubiri serikali itoe ajira no

Tusilaumu waislamu kutosoma mfumo wao wa maisha unawaelekeza zaidi kwenye kujitegemea zaidi Sio kusoma uajiriwe au upate uteuzi!!!!
 
Fact sana hii
 
Waislamu hawana mtu anaitwa Saint Ivuga wewe mkristo mchochezi tu mla kitimoto
Anyway mbona takbir ya Mange Kimambi kusndamana nchi nzima hukutoka keyboard warrior wewe ? Mbona ulijifungia chooni?
Kwa hio niliyoyaongea ni uongo?
 
pole mkuu umetupa jiwe gizani!! we ungesema tu waislam wasusie kupiga kura kwenye uchaguzi mkuu au sote tujiunge ACT Wazalendo na wewe kusimama majukwaani kuhamasisha waislam waipigie kura ACT bara ingetosha! hapo wangekusikia!! serikali hii haiwezi kubadili mfumo kristo wa Laanakum Mwalimu uliokwisha ota mizizi!!
 
Hawa wanaotukana hapa wakati wa Kikwete walikuwa mstari wa mbele pamoja na maaskofu wao wakitoa nyaraka kila siku kuhusu teuzi za Kikwete. Wala hawakuleta hoja ya Waislam kuwa hawakusoma! Kikwete aliwapata wapi Wasomi Waislam? Acheni unafiki!
 
Wakristo ni 76% ya idadi ya waTanzania wote kwahiyo ni lazima idadi hiyo iwe sambamba na uwakilishi wa vyombo vya dola.

Ndio maana Dr anagombea uongozi wa vyombo vya dola si vinginevyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…