Barua ya wazi kwa Bashiru Ally, Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi: Manung'uniko ya Waislamu lazima yafanyiwe kazi

Wakristo ni 76% ya idadi ya waTanzania wote kwahiyo ni lazima idadi hiyo iwe sambamba na uwakilishi wa vyombo vya dola.

Ndio maana Dr anagombea uongozi wa vyombo vya dola si vinginevyo.

Hii umeipata wapi hii?
 
Suluhisho ni waislamu kuikataa CCM. bila ya hivo kuendelea kutegemea CCM iwatendee haki watasahau
 
Watu wengine jamani, yaani toka dunia inaumbwa hadi Leo Issa bin Maliam anataka kurudi kuukumu dunia wao ni kulia2 tu! Mtakuwa lini? Shida siyo tofauti za imani, shida ni kujituma kufanya kazi. Tuache hapa kwetu; angalia tofauti ya maendeleo katika nchi za ulaya, marekani, Asia na uarabuni! Waarabu wako nyuma sana! Hawataki kufanya kazi, kila wakati kwenye nyumba za ibada! Nyie mnafanya kazi muda gani? Ukienda uarabuni mambo mazuri ya maana wanajengewa na wazungu! Kama hamtaki kusoma/kuumiza vichwa, basi nunueni teknolojia mtengeneze wenyewe. Hivi mafuta yote hayo kweli bado saud Arabia inanunua bunduki toka marekani kweli? Nyie wenzetu acheni kulialia bana fanyeni kazi. Unashinda mwaka mzima umevaa nguo nyeupe ya kuabudia, utawezaje kwenda shambani kuzalisha?
 

Haki katika nchi ni jambo muhimu sana.

Haiwezekani raia wa imani moja wanabaguliwabaguliwa halafu ukategemea amani kudumu katika mazingira ya hivyo.

Lazima raia wema waionye serikali na chama kinachotawala vichukue hatua za kusikiliza manung'uniko yao
 
Rudi tena ukajipange, ukweli wa waraka wa shehe Ponda uko wazi. Unataka majibu ya uhakika na sio kufunika kombe.
Sishangai jibu hilo kuelekea Uchaguzi Mkuu kwa kuwa upinzani hauna agenda ya kushawishi wapiga kura zaidi ya kutafuta huruma za wapiga kura na jumuiya ya kimataifa. Wnatafuta kwa madai ya:
√ Tume huru ya Uchaguzi;
√ Dini, kwamba Waislamu wanaonewa; na
√ Uzushi wa tuhuma za kutekwa, kushambuliwa na kamatakamata ya viongozi
 

Sina chembe ya shaka na ukweli wa kwenye waraka wa Shehe Ponda
  1. Kama ni tume huru, ni kweli tume sio huru na kila mtu hilo anafahamu. Toka awamu hii iingie madarakani tumeshuhudia chaguzi za kishenzi, ukatili na uhaywani wa wazi ili ccm watangazwe washindi. Na tume ya uchaguzi imekuwa ni sehemu ya huo uchafu, na ushahidi wa uchafu huo tunao.
  2. Hiyo ya kwamba kuna upendeleo wa kikabila na kidini liko wazi, hata kama zinatumika mbinu za kidictator kuzima ukweli ili usiwe wazi, hasa kubana uhuru wa vyombo vya habari.
  3. Kutekwa kwa watu, kuumizwa, kutiwa vilema vya maisha, hata kuuwawa ipo wazi na mifano ya dhahiri ipo. Haya yote yanafanyika huku vyombo vya dola na serikali vikiwa hazichukui hatua yoyote ya maana. Unyama huu huu unawakuta Zaidi wapinzani na wakosoaji wa serikali. Hakuna asiyejua mambo haya ndani ya nchi, na nje ya nchi kwa wafuatiliaji wa mambo ya hapa nchini.
 
well said!
 
Wazee wa kulalamika hadi kaburini,mnataka serikali iwabebe kwa lipi ,nchi yetu haina udini,ni wewe tu maisha,hoja za Waislamu kwenye nchi isiyo na dini ni kupoteza muda, mumejengewa msikiti Kinondoni,mumepewa Chuo cha Tanesco pale Morogoro na bado mnalalamika acheni porojo fanyeni kazi,kudeka kwa kutaka mubebwe kwa kisingizio cha kuonewa sijui mnaonewa wapi,tatizo mnapenda sana kulala usingizi misikitini wakati wenzenu wanafanya kazi,kuhusu masheikh wacha sheria zichukue mkondo wake,hao walijitia kichwa ngumu kwa maslahi yao na si ya Waislamu
 
Sasa ulitaka selikari itunge mithihani ya waislamu ili kuwabeba?,maana mithihani wanafanya wote wakristo na waasilam mthihani mmoja,iweja mmoja afaulu mwingine asifaulu?,hili liache
 
Waislamu wanaipa elimu kipaumbele kama wenzao Wakristo.
Hapa ndipo Waislamu tulipo kosea, kwa kuipa kipaumbele Elimu dunia kuliko Elimu ya Dini na kuanza kuwaiga Makafiri. Aisee lazima tuwe madhalili mpaka siku tutakapo amua kurudi kwenye njia ya Allah aliye juu.
 
Ndugu mtoa maada unapaswa kutambua kuwa Tanzania ni Nchi isiyoendeshwa kwa matakwa na utashi wa dini ila haizuii uhuru wa mtu kuwa muumini wa dini yoyote ilimradi havunji sheria za nchi. Kwa hivyo basi suala lako litakuwa na manufaa zaidi endapo ungebadili mlengwa na kutuma BAKWATA na nakala ukapeleka baraza la maulamaa.
 
Cha msingi ni kubadili migumo ya Elimu tulio nao waafrika.
Tuna mifumo ya Elimu ya kikoloni ambayo haiendani na maisha ya mwafrika wa kawaida . Ndio maana Msomi mwenye PhD anapanga foleni kwa Waislama Mabilionea wanashika nafasi 15 za matajiri wa Tanzania ambao walianza na biashara zao tofauti na matajiri wengine waliopata utajiri wao ama kwa kuiba Mali za umma baada ya Nyerere kuondoka madarakani au wajihusisha na ujambazi na utapeli.
Elimu ya Kikoloni ni Elimu inayowafanya waafrika kuwa wabinafsi kama Wakoloni wazungu ,Mabeberu .

Uislam ni mfumo kamili wa maisha, ndio maana pamoja na kutengwa kwenye mifumo ya Elimu ya Kikoloni lakini matajiri wengi wafanya biashara ni waislam.
Hata ukifika kwenye biashara za waarabu na waislama wenye kumwogopa Mwenyezi Mungu hakuna utapeli tapeli na hila hila.
Tuzungumzie haki kwenye Taifa. Hiyo mambo ya sujui Elimu ya mkoloni haina tija kwenye imani ya bila haki na usawa.
Elimu waislam wengi wamesoma na wanaendesha maisha yao. Tatizo ni miongoni mwao kushiriki katika dhulma na wakatumika kuidhulumu jamii nzima .
Mfano Mkurugenzi muislam kutumika kudhulumu Kura halali ya Mgombea yeyote hili halihitaji elimu kujua kuwa ni jambo baya sana linalojenga Chuki.
Mtu kufungwa kwa kuonewa ni jambo baya.

Tusiwakejeli watu kwa sababu ya Elimu ya Mkoloni. Kuna Wamasai wengi na wasukuma wenye Mali nyingi sana lakini hawana mavyeti ya kitapeli na kizungu ndani. Vyeti vinavyowaandaa watu kuwadhulumu wenzao na kukimbiIa Mali kuficha ulaya na kwenye mabenki huku ndugu zao wakifa njaa . Hizo ndizo PhD zilizoandaliwa kwa mitaala ya Kikoloni unayolenga kujenga mifumo ya kinyama duniani.

Waislama wasione aibu kusema na kuifundisha mambo Mema yaliyopo kwenye vitabu vyao ambavyo vina Elimu kubwa kukiko hiyo ya vyeti na madaraja tu ya kupangwa na Wakoloni Mabeberu. Ipo mifumo mizuri sana ya Kiislam lakini waislam wanajishusha kuifundisha kwenye jamii. Mfano Mifumo ya kibiashara na kifedha ya Kiislam ni mifumo bora kabisa lakini wanajificha na kuona haya kuwafundisha wengine kuijua.

Tumedanganywa sana na Wakoloni Mabeberu na kutuaminisha kuwa Kila walichotuletea ni ndicho kizuri na vingine vyote duniani havina maana.

Mtoto anatumia Miaka 20 shuleni mpaka chuo kujifunza historia ya uingereza na ulaya tena kwa kulazimishwa na mitihani migumu ili imsaidie nini kujua yalipo madini yetu ,wanyama wetu gesi yetu,mifugo yetu, ardhi yetu yenye rutuba, samaki wetu, misitu yetu n.k. ambavyo ndivyo vinavyotuzunguka.

Tuzitumie dini kuleta maendeleo yetu na uafrika wetu sio kuwatukuza Mabeberu na elimu zao zinazowajaza vijana dharau ,jeuri, kiburi, anasa , uchu, ubinafsi na woga.
 
Wewe alshabab wa ACT ndo umetumwa na Zitto uandike huu upuuzi?
Mnataka ufaulu uamuliwe kwa kuangalia majina?
Mtalalamika mpaka mudi arudi?
Nakuhakikishia kuwa hata teuzi zote mkipewa,kwa hulka zenu bado mtalalamika tu.
ACT acheni upuuzi na acheni kushadadia upuuzi
 
Kikubwa akikaa rais muislamu achague waislamu wenzake awape nafasi,
akitoka akija mkristo nae aweke wakristo wenzake wapate nafasi,
rais wa kubalance hayupo, na hatokaa awepo, cha muhimu tubadilishane tu pale juu,
akitoka mkristo akae muislamu, hivyo hivyo mpaka mwisho wa dunia.

Hili la mashekh lina ugaidi ndani yake, sasa ishu ya ugaidi bwana, achana nayo, sidhani kama kikwete hakutaka kujua kulikoni, ila alipojua chungu kinanini akaamua afunike kama kilivyo. Magu ni mkristo sio, hata rugemarila ni mkristo si ndio, au anawachanganya na ile kanzu yake, ruge mkristo yulee....mnanisikia au niongeze sauti.

Hii ishu ya udom hii, inasemekana wahusika hawajaonewa.

Kwenye maisha nimewahi kusaidiwa na wakristo na waislamu, nimewahi kukandamizwa na wakristo na waislamu. Binafsi udini si upi kipaumbele sana, bali utu wa mtu. Ukiwa mshenzi hata kama ni wa dini sawa na yangu, nakufyekelea mbali, nenda kashitaki.
 


Kama ulivyotumwa wewe na Kanisa Katoliki kuja kujamba hapa??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…