Horseshoe Arch
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 13,403
- 12,775
Zama zimeshapita, sasa mnapaswa kutambua umuhimu wa elimu dunia dhidi ya dini, someni sana dini ikitokea kazi wenzenu wapeleke vyeti ninyi mpeleke misaafu kisha mje na machapisho mengi ya kumwandikia katibu kwamba mnabaguliwa!Akijilipua mbele yako hautobaki salama, na wanaomzunguuka hawatobaki salama, cha msingi tetea haki ya wote ili watu wa kujilipua wasiwepo
Bashiru anaongozwa na tumbo? Unataka kusema nini mkuu? Kwamba wao huongozwa na tumbo?Bashiru anaongozwa na Tumbo/ hawezi kubalance swala la udini.
Zama zimeshapita, sasa mnapaswa kutambua umuhimu wa elimu dunia dhidi ya dini, someni sana dini ikitokea kazi wenzenu wapeleke vyeti ninyi mpeleke misaafu kisha mje na machapisho mengi ya kumwandikia katibu kwamba mnabaguliwa!
Mwana kulitafuta mwana kulipata!Hizi unazoleta ni kejeli sasa, tumeshazizoea!
Inabidi tubadirike wenyewe kwanza kisha ndio tuigeukie serikali
Swala la kuipa mgongo elimu dunia limetuathili sana na itachukua mda mrefu sana kulicover
Dar es salaam ndio mkoa wenye shule nyingi kuliko mikoa yote na baada ya Uhuru asilimia 90% ya wakazi wa Dar walikuwa ni waislam lakini walio kuwa wamejaa mashureni walikuwa ni wakristo
Mimi ni mkazi wa Dar baba yangu alikataa kunipeleka shule akanipeleka madrasa lakini mama akasema haiwezekani asisome shule mama ndio akanipeleka shule
Yani kwa kweli jamii za kiislam bado tunakazi za ziada sana kurekebisha hii tabia ya elimu dunia na elimu akhera sijui ni nani alipandikiza hii kasumba katika vichwa vya wazee wetu
Upo sahihi kabisa, na inashangaza sana wanapenda kulalamika tu.SUALA LA ELIMU WAISLAMU WENGI HAWALIPI KIPAUMBELE TUACHENI KUSINGIZIA WAKRISTO. ELIMU DUNIA SI KIPAUMBELE KWETU. KWA NINI TUNAFUCHA UDHAIFU?
Kwani uliyesoma uko wewe peke yako? Hakuna wakristo pia?Na sisi wachache tuliosoma je? Mbona hatupewi nafasi !! Ifike wakati tugawane Nchi.
Ni Wakristo au Wapagani?
Usiumize kichwa mkuu mwambie asisubiri mgao ila aichukue kabisa nchi... kwani nchi bei gani bwana!!Kwani uliyesoma uko wewe peke yako? Hakuna wakristo pia?
Huu ni UKWELI ambao wenzio hawataki kuukubali badala yake wanailalamikia serikali au wanawalalamikia Wakristo.Inabidi tubadirike wenyewe kwanza kisha ndio tuigeukie serikali
Swala la kuipa mgongo elimu dunia limetuathili sana na itachukua mda mrefu sana kulicover
Dar es salaam ndio mkoa wenye shule nyingi kuliko mikoa yote na baada ya Uhuru asilimia 90% ya wakazi wa Dar walikuwa ni waislam lakini walio kuwa wamejaa mashureni walikuwa ni wakristo
Mimi ni mkazi wa Dar baba yangu alikataa kunipeleka shule akanipeleka madrasa lakini mama akasema haiwezekani asisome shule mama ndio akanipeleka shule
Yani kwa kweli jamii za kiislam bado tunakazi za ziada sana kurekebisha hii tabia ya elimu dunia na elimu akhera sijui ni nani alipandikiza hii kasumba katika vichwa vya wazee wetu
HAKUNA KITU HAPA, Hakuna kiongozi mwenye muda wa kushughulikia Uzushi na Malalamiko ya kila mara yasiyo na msingi.
SOMENI ACHENI KULIALIA NA KUILALAMIKIA SERIKALI BURE.
Kwanza mmeipuuza BAKWATA wakati ndio Baraza kuu la Waislam linalotambulika na serikali.
Msipojituma na kujiongoza wenyewe kwa weledi katika taasisi zenu mtalialia katika maisha yenu yote.
Wabillah Tawfiq,
Huwezi ukatenganisha ccm na bakwata ni ndugu, kuikataa ni kufa njaa.
Bakwata ilianzishwa na ccm so haiwezi kwenda kinyume
Hahaha...aisee mna muda ninyi WaislamHoja za Waislamu kusoma hazina Mashiko, ngoja nikuwekee listi ya baadhi tu ya Waislamu wenye PhD halafu ulete habari zako mbofumbofu za kuwa waislamu hawana Elimu.
View attachment 1507226
View attachment 1507228
Hizo ni PhD chache tu bado zipo nyingi tu ambazo hazijaorodheshwa hapo
Ukiacha hao kuna waislamu wana masters degree kibao, na wenye degree moja moja kibao
Sasa katika wote hao utaletaje hoja kuwa Waislamu hawana elimu ndiyo maana teuzi zinawapitia pembeni?
Hii ya kuteua 80% Wakiristo na only 20% waislamu wakati Waislamu wenye vigezo vyote wapo ni udini huu, hii haiko sawa hata kidogo
Japo ni kweli, Wakiristo wamenufaika na mifumo ya Elimu kwa wingi zaidi kuliko Waislamu, lakini ukweli unabaki palepale kuwa Wapo waislamu wengi wenye vigezo vya kutosha kabisa kupewa nafasi na majukumu serikalini bila kulazimika kupendelea wakiristo!
hii 80% to 20% Ni udini mbaya sana
Hahaha...aisee mna muda ninyi Waislam
Hebu weka na list ya Wakristo wenye PHD