Hoja za Waislamu kusoma hazina Mashiko, ngoja nikuwekee listi ya baadhi tu ya Waislamu wenye PhD halafu ulete habari zako mbofumbofu za kuwa waislamu hawana Elimu.
View attachment 1507226
View attachment 1507228
Hizo ni PhD chache tu bado zipo nyingi tu ambazo hazijaorodheshwa hapo
Ukiacha hao kuna waislamu wana masters degree kibao, na wenye degree moja moja kibao
Sasa katika wote hao utaletaje hoja kuwa Waislamu hawana elimu ndiyo maana teuzi zinawapitia pembeni?
Hii ya kuteua 80% Wakiristo na only 20% waislamu wakati Waislamu wenye vigezo vyote wapo ni udini huu, hii haiko sawa hata kidogo
Japo ni kweli, Wakiristo wamenufaika na mifumo ya Elimu kwa wingi zaidi kuliko Waislamu, lakini ukweli unabaki palepale kuwa Wapo waislamu wengi wenye vigezo vya kutosha kabisa kupewa nafasi na majukumu serikalini bila kulazimika kupendelea wakiristo!
hii 80% to 20% Ni udini mbaya sana