Barua ya wazi kwa Binti wa zamani

Barua ya wazi kwa Binti wa zamani

Gunner11

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2021
Posts
16,680
Reaction score
31,804
Toka nimeingia humu sikuwahi kufikiria nitapenda mtu, sikuwahi kufikiria Nitakuwa drawn kwa ID ya mtu maana nilikuwa najua maandishi haya reflect physical beauty...

Kumbe I was wrong, sikujua how maandishi ya mtu hurelfect maisha halisi ya mtu husika hasa subconsciously... Ndipo nilipo kuja kuanza kusoma maandishi yako ewe mrembo Binti wa zamani yakanichukua hivi.. Nimekupenda bure na unalifahamu hilo.

Unajua how stubborn I can be ila kwako na kuwa mtoto, tena mjinga kabisa. Nimekufa nikaoza, nikafa na kufufuka kwako mrembo. Najua utajua naandika utoto na kudhani am a player... Ila tambua kwako nimekwama. Sina ujanja, Sina nguvu, ni kama Samson kwa Delilah, ni kama jack kwa rose, ni kama Angelo kwa inna.

Natangaza rasmi kuwa wewe ndo crush wangu, wewe ndo nikuwazae now and then, umetawala mawazo yangu na itakuwa si vyema kusema ukweli.

Wadau wa jf huwa naona wanapostia nyuzi watu zamani nilikuwa nadhani wanacheza ila yamenikuta na mimi... Ewe Binti wa zamani huwa unanikosha sana na bandiko zako za malavidavi sio hapo tu napenda akili yako mwanamke swafi kabisa. Jf wote wa nicheke tuu I don't give a damn.

"Some people are simply meant to be admired from afar. I'm grateful to be in your orbit. With warmth and respect."
 
Screenshot_20260531-201625~2.jpg
 
Mimi sikucheki ila nakupongeza sana kwa hatua hiyo nzuri.
 
Kitu pekee ambacho nina uhakika nacho ni kuwa huyo Binti wa zamani anajua kumwaga maji haswa 💦💦 na kama mwanaume hujazoea mkikutana unaweza kuumwaga Hata ubongo wako ukauacha hapo ila sasa hayo mengine ni majaliwa na Muumba tu

Unaweka kukuta yaliyomo kweli hayamo mkuu
 
Back
Top Bottom