Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 33,225
- 83,181
Basi kijana inabidi awe na adabu aisee 😃😄😁Mume wangu atampiga risasi, nishamwambia hili kwenye nyuzi zangu huko nyuma, anafikiri namtania!
Basi kijana inabidi awe na adabu aisee 😃😄😁Mume wangu atampiga risasi, nishamwambia hili kwenye nyuzi zangu huko nyuma, anafikiri namtania!
Hawaachanagi wale ye ajichanganye tu!
Huu uhakika waKitu pekee ambacho nina uhakika nacho ni kuwa huyo Binti wa zamani anajua kumwaga maji haswa 💦💦 na kama mwanaume hujazoea mkikutana unaweza kuumwaga Hata ubongo wako ukauacha hapo ila sasa hayo mengine ni majaliwa na Muumba tu


umeutolea wapi mkuu ? mbona umeongea kwa kujiamini sana 😂😂?
Hii mbona ya zamani sana mkuu!!Unajua how stubborn I can be ila kwako na kuwa mtoto, tena mjinga kabisa. Nimekufa nikaoza, nikafa na kufufuka kwako mrembo. Najua utajua naandika utoto na kudhani am a player... Ila tambua kwako nimekwama. Sina ujanja, Sina nguvu, ni kama Samson kwa Delilah, ni kama jack kwa rose, ni kama Angelo kwa inna.
DuuuuuhToka nimeingia humu sikuwahi kufikiria nitapenda mtu, sikuwahi kufikiria Nitakuwa drawn kwa ID ya mtu maana nilikuwa najua maandishi haya reflect physical beauty...
Kumbe I was wrong, sikujua how maandishi ya mtu hurelfect maisha halisi ya mtu husika hasa subconsciously... Ndipo nilipo kuja kuanza kusoma maandishi yako ewe mrembo Binti wa zamani yakanichukua hivi.. Nimekupenda bure na unalifahamu hilo.
Unajua how stubborn I can be ila kwako na kuwa mtoto, tena mjinga kabisa. Nimekufa nikaoza, nikafa na kufufuka kwako mrembo. Najua utajua naandika utoto na kudhani am a player... Ila tambua kwako nimekwama. Sina ujanja, Sina nguvu, ni kama Samson kwa Delilah, ni kama jack kwa rose, ni kama Angelo kwa inna.
Natangaza rasmi kuwa wewe ndo crush wangu, wewe ndo nikuwazae now and then, umetawala mawazo yangu na itakuwa si vyema kusema ukweli.
Wadau wa jf huwa naona wanapostia nyuzi watu zamani nilikuwa nadhani wanacheza ila yamenikuta na mimi... Ewe Binti wa zamani huwa unanikosha sana na bandiko zako za malavidavi sio hapo tu napenda akili yako mwanamke swafi kabisa. Jf wote wa nicheke tuu I don't give a damn.
"Some people are simply meant to be admired from afar. I'm grateful to be in your orbit. With warmth and respect."
Anajizima data, atakipata anachokitafuta!Basi kijana inabidi awe na adabu aisee 😃😄😁
Kabisa akae rada asije kutolewa masikio akaja kulia lia humu 😃😄😁Anajizima data, atakipata anachokitafuta!
Wahenga: Mtoto akililia wembe mpee ajikate mwenyewe
Nashindwa kuelewa (mchina voice 😅ShesRise_1 njoo huku de Gunner kapenda kweli😂