Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,958
- 183,574
Nikuokotee mawe?We jua nakufatilia kwa ukaribu sana 😅
Nikuokotee mawe?We jua nakufatilia kwa ukaribu sana 😅
Nisamehe sijui nitendalo🤣Nikuokotee mawe?
Unajua vizuri kabisaNisamehe sijui nitendalo🤣
Mzee mwenzangu yani umri huu ni kuambiwa mambo ya “crush” kweli, nimechoka mimi.Binti wa zamani, mzee mwengangu nawe umefikiwa..vijana wanataka wachezee maini😅😅
Mimi mwenyew ni sniper mzuri tu, so Nitakuwa natembea na gun shot detector yangu kwa tahadhari... So usiwe na shaka kuhusu hilo mpenziMume wangu atampiga risasi, nishamwambia hili kwenye nyuzi zangu huko nyuma, anafikiri namtania!
Mkuu Latent chaos,Uwezekano wa wewe kujutia kuandika huu uzi ni mkubwa sana
Mzee mwenzangu yani umri huu ni kuambiwa mambo ya “crush” kweli, nimechoka mimi.
View attachment 3626572
Wifi uko peke yako humu ndani 😂 😂 najua hizi ni harakati za kumhenyesha mzee mwenzangu na presha yake ya kushuka.Wifi acha uchonganishi🤣🤣
Bro Evelyn Salt sijui na mimi nimshushie uzi binti ninayemtamani humu, maana naona kila mtu kavurugwa anajiamulia mambo tu 😂Mkuu Latent chaos,
Nami nitakuandikia uzi hivi punde.
Kama jina lako linavyosema kwamba wewe ni balaa lililojificha nami nataka nione "balaa" hilo!
Kua makini hawa wazee wa mabuti makubwa wanakuaga na chuma mda wote hawana cha kupoteza hasa ukizingatia Binti wa zamani anajitahidi ili mubaba wake asidondokee kwenye mikono ya hawa kina ShesRise_1Huyo akae kwa kutulia vijana tule asali