Barua ya wazi kwa Binti wa zamani

Barua ya wazi kwa Binti wa zamani

"Where we dare to talk openly"
So open up!
Ngoja nimalizde ku-hyperventilate over the thought ya kuopen up kwanza!
Nervous The Big Bang Theory GIF.gif
 
polee kibabu, nakumis zaidi jamni

hebu sogea hapa nikutulize homa😊
We ndiye wangu tabibu ,
Najisogeza wala usipate tabu,
Yako mikono ikinitomasa yafanya nitubu,
Napenda ukijituliza kwa bed na yako miguno wala si bubu

😂😂😂
 
Back
Top Bottom