Barua ya wazi kwa Binti wa zamani

Barua ya wazi kwa Binti wa zamani

Akili za kimaskini na kipuuzi, tafuta kazi ufanye!

View attachment 3626624
I can't do nothing without your love. Your love is what keeps me going..
victorianpoetry_20260704_022724_985.jpg
 
We ndiye wangu tabibu ,
Najisogeza wala usipate tabu,
Yako mikono ikinitomasa yafanya nitubu,
Napenda ukijituliza kwa bed na yako miguno wala si bubu

😂😂😂
watu weuweeeeeeh😅😅😅
 
watu weuweeeeeeh😅😅😅
Japo kwa kuchelewa sana 😔

Heri ya kuzaliwa ewe mrembo mwenye kuzeeka na uzuri wako ,

Mwenyezi azidi kukuweka huku baraka zake zikizidi kutiririka juu yako.
 
Japo kwa kuchelewa sana 😔

Heri ya kuzaliwa ewe mrembo mwenye kuzeeka na uzuri wako ,

Mwenyezi azidi kukuweka huku baraka zake zikizidi kutiririka juu yako.
thanks much kibabu wangu😍

I receive the blessing bt wait hapo kwenye uremboo ni ulongooo😎
 
Sijamuona mke mwenzako humu, Seran njoo uone nimefikiwa na wale wapuuzi

ERoni Njoo utoe hela utapoteza tamu yako
View attachment 3626636
Mimi hata sitaki kutia neno! 😅 Kidogo tu atakuattack huyo kama mliitiliana sumu kizazi kilichopita 🙌🏾

Huyo mzee kanitelekeza namuangalia tu! Mpaka tutimize lengo letu na mke mkubwa Espy_ we subiri😤
 
Back
Top Bottom